East Coast of Africa Music HQ- The Empire of Tanzania

East Coast of Africa Music HQ- The Empire of Tanzania

Darassa ft Ben Pol - Muziki



Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy niite mbwana samata

Wanaoota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia
Let me make one thing clear blah blah blah sitaki kusikia
Sio simba sio chui sio mamba ngozi yangu inatosha kujigamba
Na sina maneno ya kwenye kanga kazi juu ya kazi yani bamba tu bamba
Mzaha unaweza kuzaa kizaa zaa sinzia na fegi uchome kibanda
Kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya wanga
Funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba
Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga

Ee maisha namuziki acha maneno weka muziki
Ukiwa zap ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
yeeeh safari na muziki heee acha maneno weka muziki
yeeeh imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki

Bambata shika kamata rumba chakacha
Kaboka mchizi nishadata shadata

Unataka kukimbia na hauna break what do you expect
Bongo kongo kwa tabureki cheza lokasa ya mbongo huwezi kumake
Watch yourself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues
Unamchuzi wa excuse maisha yetu ya kila siku kama vile movie
Vitu vingine havitakagi ujuaji utajikuta unatandikia watu jamvi
kusubiria embe chini ya mnazi kumuelewesha chizi utajipa kazi
Funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba
Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga
Ee (uwiiiiiiii)

Maisha na muziki acha maneno weka muziki
Ukiwa zap ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
Yeeeh safari na muziki heee acha maneno weka muziki
Yeeeh imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki

Wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top
I thought I told you that we don’t stop we don’t stop we don’t stop
Wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top
I thought I told you that we don’t stop we don’t stop.​
 

Mwasiti - Kaa Nao


Ooo ooh.
Mmmmh...

Kama sio wewe, nisingekuwa hapa.
Kuficha upele, nisikune napowashwa.
Kwahiyari yangu na mapenzi yangu.
Furaha ya mwewe, wapiganapo panzi porini.
Bora mwenyewe, kuliko penzi lako asilani.

Kwenye mapenzi nilizaliwa, isiwe sababu uninyanyase.
Kunipa sumu, ninywe maziwa.
Kwenye mapenzi bora nipotee.

(Uuuuh. uuu.)

Kama mapenzi ni adhabu,
moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kungoja ngoja.
Moyo wako kaa nao...
Kama mapenzi ni adhabu,
moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kuuguza donda.
Moyo wako kaa nao...
Kaa nao, kaa nao
kaa nao, moyo kaa nao

Maumivu kuyashinda ni kazi,
Bora kuridhisha moyo.
Nisubiri thawabu labda utanisahau ila ni kuulaghai moyo.
Walisema mengi, kwake mi siwezi bila wewe.
Ukaniumiza mengi, kwa imani sitoweza mwenyewe.
Nakubali kweli mapenzi maua,
Yanachanua na kunyauka.
Kwa pressure usijeniua,
yakanifika, roho ikan'toka.

Kwenye mapenzi nilizaliwa, isiwe sababu uninyanyase.
Kunipa sumu, ninywe maziwa.
Kwenye mapenzi bora nipotee.

(Uuuuh. uuu.)

Kama mapenzi ni adhabu,
moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kungoja ngoja.
Moyo wako kaa nao...
Kama mapenzi ni adhabu,
moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kuuguza donda.
Moyo wako kaa nao...
Kaa nao, kaa nao
kaa nao, moyo kaa nao

Ouuuu...
mmmmh...

Moyo wako kaa nao...
Nimechoka kungoja...
Moyo wako kaa nao...
Moiyoo, Moiyyyoo,
kaa nao...
Moyo wako kaa nao...
Nimechoka kuuguza doondaa.
Moyo wako kaa nao.
Moiyoo, kaa naoo.

