East African Federation (EAF) public Views

East African Federation (EAF) public Views

Huyo Profesa Wangwe acha afanye kazi ya kukusanya maoni kuhusu Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (si tayari yupo kwenye tume ya JK). Akishamaliza kazi JK anamteua kuwa Mbunge, halafu anampa Uwaziri.
 
Watanzania mpende msipende, ninyi ni ndugu zetu sisi Wakenya. Hakuna babu zetu hata mmoja aliyealikwa na Bwana Bismark mwaka wa 1884-1885 kule Berlin kuchora mipaka hii. Acheni matusi yasio na maana. We have so much in common more than the little that divide us. Mtatupeleka wapi?

We understand the colonialists much better as they ruled us more ruthlessly. We learned good and bad manners from "Wabeberu". We had to be aggressive to kick them out and we still have that aggressive behaviour.

Kenyatta mwenyewe kasema, uhuru ni wa bendera. Sasa tunataka uhuru wa Kiuchumi. Why do you think the British are so threatened by the presence of the Chinese on our soil? Think BIG my brothers South of the Boarder. We are still fighting a bigger enemy. We need each other.
 
KAMPALA said:
don't blame the poor old tanzanians,they feel threatened economically by Kenyans.It is understandable ,they can't argue rationally, so far all they have been arguing about is how proud and arrogant kenyans are, no empirical or technical evidence against EAC, it is obvious these brothers suffer from serious bout of low self esteem,hapless folks have been overtaken by Ugandans who were ten times poorer than Tanzanians in 1986 but are doing better than Tanzanians now.Tanzanians you are east africa WEAKEST LINK.
MNAJIFANYA NG'OMBE MKAMULIWE NA NANI?

Uganda na Kenya mnajidanganya, endeleeni kuwa na fikra finyu sisi bongo hatupigani. hebu angalia watu wanavyouana kikabila Kenya, uganda ndio usiseme. Kama sisi ni masikini hivyo mbona mnatulilia? Mnatuonea wivu kwa hatua ambazo sasa tunapiga na manataka kuja kufaidi kwetu.

Nyie mlie tu, hamtaambua kitu hapa?
 
KAMPALA said:
don't blame the poor old tanzanians,they feel threatened economically by Kenyans.It is understandable ,they can't argue rationally, so far all they have been arguing about is how proud and arrogant kenyans are, no empirical or technical evidence against EAC, it is obvious these brothers suffer from serious bout of low self esteem,hapless folks have been overtaken by Ugandans who were ten times poorer than Tanzanians in 1986 but are doing better than Tanzanians now.Tanzanians you are east africa WEAKEST LINK.
MNAJIFANYA NG'OMBE MKAMULIWE NA NANI?

Uganda na Kenya mnajidanganya, endeleeni kuwa na fikra finyu sisi bongo hatupigani. hebu angalia watu wanavyouana kikabila Kenya, uganda ndio usiseme. Kama sisi ni masikini hivyo mbona mnatulilia? Mnatuonea wivu kwa hatua ambazo sasa tunapiga na mnataka kuja kufaidi kwetu.

Nyie mlie tu, hamtaambua kitu hapa?
 
TzPride said:
------------------------------------

YOU HAVE SAID IT ALL BROTHER!! hahahaha...what arrogant kenyan he/she is?!

That's why one man said earlier that Kenyans can do better in federation with the northern neighbours. Their community is so disintegrated, Tz can't bare that at this time. Somalia is a good match to Kenya- go ahead and make a nice and cool federation.

Hatufanyi kosa la piliiiiiiiiiiiiiii. Period!

We the people of Kenya are so proud of helping our brothers in need. We have helped our dear Southern Sudan brothers fight the Northern Arabized Africans for more than twenty years and shall still help them if they need us. We are trying to help solve the Somali problem, as it is an African Problem. We also need to help make the Tanzanians understand that they are our brothers and we shall be stronger together.

And by the way, we love the Somali spirit of enterprise. These people are good and shrewd businessmen. The Tanzanians should visit Garisa lodge in Eastleigh Nairobi, and witness Somali business acumen. Do NOT RUBISH THEM.
 
tanzanians are stuck in time warp, they lack the intelligence of understanding economic federations they see things in simple terms, most of these guys posting rubbish about kenyans,ugandans,rwandese, somalis etc are idlers who lack the foresight to see the opportunity of being unified.Go ahead and join sadc, you will just end up in even worse predicament, only this time the south africans will be manufacturing even your toothpicks.and you will be a source of cheap gardeners and housemaids for the makaburu.
 
Ukoo wa Karume uliyeya na madaraka. Sasa naona ukoo wa Mweiny nao unayeya na madaraka, je CCM na huko Zanzibar kuna nini?.

Najua Dr. Bilal aliwahi kugombea urais wa Zanzibar lakini akanyamazishwa na CCM kusudi ampishe Karume.

