Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
- Thread starter
- #61
Darassa ft Ben Pol - Muziki
Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy niite mbwana samata
Wanaoota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia
Let me make one thing clear blah blah blah sitaki kusikia
Sio simba sio chui sio mamba ngozi yangu inatosha kujigamba
Na sina maneno ya kwenye kanga kazi juu ya kazi yani bamba tu bamba
Mzaha unaweza kuzaa kizaa zaa sinzia na fegi uchome kibanda
Kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya wanga
Funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba
Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga
Ee maisha namuziki acha maneno weka muziki
Ukiwa zap ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
yeeeh safari na muziki heee acha maneno weka muziki
yeeeh imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
Bambata shika kamata rumba chakacha
Kaboka mchizi nishadata shadata
Unataka kukimbia na hauna break what do you expect
Bongo kongo kwa tabureki cheza lokasa ya mbongo huwezi kumake
Watch yourself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues
Unamchuzi wa excuse maisha yetu ya kila siku kama vile movie
Vitu vingine havitakagi ujuaji utajikuta unatandikia watu jamvi
kusubiria embe chini ya mnazi kumuelewesha chizi utajipa kazi

Ee (uwiiiiiiii)
Maisha na muziki acha maneno weka muziki

Yeeeh safari na muziki heee acha maneno weka muziki
Yeeeh imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
Wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top
I thought I told you that we don’t stop we don’t stop we don’t stop

I thought I told you that we don’t stop we don’t stop.