 
Dayna Nyange ft Billnass - Komela

Bill Nas

Hakuna zawadi nzuri kama upendo

Hakuna ahadi nzuri kama vitendo

Kunijali hata nkiwa sina

Ilihali hata bila jina



Dyna Nyange

Kila nikiwaza

Unanifanya mi nikose nakosa raha

Kwa vile nakudata unanifanya niwe mnyonge

Na naumia rohoo nakuwaza

Bila wewe sina tabasamu ooh

Nakugonza bila wewe sina tabasamu

Nakudata data natamani ila moyo wangu unasita

Nananachowaza waza ntaonaje na moyo umejificha



Chorus

Oooooh oooh

Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo

Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo

Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo

Babe komela ndani kwa ndani nikomele



Bill Nas

Uenda ikawa unanipenda kuliko unavyodhani

Maana unahofia kutendwa

Unaishia kutamani

Unahitaji faraja na kwenda faragha pia

Sitohitaji darasa ili ujue nakuzimia

Mi siamini niko peke yangu na wewe uamini

Juu ya nafsi na upendo wangu

Nipe nafasi nzuri ya moyo wako

Nione fahari tu mi niwe wako

Twende mbali yani kila dinner

Mida flani mida mida ya midnight

Moyo wako moyo wako

Moyo wako moyo wako



Chorus

Oooooh oooh

Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo

Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo

Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo

Babe komela ndani kwa ndani nikomele



Dyna Nyange & Bill Nas

Show me what you got

show me what you got

show me what you got

(Show me what got ma)

Give me what you got

Give me what you got

Give me what you got

(Give me what got ma)

Show me what you got

show me what you got

show me what you got

(Show me what got ma)

Give me what you got

Give me what you got

Give me what you got

(Give me what got now)



Chorus

Oooooh oooh

Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo

Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo

Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo

Babe komela ndani kwa ndani nikomele ooooh ohoo

Bill Nas Bill nas

Oooooh oooh

Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo

Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo

Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo

Babe komela ndani kwa ndani nikomele ohoo ohoo

Ohoo ohooo

Ohoo ohooo

Ohoo ohooo​
 
Uko vizuri sana bro Annael
Lakini tusimuachie Ichioboy ule uzi kule pekeake.
Pamoja
 
BELLE9 FT. GNAKO - GIVE IT TO ME



Tulikutana Moro town akanipa username
Aliponiona chap chap hakutaka kudelay
Nikamwambia babe mama ita marafiki zako
Niwape ofa ya savanna
Ni kama ndoto ya mchana
Swala kanasa kwenye tego la mtama
Rafiki zangu fisi sana
Nawapa code code club tu na nyama


Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa

Akishawaka mineli ooh
Anabonga swahili na ngeli ooh
Anacheza dancehall singeli ooh ooh(come Again)
Akishawaka mineli ooh
Anabonga swahili na ngeli ooh
Anacheza dancehall singeli ooh ooh

Doo dodo dooo Doo dodo dooo
Doo Mamaa Doo dodo dooo do

Full maconfidenco kaenda toileto woyoyo
Karudi kwenye table yoyoo table empyto
Nauliza waiter na washkaj wakanidirect kwenye bajaji(majizi)
Kumbe watoto wa vilaji wamesepa na bodaboda mishikaki
Bora nkacheze singeli oh maana huyu mtoto nshafeli oh
Amenipeta kiukweli oh oh

Doo dodo dooo Doo dodo dooo
Doo Mamaa Doo dodo dooo do

Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa

Malavi davi umenivuluga unanipeleka resi
malavi davi malavi davi umenivuruga unanipeleka resi yoo
Maana usiku na mchana watu wengi wanashindwa kuelewana
Wengine wanauzana sababu mapenzi hayana mana
Give to me babe aaam babe babee

Doo dodo dooo Doo dodo dooo
Doo Mamaa Doo dodo dooo do

Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa
Give to me ahaa babe give to me ahaa


 

Lameck Ditto - Moyo Sukuma damu



Nimeamua kupumzisha moyo wangu
Maana siku nyingi unateseka juu yangu
Kutwa kupelekwa puta na akili yangu
Eti kisa kuridhisha mwili wangu aaah
Acha nikajaribu na kwingine
Sio fungu langu pengine

Moyo sukuma damu si vingine
Mwili usije zusha na vingine
Kuanza kuparama na mengine
Moyo sukuma damu si vingine

Khaaa

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
aaah aaaeeh aaaeee
usichanganye na mengine
Aaaaah aaaah

Kwenye mapenzi yalonifika sio siri yangu
Maana wengi mliona hali yangu
Kitambaa kiliyachoka machozi yangu
Tabu niliyoipata si stahili yangu
Aha haaa
Sasa mimi ni mtu mwenginee
Nilie funza na mengi eeh
Moyo sukuma damu si vinginee
Tenaa, usidanganywe na mwili eeh
Umeumbwa kutamani mengi eeh
Usije nikumbusha ya kule eeh khee

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
aaah aaaeeh aaaeee
usichanganye na mengine

Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Danganya danganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Eeeeeeiiiiiih

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aah
Moyo Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aaaah

Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Moyoo , moyo
Aaah menginee
Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Moyo moyo
Sukuma damu si vingine