Nadhani kinachoniboa zaidi ni umbumbu wa hao waliotuwakilisha. Sidhani kama Kate ana lolote, "DR" Nangale yeye tayari ni mpiga filimbi wa kutaka shirikisho, hajui interest za nchi; kuna wakati alitaka kufungua Radio ya Kisukuma kule Maswa. "DR" Masaburi yeye ni mtafuta madaraka miaka yote na mwangalizi mkubwa wa interest zake. Akiwa mwenyekiti wa UVCCM Dar alikula pesa zote za michango ya mabasi ya wanafunzi na kuwaacha wanafunzi solemba, akiwa pale kibuku alikula pesa yote ya kiwanda na kukiacha hoi bin Taaban. Dr. Kabourou yeye ni mtu asiye na msimamo; anayumbayumba tu kutetea maslahi yake binafsi. Pamoja na kuwa sifahamu uwezo wa Mwinyi, Bilali na hao wengine lakini kwa vile wawakilishi wanne ambao ndio vocal katika time yote ni bomu hivyo, sidhani kama maslahi ya Tanzania yatakuwa represented kweli katika bunge hilo.

Waliochagua wangeweka masilahi ya Tanzania mbele na kuwaondoa "Madokta" feki na kuweka watu wenye mtazamo mpana kama vile Professor Wangwe na Professor Baregu. Hii tabia ya watu wa CCM kutokubali wanapoamabiwa ukweli ndiyo inadidimiza nchi; wanawaogopa maprofessor wa dhati eti kwa vile huwa wanawabwatukia ukweli. Wanataka "madokta" uchara kama akina Nchimbi, Kamala, Masaburi, na Nangale amabo ni yes men wao.
 
Unregistered said:
watu waunganeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kule ulaya watu ni wamoja. Mfaransa anaenda kule England au germany kwa drivinf license si passport. Anafanya anavyotaka. Mbongo au Mkenya akitaka kwenda Uganda anagongesha mhuri na kupewa siku kiduchu. Watu waungane tuwe kama wazungu.
Alafu kwenye forum hii nimeona watu kama matinyi wakisema eti kuungana na kenya ni dhambi, ha,ha,ha.....................
Matinyi uko wapi? umeacha kazi nzuri ukaaenda US kufanya nini? Sasa watu wemye vipaji kama wewe wanatoweka badala ya kukaa hapa na kushindana na wakenye kwenye shirikisho.........
Bwana, tuungane, wabongo wawe seriuos si kuogopa.

UNATAKA NANI AWE KAMA MZUNGU. WATU WANAONUKA AMBAO WASOMI WAO WAMEWATELEKEZA WAZAZI WAO WAANGALIWE KWENYE ELDERLY HOMES NA WAAFRIKA WALIOKWENDA ULAYA NA NCHI NYINGINE MASIKINI. AMKA NDUGU YANGU JIVUNIE UAFRICA WAKO. HAWA WAZUNGU WAMEIBA SANA AFRICA NA NYINYI KENYA NDIO WANAWAPENDA KWA SABABU MMELALA KILA KITU KENYA NI CHAO ARDHI N.K. HATUNA SABABU YA KUUNGANA MIUNGANO MNAYOTAKA NI YA KUMFAIDISHA NYANG'AU. WACHA FUJO? NANI AMEKWAMBIA TANZANIA INATAKA MUUNGANO NA NYINYI. KWELI WAZUNGU WAMEWACHOKA NDIO MAANA MNATAKA MLIMA KILIMANJARO UWE KENYA ILI MFAIDI NA MALI SISIZO ZENU, MMEZOEA DEZO. SASA WAMEONA MMEISHIWA HAMNA KITU BALI KUTONGOZA MUUNGANE NA TZ.

TUNAJIVUNIA TULICHO NACHO TUACHE NA UMASIKINI WETU
 
Unregistered said:
Nyang'au ni nyang'au tu, biashara ya nyang'au ni ya kinyanga'u tu.

Wakenya si compatible no waTz. Sorry, no Tz in EAF, let Somalia in instead.
Lakini zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
 
kwa kweli mimi nakubaliana na wtz. sisi wakenya tutapatanga faida gani kwenye jumuia hii? kuanzia mwaka 1977 wakati jumuia ilivunjikanga kwa sababu ya ujamaa wa hayati nyerere na ubepari wa hayati kenyatta bado watanzania walikua wananunuanga bidhaa zao kutoka kwa viwanda ya wakenya, tulikosa nini?

kenya ni nchi ya biashara na itafaidika kutoka kwa tanzania jumuia iwepo ama isiwepo maana uchumi wa tanzania hauna msingi wa kibiashara na viwanda bali ni uchumi unaotegemea kilimo na uchimbaji madini.sioni haja ya kuunda jumuia ya kisiasa na watanzania badala yake tungeunda eneo la soko huru la afrika mashariki, tufanye biashara lakini manyanga'u wakae kwao, wazembe wake kwao na mafala wakae kwao.jumuia ya kisisasa sisi waafrika hatuiwezi tuna chuki sana baina yetu na hatuna msimamo kama ya wale mabeberu ambao wanaifahamu faida ya muungano baada ya kupigana kwa karne nyingi.
 
