East Coast of Africa Music HQ- The Empire of Tanzania

East Coast of Africa Music HQ- The Empire of Tanzania

ASLAY - ANGEKUONA

Verse 1
Yani raha hata tukilala na njaa
Kila saa nakuona mpya mamy
Tena raha huku ninavimba kitaa
Unang’aa hata kwenye giza mamy
Basi tulia eeh kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eeh ili mradi unipe heshimaa
Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana
nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana
Chorus
Ooh I wish angekuona maaa
Mama angefurahi mama maaa mama
Eeeh mama yangu mama maaa
Mama angefurahi mama maaa mama
Verse 2
Navyo mjua mama angekupa vitenge
Tena bila iyana na kikapu cha embee
Ana viwanja mamaa agekupa ujenge
Na ukirudi kwangu upate mwogo wa chang’ombe
Umeondoka mama imekuja zawaadi
Nabaki nalia nalia sina budi
Fikra tupa mwana naogopa dhambi ila
Nakuombea ulale pema kwa bosi tuliaaa
Kama maji kwenye mtungi baby nitakuleaa eh
Ili mradi unipe heshima
Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana
Nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana
Chorus
Ooh I wish angekuona maaa mama
Angefurahi mama maaa mama
Eeeh mama yangu mama maaa mama
Angefurahi mama maaa mama
Wuwuwuwu uuuh…maaa mama mamamama… maa mama
I wish angekuepo mama maaa mama
Nonononono… maa mama
Uko wapi mama mamamamamamamamamama…nakukumbuka mi mwanao
Eeeh maa mamaa maaa mamaa




 
Dully Sykes - Yono


Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono

Haa munanishangaza mnavyosema malaya
Eti wanamchakaza amechoka ile mbaya
Mwenzenu ananiliwaza napata upepo wa ulaya
Msitake kunikwaza na maneno shombo mso haya
We mwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Yono wee
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono

You are my sweet love sweet lover
Unatembea kote mwisho unarudi hapa
Unanipaga yote haubakishi unanipaga raha
Zote za dunia mimi nazipata hapa
You are my sweet love sweet lover
Unatembea kote mwisho unarudi hapa
Unanipaga yote hubakishi unanipaga raha
Zote za dunia mimi nazipata hapa

We mwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono
Omwana gwenjagala Yono
Abalala bandeke Yono
Omurunji gwesinge Yono
Tewali yali mundesa Yono

Eeeh Hata waseme nini?
Mama yao
Yelele lele mama yao
Eti kicheche cha mjini mama yao
Ila mimi nakithamini mama yao
Waseme nini Mama yao
Yelele lele mama yao
Eti kicheche cha mjini mama yao
Ila mimi nakithamini ndo mama yao
Eehee Telelele
Mama yao
Eehee Telelele
Mama yao Telelele
Mama yao Telelele
Mama yao Telelele


 
Feza ft. Chege Sanuka



yeleelee yeleee (sanuka)
yeleelee yeeleelee (sanuka moyoni)
×2
wanasema malenzi kikoozi na yametoka mbaliii
yana mabonde yanamilima yanamajabaliii
mapenzi matamu
ukitendwa dosaarii
yalinifanya misitaki
bora nikae mbaliii

nikikumbuukaaa yalonokutaaa
mpaka najutaa
kwanini nilipenda pendaa
niliumbukaa aa
likanishukaa na nikajuutaa
yalivo nitenda tendaa
nilitendwa na rashidi
nikaenda kwa faridi
sikupata cha zaidiakaleta chenga tu zaidi
alichofanya saidi
kususa iiilibidi
kweli mapenzi ya wongo
ndomana nimepunguza speedi èee

yeleleeey yeleeleeeey(sanuka)
yeleeeleey yeeleeleee (sanuka moyoni)

dosaara aah hasaaraa aah
usaaraa usaraah
ndugu zangu mapenzi ni upofu
naona yakisha kushikuu​
 