 
Yamoto Band Feat Ruby - Su


We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)

We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)

We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)
We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)

Nachojua undugu ni ule wa damu,
Kuzaliwa tumbo moja,
We na mimi hatunaga uharamu,
Basi punguza uoga,
Nitakupa mapenzi matamutamu,
Napendaga namba moja,
Pilipili yawasha lakini tamu,
Tunapozaga na soda,
Nitamshawishi mama,
ampende sana babako,

Sitokuchezea chezea,
mdogo mdogo utazoea ee
Kupiga selfie selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Kupiga selfie selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Turubai nitandikie na mshamu usimamie

we mtoto wa baba eeh eeh eeh

Turubai nitandikie na mshamu usimamie
we mtoto wa baba eeh eeh aaah
Undugu kaunganisha baba kwa mama yenu nyie mnapaswa mniite dada na mniheshimu mie

Undugu kaunganisha baba kwa mama yenu nyie mnapaswa mniite dada na mniheshimu nyie
hayii, kweli baba anaishi kwa mama yenu naomba sana dada yenu mniheshimu
Hili zizi la kondoo dume

We ni apple lazima uchumwe
Acha niombe Mungu kidume Ayeye yeeeh (aah)

Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua(ah)

Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua sana

Ruby,
mama kaniambia nioe(nioe, nioe)
Ila mimi nataka nikuoe wewe Ruby
Ayii Ruby basi punguzaga kiwewe, niruhusu na mimi nikuite baby, (Hapanaaaah)
Funika kombe mwanaharamu apite(apite)
Mimi kwako wewe nitakifanya chochote(chochote)
Ruby si dada yangu,
kusema tumetoka wote kwa mama yangu
Ukinipenda hakitokei chochote(aah aaah)

Pamparuma mlango wa chuma ukiufungua hauna huruma
Mama anataka mjukuu ya nini kuweka usiku
Pamparuma mlango wa chuma ukiufungua hauna huruma

Mama anataka mjukuu ya nini kuweka usiku
Maromboso
Wouwou uwoo yoo mama
yoo iyo iyo yo mama mameee eeh eeh
Kwanza moja nikuambie
Wewe unaendana na mie
Wengine we wakunjie

Ni mimi tu niwe na wewe
Nataka kukufurahisha baby
Komando nitalinda kidonda
nzi wasije fyonza
Nitaumia
Iyeee yoyo
usiku viwaga vinanitoka aah(iyoo)
mithili ya bomba limefunguka
mimi mwenzio mmh
Nahisi waniita aaah
aaaaah mwenzako pakacha lishafunguka eeeeeh

Hili zizi la kondoo dume
We ni apple lazima uchumwe
Acha niombe Mungu kidume Ayeye yeeeh (aah)
Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua(ah)
Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua sana​
 
ALIKIBA - AJE


Yeah,
Oh yeah,
Wooah,

ucheshi na sauti,
amenifanya nammisi tu
mwambie asiogope,
Ali ni kipenzi cha watu
Tafanya party nyumbani,
yoyote kwa ajili yake
tena asije pekee yake,
Asiogope aje na wenzake
Tafanya party nyumbani,

yoyote kwa ajili yake
tena asije pekee yake,
Asiogope aje na rafiki zake
basi mwambie aje (aje)
oh aje (aje)
aje na rafiki zake (aje)
hasije pekee yake (aje)

oh aje (aje)

aje oh aje (aje)
aje jamani aje (aje)
aje nammiss aje (aje)
uzuri wake timilifu, nishamwona na watu maarufu tu,
kina wema sepetu, nikaomba namba bichwa kanishusha shuu,
ilinikosesha raha, lulu naye kamdanganya,
kwamba mi ni wa kwake, aniogope tena hasinichekee
ilinikosesha raha, lulu naye kamdanganya,
kwamba mi ni wa kwake, aniogope tena hasinichekee
basi mwambie aje (aje)

oh aje (aje)
aje na rafiki zake (aje)

hasije pekeake (aje)
oh aje (aje)
aje oh aje (aje)
aje jamani aje (aje)
aje nammiss aje (aje)

oh aje, aje na rafiki zake huyo,
Ohhhh
aje leo, leo oh aye,

mwambie, ama ni french girl
niiongee nae hee
viens mon amour
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c'est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi
je vais veille sur toi
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c'est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi​
 