Mzee Mwanasiasa,

Mzee wangu Nchimbi, nilisema kule BCS kuwa ni motto wa kuotea mbali lakini JK anamjua, na kwenye uwaziri JK anajua kuwa hakuridhika na amekuwa akillalamika mitaani na habari zimemkuta JK, akaamua kumuita na kumpasha macho kwa macho, sasa hivi kuna mvutano wa chini kwa chini na Nchimbi yuko upande wa pili wa JK, sasa walioingia ni wale tu waliopewa dole na JK mwenyewe personal,

Kupanda kwa Membe ni salaam maalum kwa Nchimbi kuwa toka kwa JK kuwa you are out of the line, sasa hivi anayepaliliwa ni Migiro kwa maoni yangu na yanaweza kuwa wrong!

Ila the most interesting story ya siasa sasa hivi ni Mzee JM kumtayarisha mkewe, kwa ajili ya 2010,

How about that bro?
 
Mzee Mafuchila,

Heshima yako mkuu! Ndugu yangu si unajua huu mchezo wa siasa huwa umo kwenye damu, Magufuli hakuna jipya na bado yanakuja the plan ni kuwashusha Mwandosya (ndio maana RC Mbeya akapewa Mwakipesile, adui wake makusudi ili amalize nguvu yote ya Mwandosya huko, under supervision ya mtoto wa Abson alyepewa ubunge wa bure kwa ajili hiyo), Magufuli, Mramba, hawa ndio watakuwa wa kwanza kutemwa,

AAh! unajua bongo ndugu yangu akili mukichwa, karibu tukate issues bro, ila umenikumbusha zile enzi za BCS mawe tuuuuuu!
 
Ni kweli kwamba Abdalah Hassan Mwinyi ni mtoto wa Mzee Mwinyi (Ali Hassan),Naona Mzee anawapanga vijana ktk uongozi wa nchi.Kwani kuna Habari zisizothibitishwa kwamba Dr Hussein Mwinyi anaandaliwa kuja kuchukua Uongozi Zanzibar!Wamepinda katiba na kumruhusu kugombea Ubunge Zanzibar na kuacha Ubunge wa Bara ili akubalike na huko,Na Bw JK amempa wizara ya Muungano ili aingie kiurahisi ktk nafasi na utendaji Zanzibar!

Ilikuwa ajabu kwa kila aliyesikia kuwa Mwinyi ni waziri wa Muungano,kwani kutokana na Umuhimu wa Wizara hiyo ilipaswa wapewe wanaoujua Muungano kama Mzee Kingunge na sio kijana aliyezaliwa 1966,kwa tofauti ya mwaka mmoja na Muungano April/26/1964.
 
Wanabodi,

Nilikuwa kimya kwa muda. Nitarejea kujibu maswali katika ulimjadala uliyonilenga. Nilikuwa Dodoma kwenye kampeni za Baregu. Niliyoyaona ni aibu kwa taifa. Nitatoa tamko kesho. Nakala ya tamko nitaileta ichagize mjadala huu. Lile langu nitajibu katikati ya wiki ijayo.

JJ
 
QUOTE:
Washington DC.

We the people of Kenya are so proud of helping our brothers in need. We have helped our dear Southern Sudan brothers fight the Northern Arabized Africans for more than twenty years and shall still help them if they need us. We are trying to help solve the Somali problem, as it is an African Problem. We also need to help make the Tanzanians understand that they are our brothers and we shall be stronger together.
And by the way, we love the Somali spirit of enterprise. These people are good and shrewd businessmen. The Tanzanians should visit Garisa lodge in Eastleigh Nairobi, and witness Somali business acumen. Do NOT RUBISH THEM.
---------------------------------------

You are absolutely right. Business acumen or business greedyness? We have alot of Somalis in Tz as well as Kenyans. They behave alike. Somalis in Tz can not work or do business with Tznian, in whatever reasons. These people live in tribal spirit, they never trust someone else. The same applies to Kenyans. That's why they fighting in their homeland. Since Kenyans are so divided in ethenic groups like Somalis, then Federation to them be beneficial in the areas of business and civil war.

Tz hand in helping neighbours is well know world wide, I don't have to narate it to you..

EAF is a future issue for Tz. I believe so.
 