Acha waisome namba eeeeh bongo flavambele Kwa mbeeeeeeeeeeleeeeee
 
Harmonize - Aiyola

Intro
Wasafi
Aiyo aiyola ieeh
Aiyola mama aiyo aiyoola aieeh
Mmh

Verse 1
Nilifundishwa na bibi kijijini jinsi ya kupenda
Na mwanamke hapigwi
Na ngumi ila upande wa khanga
Tena mapenzi sio ligi nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa biradhi
Ushindani risasi kwa panga
Mbona nilikuthamini
Mengi nikakusevia
Sikusema hadharani
Wengi wakayasikia
Si wakunipanda kichwani
Hukumbuki tulipotokea
Unaponishusha thamani
Kipi nilichokosea
Ingawa kidogo nilichopata
Nikajinyima uridhike
Ila hukujali ukanikatili moyo
Majirani walinicheka
Ulipoforce nipike
Ah sio siri ilinivunja moyo
Oh kisirani ugomvi bila chanzo
Ni kweli upo moyoni
Sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande

Chorus
aiyo aiyola ieh
sitoforce unipende
aiyo aiyola ieh
ooh kishingo upande mama
aiyo aiyola ieh
basi bora uendee
aiyo aiyola ieh

Verse 2
Sitosema mapenzi basi
Nimeumbwa nna moyo
Moyo wenye matamanio
Na unapenda pia
Ila nitaijutia nafsi
Nilikufanya chaguo
Ah chaguo la moyo
Kumbe ulipita njia
Ah ah nilivowanyima ndugu
Vi siri nikakutunzia
Usijeleta vurugu
Akili ukaitibua
Najuta kujitia bubu
Sitaki vya kusikia
Kisa pendo unisulubu
Mengi nishayafumbia
Mbona nilikuthamini
Mengi nikakusevia
Sitosema hadharani
Wengi wakayasikia
Si wakunipanda kichwani
Hukumbuki tulipotokea
Unaponishusha thamani
Kipi nilichokosea
Oh kisirani ugomvi bila chanzo
Ni kweli upo moyoni
Sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande

Chorus
Aiyo aiyola ieh
Sitoforce unipende
Aiyo aiyola ieh
Ooh kishingo upande mama
Aiyo aiyola ieh
Basi bora uendee ma
Aiyo aiyola ieh
ingawa kishingo upande
Aiyo aiyola ieh
Sitoforce unipende
Aiyo aiyola ieh
Ooh kishingo upande mama
Aiyo aiyola ieh
Basi bora uendee
Aiyo aiyola ieh
Kishingo upande x2
Aaaaah


 
Kayumba-Kipepeo


[Intro – Enock Bella]
Jiji la Dar, wee
Jiji la Dar, mama yangu
Kayumba au macho yangu?
Nini kimekusibu?

[Verse 1 – Kayumba]
Enock, niache
Mwenzio mpuru mparara
Waambie ukiwakuta sina mpya sera
Salamu ziwafikie ndugu na masela
Waambie fika kufika nimefika
Ila wajue sijiwezi teja wa kutinga
Mwambie maaiyaya njia nilikosea
Mwambie baaiyaya imenichapa dunia
Mwambie maaiyaya njia nilikosea
Mwambie baaiyaya imenichapa dunia

[Pre-Chorus 1 – Kayumba]
Toka nimeaga bado mazaga sina
Kisa mawazo baba nikala ngada leo nazima
Toka nimeaga bado mazaga sina
Kisa mawazo baba nikala ngada leo nazima

[Chorus – Kayumba]
Kipepeo we paa, nenda kamueleze mama
Kweli nimefika bandari ya Dar Es Salaama
Kipepeo we paa, pepea kamueleze mama
Mateso napata ya leo afadhali ya jana

Aah…
Ya leo afadhali ya jana
Uuh…

[Verse 2 – Kayumba]
Niliokutana nayo si madogo, kipepeo
Nime-miss ugali wa muhogo
Niliokutana nayo si madogo, kipepeo
Zimeniisha mbwembwe na mikogo
(Usiku silali), mchana natinga
(Usiku silali), ayoo ayoyoo
Sio siri nimechoka kuokota machupa
Nalia
Kila ninachokipata eh, naishia kuvuta
Naumia

[Pre-Chorus 2 – Kayumba]
Nimemkumbuka mama eh
Na baba eh
Eh mama, mjini cha bure salamu

[Chorus – Kayumba]
Kipepeo we paa, pepea kamueleze mama
Kweli nimefika bandari ya Dar Es Salaama
Kipepeo we paa, pepea kamueleze mama
Mateso napata ya leo afadhali ya jana

[Bridge – Kayumba]
Kuyatumia haya madawa ni hatari sana (vijana)
Oneni mimi ramani ya maisha nimefulia

Usiku silali, mchana natinga
Usiku silali… aiyoo aiyoo
Usiku silali, mchana natinga
Usiku silali…
Usiku silali…
Usiku silali…