RAYVANNY - KWETU

Verse 1
Sifa kwa mola wangu maulana
Kwa mengi aliyo fanya
Hadi mimi na wewe Kukutana
Kisura
Sijapanga kudanganya
Ntasema Ukweli mama
Kisa na kupenda sana
Kisura
Unasema wanipenda
Ila Maisha yangu Maseke
Michicha Milenda ndo menyu yangu
Na ya kuku mateke
Yani chenga kila siku kilio cha
Sa lini ni cheke
Sina tenda ugali bugurui
Mboga temeke
Nafurahi umeniridhia
Niwe na wewe kimwali
Maisha yangu mitihan
Isiyoisha maswali
Ukifika nyumbani
Vumilia maana khali
siyo shwari
Asubuh mchana pakavu
jioni ndo kula futali
Chorus
Tena huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga
Viwalo vyetu ukifua
Kumbuka kuvilinda
Huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga
Aiieeh Mwali ee
Swali la nyumba na gari
Me Bado
Me bado
Me bado
Ndo kwanza nimepanga
Bado iyeeee
Me bado
Sina hata kiwanja
Bado
Iyeee
Me bado kulipa kodi majanga
Bado mimi bado me bado
Verse 2
Mtaani kwetu heka heka
Ukienda sokon kariri vichochoro
Ghetto na mkeka tu hakuna kitanda
Shuka Wala godoro
Heka heka hakuna kibatari
Ndani Giza totoro
Mvua ikinyesha nyumba
Inageuka ka
Boti ya Comoro
Ila nimeshukupa aaah
Nimeshakupa Mtima mtima
Ukija kususa aah
Utanizika mzima mzima
Nimeshakupa nimeshakupa
Mtima mtima
Ukija kususa aah
Utanizika mzima mzima
Chorus
Tena huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga
Viwalo vyetu ukifua
Kumbuka kuvilinda
Huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga
Aiieeh Mwali ee
Swali la nyumba na gari
Mimi Bado
Me bado
Me bado
Ndo kwanza nimepanga
Bado iyeeee
Me bado
Sina hata kiwanja
Bado
Iyeee
Me bado kulipa kodi majanga
Bado mimi bado me bado
Swali la nyumba na gari
Mimi Bado
Me bado
Me bado
Ndo kwanza nimepanga
Bado iyeeee
Me bado
Sina hata kiwanja
Bado
Iyeee
Me bado kulipa kodi majanga
Bado mimi bado me bado



































 
HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ - BADO


Kutwa kidomo wazi, nikifuta na machozi
Huku namwomba Mola unitoke moyoni
Ila ndo siwezi nakesha ka mlizi, maana ata nikilala unanijia ndotoni
Asante kwa kuniumiza, nimejifunza mengi
Mwanzo sikuyajua, naapa kutolipoza
Na umwambie mapenzi abaki kuyaskia eeeeh
Nakumbuka maneno yako, kutonikimbia utabaki nami eeeh
Tena ukala na viapo taulati Bibilia
Leo sikuoni ila mwenzako bado

(CHORUS)
Bado bado, bado bado
Mwambie bado
Bado bado
Sijapona
Ila mwenzako
Bado bado, bado bado
Bado bado
Sijapona (sijapona ooooh)

Mola nishike mkono baba muumba
Haya ninayo yaona simanzi eeeh
Yani bora jicho mchanga ningefumba
Wenda angeshapona maradhi eeeiiiii
Ooh maumivu yangu yaweze kupona kwa vidonge
Sababu panaponichoma kipasa sipaoni
Kweli pekee yangu umeniacha na unyonge
Kabisa wakanipokonya tonge langu mdomoni
Ona nakumbuka maneno yako hutanikimbia utabaki nami
Ooh ningemie roho yako yani umetimia
Mbona sikuoni ila mwenzako mimi.....

(CHORUS)

Ahaha ile roho yangu bwana ibebe
Inaniondoka ibebe
Njoo unishike mama Ibebe
Chaukucha...... ×2
Watanizika mama
Mwenzio utabaki ibebe
Chaukucha.......
Maskini pendo langu....
Inanindondoka niokote mama ibebe
Chaukucha.....​
 
Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down

[Intro]
Onana onana nana
Onana onana
macho yanaita macho macho yanaita
Onana onana nana
Onana onana
macho yanaita macho macho yanaita
Onana onana nana
Onana onana
macho yanaita macho macho yanaita​