QUOTE:
Unregistered

tanzanians are stuck in time warp, they lack the intelligence of understanding economic federations they see things in simple terms, most of these guys posting rubbish about kenyans,ugandans,rwandese, somalis etc are idlers who lack the foresight to see the opportunity of being unified.Go ahead and join sadc, you will just end up in even worse predicament, only this time the south africans will be manufacturing even your toothpicks.and you will be a source of cheap gardeners and housemaids for the makaburu.

----------------------------------------------------------------
The only benefit you people empphasising is Economical one. What about the other areas? Are you not aware of your disintegrated societies? Your want us to start wrangling with Kenyan tribalism and corruption?? What about the northern Uganda war... you want us to have that share as well?
Please let every one remain in his/her country and try to focus how you can eradicate the pressing problem; Tz-poverty, Uganda-war and life presidency, Kenya-tribalism, corruption and political instabilty(already very very rich).
 
jokaKuu said:
kama Dr.Samuel Mwita Wangwe ameshindwa katika huo uchuguzi, basi tuna kila sababu ya kuamini kwamba wapiga kura, Wabunge wa CCM, hawakuwa makini ktk kutekeleza wajibu wao.

Dr.Samuel Wangwe ni msomi na mtafiti wa masuala ya kiuchumi. moja kati ya mambo ambayo amekuwa akiyatafiti miaka ya karibuni, ni mahusiano ya kiuchumi ktk Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Kwa kweli nimepigwa na butwaa.

------------------------------------------
Pamoja na kuwaambia wabunge kwamba ametafiti extensively juu ya mahusiano ya EA kiuchumi na kwa kuwa atakuwa ndio anasimamia kukusanya maoni ya waTz kuhusiana na kujiunga EAF- atakuwa kwenye nafasi nzuri kutoa mchango wake kwa maslahi ya Tz. Lakini MPs wakatumia ushabiki wa chama wakampa Kabrou kura zaidi!
Sishangai sana kwani tunachagua wabunge wengi mbumbu.
 
TzPride said:
QUOTE:
Unregistered

tanzanians are stuck in time warp, they lack the intelligence of understanding economic federations they see things in simple terms, most of these guys posting rubbish about kenyans,ugandans,rwandese, somalis etc are idlers who lack the foresight to see the opportunity of being unified.Go ahead and join sadc, you will just end up in even worse predicament, only this time the south africans will be manufacturing even your toothpicks.and you will be a source of cheap gardeners and housemaids for the makaburu.

----------------------------------------------------------------
The only benefit you people empphasising is Economical one. What about the other areas? Are you not aware of your disintegrated societies? Your want us to start wrangling with Kenyan tribalism and corruption?? What about the northern Uganda war... you want us to have that share as well?
Please let every one remain in his/her country and try to focus how you can eradicate the pressing problem; Tz-poverty, Uganda-war and life presidency, Kenya-tribalism, corruption and political instabilty(already very very rich).

Its truly amazing to read the kind of arguments that are being put foward by our fellow brothers from Tz..Just where are these people living in..are we really talking about the present world??? Talking about how disintergrated kenya and others are?? Oooh,how their society is so cohesive ..then what ???What Tanzanians are really scared of ,..Do Tanzanians understand how a capitalist society functions?? I really don't know.Who said people in the united states are so cohesive that thats why they are so developed ?

That there are no poor people in america ?? No gangsters ? No corruption ??As a matter of fact,USA is broken down along racial lines. Talk of tribalism in Kenya..in the US...you don't even have to open your mouth for someone to know where you come from ,they just look at your colour and the darker you are ,the harder it gets for you.But inspite of all that,do people really care ?? Most don't,its business as usual. If the people from Tanzania think that Kenyans are greedy, they don't know nothing yet..

The US its money making money and if you don't read between the lines,you only have yourself to blame. If Tanzanias feel they are not ready for a federation and that they need to sharpen their competitive skills,they should say so but unfounded comments by some ignorant fellows about people coming to grab "bongo" is utter nonsense.I really feel that our neighbours south of the border are caught in a time capsule and the sooner it bursts ,the better it will be for them to see the light and smell the roses.

Mkeya -Origi.
 
The strategy, ni kuchagua wabunge wa kwenda huko lame duck as much as posibble, ili waombe ushauri wa CCM all the time kwenye issues huko,

leo niliongea na kigogo mmoja anasema kuwa ilibidi kumpa Masha toka upinzani kwa sababu chama chakke UDP, hakina nguvu as opposed to TLP, Chadema, na CUF, kwa hiyo CCM walikuwa wanampigia kampeni huyu Mzee kwa makusudi, CUF wakagundua dakika ya mwisho na kugomea uchaguzi, lakini it was too late,

anasema wabunge wote waliochaguliwa wamechaguliwa kwa mtindo huo wa kuhakikisha kuwa ni magoi goi,

What a strategy and a waste!
 
Back
Top Bottom