[Outro – Kayumba]
(Mkubwa Na Wanawe)
Na Mkubwa Fella
(Mkubwa Na Wanawe)
Na Babu Tale
(Mkubwa Na Wanawe)
Chambuso baba
(Mkubwa Na Wanawe)
Shirko Kapiten
 
Lady Jaydee - Nilizama

Chorus
Kumbe nilizama kwa brother meni
Kumbe nilizama kwa sista duu
(x3)
Verse 1
Sijui niseme nini moyo wangu unyamaze
Au sifa zako hadharani nizieleze
Sema unachotaka utapata wangu mpenzi
Siku zote nimekuweka moyoni
Lakini bado wewe waniumiza
Kwanini mimi wanifanyia hivyo?
Wenye mimi kila siku nalia
Kwa sababu yako oh wewe
Oh mamii

- Lady Jaydee -
Ushamba gani huo lakini!
Kosa ni kukupenda au nini?
Unaonyesha message zangu kweli! Inahusu nini?
Kuniweka speaker phone (inamaanisha nini?)
Nilidhani wa kutoka shamba tu ndo washamba
Kumbe hata mjini he-he-heiya (loh!)
Matusi kila kukicha, kubembeleza kusokwisha
Tafuta wa kuchoresha, Jay Dee nimechoka
Chorus
Kumbe nilizama kwa brother meni
Kumbe nilizama kwa sista duu
Kumbe nilizama kwa brother meni
Kumbe nilizama kwa sista duu
Verse 2
- Lady Jaydee -
Brother meni anadai kuwa eti ananipenda mimi
Huku nyuma ya mgongo wangu anatoka na jirani
Anawatuma washikaji zake kwangu
Anatafuta kisa ili anibwage
Anawatuma washikaji zake kwangu
Anatafuta kisa ili anibwage


Eh eh nyumbani kwetu maa nilikutambulisha
Na marafiki zangu walikupenda sana
Lakini moyo wangu umeuumiza
Mapenzi ya kisista duu sitaki tena
Mama wee, Samu mimi naumia


Nashindwa kusema, nikisema labda sitaeleweka
Mapenzi jamani yamejaa visa ndugu yangu
Oh unaemupenda huenda asikupende
Usiemupenda akuganda, ganda, ganda kama gundi
Kukuacha nimeshindwa, kuendelea pia visa kibao
Mmh naumia

Chorus
Kumbe nilizama kwa brother meni
Kumbe nilizama kwa sista duu
Kumbe nilizama kwa brother meni
Kumbe nilizama kwa sista duu

Verse 3
Yelelele tunakuja eh, tunakuja kivingine eh
Machozi Band twakuja yeh, tunakuja kivyetu vyetu
Yele maa tunakuja eh, tunakuja kivingine eh
Machozi Band tunakuja yeh, tunakuja kivyetu vyetu
Na Nure tena (mama)
Anakuja (mama)
Machozi Band (mama)
Inakuja (mama)
Ale Lady Jay Dee, Jay Dee (mama)
Anakuja (mama)
Toto Gardner (baba)
Anakuja (baba)

Outro
Kusema unaweza utanipa mapenzi
Ni mapenzi gani ya kibrother meni yoyo
Umechemsha, na haina kwere


Machozi Band (mama)
Inakuja (mama)
Ale Lady Jay Dee, Jay Dee (mama)
Anakuja (mama)

Toto Gardner (baba)
Anakuja (baba)



 
Karibuni Sana.
Katika thread hii nitaongelea uwezo na nguvu ya muziki wa kitanzania katika pwani hii ya mashariki ya Africa. Nguvu na mabadiliko ya kijamii mara nyingi yanahamasishwa na muziki.

Uzuri wa muziki ni mpangilio wa sauti, vyombo vya muziki na fasihi iliyojificha ndani ya muziki. Kwa upande wa pwani hii ya mashariki, Tanzania ndio makao makuu ya mziki mtamu na wa kuvutia. Mziki wa mwambao huu wa pwani ya mashariki umebatizwa kwa jina la Bongo Flava.

Bongo Flava limetokana na neno Ubongo au kwa maana nyingine akili, kwamba jiji la Dar es salaam linaitwa Bongo. Kwamba Dar es salaam inawakilisha Tanzania. Kwahiyo muziki wa Bongo Flava ni muziki wa akili.