[Hook/Chorus]
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

[Chege]
Once upon time once upon rhyme
Nakumbuka Marry alikusumbua
Once upon time once upon rhyme
Ulijitahidi sana bado ukachengua
Umekumbwa na jini gani
Mbona mami hautuelewani
Hata jini kisilani sio kama wewe
Wala jini Makata Hakufikii wewe
Kosa langu kukuweka ndani
Haijulikani ndani mwanaume nani
Kila siku vituko tu
Mara moja moja babe unajiweka down

[Hook/Chorus]
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

[Temba and Chege]
Kwanza sema na moyo wako
Usilingie uzuri wako
Kuna kupandaga mami na kushuka
Tupendane forever mpaka kufa

Usiku nikipita twitter
Mami nakukuta twitter
Nikisema nikucheki insta
Nakuta ushapost picha
Pesa zisikupe uchizi
Kibuli na kutudhalau
Wale tulokupa shavu sasa unatudhalau

[Hook/Chorus]
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

[Emmy Wimbo ,Chege and Temba]
I wanna feel love
Tulia tulia mami upate raha
Oooh oooh
Baki kwangu mami upate raha “babe girl”
Tuliza malingo kidogo “babe girl”
Tuliza na nyodo kidogo “babe girl”
Wacha kubinua kichuguu “babe girl”
Hata uende wapi kwako nimeshanasa

[Hook/Chorus]
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

Babe Girl mami tulia tulia tulia
Babe girl mami tulia tulia tulia​
 
Diamond Platnumz ft Khadija Kopa - Nasema Nawe

Verse 1
Halloo, mmh!
Ah, kutwa kiguru njiani, majirani wote wamekuchoka
Mara chumba cha fulani, mtu gani we kwako usiokaa
Washinda vibarazani, ya wenzako kuropoka
Kwa kuwa umemuona fulani ona uso ulivyokukoboka
Sio mwisho vibaoni, hadi kwenye vigodoro
Usio na haya usoni, kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni, kuwa una kasoro
Uso mchana jioni si wajuzi si tomorrow
Sio mwisho vibaoni, kwenye vigodoro
Usio na haya usoni, kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni, kuwa unakasoro
Uso mchana jioni, si wajuzi si
Ah!
Chorus
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe (Umezoea)
Nasema nawewe (Kunichezea chezea)
Nasema nawe (Ah umezidi)
Nasema nawe (Zidi) (zidi)
Nimechoka nasema nawe

(Hehee
Huna haya kama kibakuli cha pumba
Popote unajitokeza babu eh
Haa
We kichoji tu
Unaingia kwenye kundi la ninga
Utachanika mabawa)
Verse 2
Mh, mh
Ah! zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa
Usio mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa
Usio hiana fedhuli uongo umekujaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Agah! Mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokari la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Oh! mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa
Aah!
Chorus
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe (umezoea)
Nasema nawewe (kunichezea chezea)
Nasema nawe agah! umezidi)
Nasema nawe (zidi) (zidi)
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe

(Wewe
umejifunza ngumi leo wataka upigane na Tyson
Haa!)

Ale kaka ah ah kata
Katika si! kata
Oh nteteme nteteme
Wenye kusema wao waseme
Ale kaka ah ah kata
Katika si! kata
Kiuno chako mwenyewe
Mola amekupa wewe
...
Nipe vya bara na pwani
Vile vya nje na ndani
Tumkomeshe fulani
...
Nipe vya bara na pwani
Vya nje na ndani
Akome fulani
Mmh.

(Haloo
Tavunja ... mwaka huu
Maana nazi zimepanda bei eeh)

Thomas!..
Chorus
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe (umezoea)
Nasema nawewe (kunichezea chezea)
Nasema nawe (agah! umezidi)
Nasema nawe (zidi) (zidi)
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe



 
Bonge la Nyau ft Chillah - Aza


Chorus – Q Chief
Aza, Aza, mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, ah, nakupa shikamoo
Aza, Aza
(Ah mtoto wa Kariakoo, mtoto wa Kariakoo)
Aza, Aza, ah, nakupa shikamoo

Kwenu wananiita golo
Ukweli sio koro
Mapenzi ndivyo yalivyo
Verse 1 – Bonge La Nyau
Eyo flow nazi-fix so bad
Navyo-feel bad just like na-play card
More motivation, more money, more play
Visa na vituko unavyofanya siongei
Ngwair, kama Ngwair akakuita She-Got-A-Gwan
Pozi mpaka pozi za Blue ukiwa chumbani
Ulivyodeka dah, ndo unanipa burudani
Umenipa thamani kwa mwingine sitamani
Kama umezaliwa mi nisota
Mwanao hata mia naokota
Ukirudi kwangu ka naota
Unavyonitunuku naogopa
Mtaka nyingi ukosa na saba
Usipende madingi utakuja kuvaba
Tulia na mimi tuishi pamoja
Tukikosa leo kesho inakuja
Chorus – Q Chief
Aza, Aza, mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, ah, nakupa shikamoo
Aza, Aza
(Ah mtoto wa Kariakoo, mtoto wa Kariakoo)
Aza, Aza, ah, nakupa shikamoo

Kwenu wananiita golo
Ukweli sio koro
Mapenzi ndivyo yalivyo
Verse 2 – Bonge La Nyau
Ile love nayotaka kwako naipata
Siwezi kusaka vingine kwenye vichaka
Unavyokata, mpaka nadata
Kama love ni uchafu, Kkoo zitupwe taka
Mungu akupe imani uzidi kunithamini
Na akulinde na shetani ufate miongozo ya dini
Atuweke vyema duniani mpaka tukienda chini
Kila siku furahani: shida, raha na mimi
Kama umezaliwa mi nisota
Wanaogharami unaokota
Ukirudi kwangu ka naota
Unavyonitunuku naogopa
Mtaka nyingi ukosa na saba
Usipende madingi utakuja kuvaba
Tulia na mimi tuishi pamoja
Tukikosa leo kesho inakuja
Chorus – Q Chief
Aza, Aza, mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, ah, nakupa shikamoo
Aza, Aza
(Ah mtoto wa Kariakoo, mtoto wa Kariakoo)
Aza, Aza, ah, nakupa shikamoo

Kwenu wananiita golo
Ukweli sio koro
Mapenzi ndivyo yalivyo

 
Izzo Bizness Feat. Barnaba & Shaa - Love Me

Intro – Barnaba - Izzo x Shaa
Here they talk, let 'em talk girl
Now what they talk?
Here they talk, let 'em talk girl
Now what they talk?
Here they talk, let 'em talk girl
Now what they talk?
Here they talk, let 'em talk girl
Ah haa
Chorus – Barnaba - Izzo x Shaa
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me
(Don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me
(I love you baby, I love ya!)
Verse 1 – Izzo Bizness
Mapenzi hatujaanza juzi, long time niko nawe
Naomba radhi nikikuudhi, nahisi nimeumbwa na wewe
We barafu wa moyo wangu, acha leo niweke wazi
Labda shahidi yangu Mungu, nikiwatoa wazazi
Nakumbuka toka shule, enzi za sekondari
Baby ulikuwa pale, we ulionyesha kunijali
You’re the one in a million, naapa kwa jina langu
Ah Jose Chameleone, "Sina var luvalu baby"
Tangu Izzo naitwa Imma, we ulikuepo ulisimama
Matatizo yalituandama, we hukuchoka ulipambana
We ndo maana ya mapenzi, mapenzi yanakuogopa
Hawa vicheche ni washenzi, hawajui wanachotaka
Ntakujali na kukuheshimu, acha woga mi bwana ako
Ya kwetu jukumu letu, hayawahusu shoga zako
We ndo Alicia, mi ndo Swizz, tupa mbali Jay Z, Beyonce
Shaa ndo keys, MJ beats, anayebisha shauri yake
Chorus – Barnaba - Izzo x Shaa
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me
(Don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me
(I love you baby, I love ya!)
Verse 2 – Izzo Bizness
Kama ku-cheat, nisha-cheat sikufichi honey
Nisamehe yo my sweet honey, ni pepo sio mi
Ruksa kamba we nifunge, nishatua hapa
We ni jimbo nami mbunge, nishatua hapa
Mapenzi moto moto mpaka joto linaona wivu
Nikuite nani, ama mtoto? Leo baby naomba kavu
We mtamu kushinda asali, hakyamungu utaniua
Acha waseme mi sijali, haki ya Mungu utaniuaa
Acha basi nikusifie, sifa ulizonazo
Ila baby usijisikie, ikawa kama chanzo
Guu lako sio la bia, baby guu la champagne
Leo wazi nakuambia, hey you got that thing
Midomo wet sio mikavu, ona wanaona wivu
Umejazika si sana, maana sana inaboa
Hasa kwa sisi waungwana, sana inaboa
Macho na hizo hips ndo nakufa kabisa
Chorus – Barnaba - Izzo x Shaa
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me
(Don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me
(I love you baby, I love ya!)
Bridge - Shaa
(I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby (baby), I love ya
(I love ya)
Ah ah I love ya (I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby (baby), I love ya
(I love ya)
Ah ah I loving ya
Chorus – Barnaba - Izzo x Shaa
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me
(Don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me
(I love you baby, I love ya!)
Outro – Izzo Bizness
Yeah!
Hii special kwako baby, au sio?
You're the one and only
Yo miss Bizz.. miss Bizness, baby
Hahah
I love you, baby aah

 
Malaika -Rarua

Verse 1
Niache nifanye kusudi
Ikibidi nifanye kufuru
Wanitangaze hata sana
Kwani mi ninavyompenda mwingine hakuna
Kanifunga gamba cha chini cha sunna
Kaniganda ganda baridi hakuna
Mtundu wa kitanda ah
Na lake jaramba ah
Bridge
Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Hook 1
Acha kusema waseme wala sijali
Haya yake masebene mie sichezi mbali
Chorus
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua, rarua, rarua, rarua
Verse 2
Nimelamba utamu wa peremende
Kanifunga kabisa na kwao twende
Akanipe vya pwani; harua, tende
Kweli, nimesema simwachi
Nakaba mpaka penati
Nitabeba hata pochi
Nitalipie na cash
Ninasifiwa kupetipeti, sijasifiwa kuvaa
Mi napuliza japo kuna net, penzi lizidi kung’aa
Hook 2
Na siwezi, ya walimwengu maneno
Naficha penzi, wanang’ata bila meno
Chorus
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua, rarua, rarua, rarua
Bridge
Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Hook 1
Acha kusema waseme wala sijali
Haya yake masebene mie sichezi mbali
Chorus
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua, rarua, rarua, rarua

 
Madee - Hela


Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa

Habari gani jamani
Na Hari ni gani
Mliopo duniani na mna raha
Game hatushindani na hatubishani
Nani ni Bingwa wa raha heeeh
Siku hizi ela inakupa u star
Ni rahisi kumpinga hata jah
Mwenye ela atakuhamisha Dar
Na akitaka hata jera utakaa
Hela imeleta hata vita imeua majita
Hali mradi balaa
Hela imevunja kanisa
Leo hakuna misa tunashinda bar
Yule kijana wa home sio star
Anatukana hata walio mzaa
Wivu tamaa na njaaa
Ukiendekeza jua kidole utakaa Llaa

Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa

Hii dunia ni njia na nishapitia
Na nakaribia kusepa
Wengi wanaisifia ila mi naichukia
Na naona ni ngumu pia kuikwepa
Basi nyinyi watoto someni
Ya akina wema kadinda komeni
Kesho mufike kule bungeni
Msiendekeze ya mabrazamen
Mengi nimepitia nikiwahadithia
Wengine mtalia sana
Ina mengi dunia usipoangalia
Watakutatisha tamaa
Eti Masaki kuna MunguWatu
Nje Jongoo kumbe nani Chatu
Hivi nyie darasa la tatu
Mshaisoma hadithi ya kibantu Heeee Llaaa

Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa

Enyi nyinyi wadada wa mjini
Mnauza chini mnataka nini hela
Siwezi weka akilini chumvini mimi
Alafu nikupe hela
Kama wewe una act Tom Boy
Hata kunshike kwa wapi huchojoi
Hata ufungue hii nati sienjoy
Nakula bati kuliko hata toy

Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa
Heeee Llaa










 
Ruby -forever

Verse 1
Kosa si kosa tuna-shout hadharani
Sometimes njoo tugombanie chumbani
Haya mapendo yasikatie njiani
Napenda ukifurahi cause moyoni my number one
Haki ya Mungu wallahi, kesho tutaiona sky
Napenda ukifurahi cause moyoni my number one
Haki ya Mungu wallahi, kesho tutaiona sky

Chorus
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together

Verse 2
Maneno maneno yasivuruge amani
Tuipinge kesho wasicheke pembeni
Ana ana do, si mchezo, si utani
Napenda uki-smile cause moyoni we mjanja wangu
Haki ya Mungu huelewi jinsi unaniweka high
Napenda uki-smile cause moyoni we mjanja wangu
Haki ya Mungu huelewi jinsi unaniweka high

Chorus
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote pamoja

Bridge
Nyota na mwezi mashahidi watuone
Mchana usiku, njozi yako isikome
Kwa lugha zote, sema wala usikome
Ili mradi moyoni waujua ukweli wote

Chorus
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote pamoja (x2)​


 
Vanessa Mdee - Niroge


Verse 1
Mh ,
Furaha ya nyumba mwanaume,
Wacha nikutunze,
Nyumba yetu tuipambe,
Ha! hapo nyuma tukishidiaga mabwede,
Karanga na makande,
Ngulu ugali dona sembe,
Hook
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko,
Hawaishi longolongo
Ni maneno kama viroboto,
Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto
Jamani sielewi, baby you are
Chorus
Ukimwona furaha tele moyoni,
Nikimwona tabasamu usoni,
Ukimwona furaha tele moyoni,
Nikimwona tabasamu usoni,
Naomba uniroge x3
(kwani mapenzi matamu)
Naomba uniroge x3
Verse 2
Siku hizi
We mwanaume nguzo
Ulishinda na vikwazo ,tangu mwanzo
Ulipambana na wenye nazo ili niwe mali yako
Leo kula vyako
You are my dream, in my life
Hata me moyoni we ndio unanifaa,
Hook
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko,
Hawaishi longolongo
Ni maneno kama viroboto,
Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto
Jamani sielewi, baby you are
Chorus
Ukimwona furaha tele moyoni,
Nikimwona tabasamu usoni,
Ukimwona furaha tele moyoni,
Nikimwona tabasamu usoni,
Naomba uniroge x3
(kwani mapenzi matamu)
Naomba uniroge x3
...
To te left (spending)
To the right (my life)
To the left (spending)
To the right (my life)
To the left (spending)
To the right (my life)
To the left
Kwani mapenzi matamu (x2)
Chorus
Ukimwona furaha tele moyoni,
Nikimwona tabasamu usoni,
Ukimwona furaha tele moyoni,
Nikimwona tabasamu usoni,
Naomba uniroge x3
(kwani mapenzi matamu)
Naomba uniroge x3
(kwani mapenzi matamu)
...

To the left
To the right
To the left
To the right
To the left
To the right
To the left (x2)

 
Linah - Malkia Wa Nguvu

Verse 1
Kwetu uchapakazi na umahiri
Tunatupilia mbali hofu, haikwamishi
Kwetu uchapakazi na umahiri
Tunatupilia mbali hofu, haikwamishi
Twaendelea na kazi kwa ujasiri
Na inatupa thamani inayostahili
Hook
Malikia wangu wa nguvu
Tujitume zaidi
Malikia mwenzangu wa nguvu
Tuendelee
Malikia wangu wa nguvu
Tujitume zaidi
Malikia mwenzangu wa nguvu
Twende mbele
Chorus
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Verse 2
Kujiamini ndo zetu, hofu sio mpango (woowoo)
Nguvu kwenye kazi tena za viwango (woowoo)
Familia ndo sisi, kwa malezi bora (woowoo)
Mapenzi ya dhati moyoni, yasiyo na kikomo (woowoo)
Tuendelee na kazi kwa ujasiri
Na inatupa dhamani inayostahili
Kwetu chapakazi..
Tunatupilia mbali..
Twende mbelee
Chorus
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri

Kwa ujasiri, tujitume zaidi
Outro
Malikia mwenzangu wa nguvu
Mchapakazi, mbunifu
Malikia mwenzangu wa nguvu
(Tujitume zaidi)
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri​


 
Ibra Nation - Nilipize




Intro
Ooooh yeaah yeaah
Emma The Boy on the beat
Verse 1
Hivi kweli unakumbuka hata kujuta
Kwa ulionifanyia?
Moyoni uliguswa au ulipuuza
Na hautaki nisikia?
Hata kutuma ujumbe mfupi tu, my darling
Unikosee wewe niombe msamaha mimi, yeah
Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma
Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena
Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma
Nataka kuwa nawe mamito
Nataka kuwa nawe
Chorus
Ningesema nilipize woh
Mabaya yako nikuumize
Nawe uumie
Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Verse 2
Ungenifikiria hata mara moja
Japo hauna hisia nami
Nidanganye hata kwa ngoja ngoja nitasubiri
Ulikubali kwa moyo mmoja kuyajenga maisha nami
Nieleze ni wapi nlipoteleza nisiumie
Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma
Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena
Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma
Nataka kuwa nawe mamito
Nataka kuwa nawe
Chorus
Ningesema nilipize woh
Mabaya yako nikuumize
Nawe uumie
Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Bridge
Kama ningelipa unayontenda ungeshaumia
Sitamani maumivu nayopata yaje kwako pia
Namuachia Mola anilipie
Anionyeshe fungu langu mie
Chorus
Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Moyo wangu
Moyo wako
(Emma The Boy on the beat)



 
Back
Top Bottom