Mashairi ya Muziki wa Bongo Flava mara nyingi yanakuwa katika mpangilio wa vina huku yakijaa maneno ya tafsida na tamathali za semi mbalimbali. Nahau, misemo, misamiati na methali huwa zinaunganishwa katika mashairi ya muziki wa bongo flava ili kunogesha na kufanya wimbo upendeze.

Sauti nyororo na za kubamba za vijana wa bongo zinafanya muziki huu uibuke kidedea na kutetea pwani ya mashariki mwa africa kwa hapa africa na dunia nzima. Mashairi mengi ya Bongo flava yanaandikwa kwa lugha ya kiswahili; kitendo hicho kinawafanya wale ambao hawajui kiswahili wapate hamasa ya kujifunza kiswahili kwa kunguvu ikizingatiwa kwamba kiswahili ni lugha adhimu duniani. Inasadikika kwamba lugha hii ndiyo Adam na Eva walikuwa wakiongea wakiwa bustani ya Aden. Baadhi ya maneno ya kiswahili yanasadiifu ukweli huu kwamba kiswahili ndiyo lugha ya kwanza ya binadamu.

Katika thread hii nitajikita kuonesha ubora wa sauti nzuri za watu wa tanzania katika muziki. Nitaonesha mashairi mbali mbali na kuweka video tofauti tofauti kisha kuzielezea.

Zaidi ya kuwa muziki ni burudani, kuelimisha na kuliwaza, mziki umekuwa biashara na vijana wengi wamekuwa wakijiingizia kipato.

Mungu ibariki Bogo Flava, Mungu Ibariki Tanzania.
Karibuni wenzangu kutoka Kenya muweze kujifunza hapa badala ya kuanza kutoa matusi.
"Usivione Vyaelea Vimeundwa"
Is this Kenyan news or politics??????? You're out of order dude
Diamond Platnumz ft Hawa - Nitarejea


Vipi mizigo umeshaweka tayari
Sijechelewa nkaachwa na gari
Basi jikaze usilie mpenzi
Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi

Zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna
Huwa nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna
Roho yangu inauma, sema ntafanya nini na pesa sina
nakuonea na huruma, bora niende mjini kusaka tumaa

Chorus
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea


Wanajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi
ukumbuke na moyo utajawa na simanzi
ntakapokuwa nakwenda shambani afu niko peke yangu honey
ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah
pale napotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani
sina wakunitua nyumbani ntaliaa

maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo
hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo
vile nakwenda na sijui pa kukaaa wala mavazi ooh
we niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh

Chorus
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea


Unapokwenda kama ukifika salama, utukumbuke na sisi
usisahau kama mkeo na wana, umetuacha na dhiki
vile usijali ila naomba chunga sana, ogopa na marafiki
wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama, waambie sidanganyiki

Unapokwenda kama ukifika salama, utukumbuke na sisi
Kumbuka mkeo na wana nyumbani, umetuacha na dhiki ooh
vile usijali ila naomba chunga sana, ogopa na marafiki
wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama, waambie sidanganyiki

ntarejea mama
niombee nirude salama
ohhh watoto wadanganye
ihh, ohh

Chorus
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea
 
Mo Music - Nitazoea



Ayaa!
D Classic
Mmh!
Verse 1
Zile kelele za mto, hazitotikisa mwamba
Kama jaribio langu, kutishia mlima sawa na mate kuzima moto
Basi ungenieleza ule muda wangu ningesoma hata gazeti
Naona najidhariri kutangazia umma napendwa kumbe natendwa

Unawaambia mashosti, imeku-cost kuspend muda na mimi
Umeniwekea nuksi, ona sipati mwenye upendo wa dhati ehh
Hook
Sawa nimeumia, ila nitazoea
Jua dunia duara nawe yatakutokea
Nakuombea Mola ohoo
Akuepushe madhara
Maisha sio masihara, ipo siku utanambia ah
Chorus
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali
Verse 2
Sikukushtua haya, niliposema "basi nenda" (basi neenda)
Nilijiuguza haya, niliposema mi "dhahabu"
Niliposema baby "simama" ulizidi songaa (why?)
Nimeamini we sio binadamu ni kinyonga
Nimedanganywa utulivu wa nje
Kwa ndani unatokota
Na umeniponda kwa nyundo ulozungushwa miba nguvu tena sina eiih
Hook
Sawa nimeumia, ila nitazoea
Jua dunia duara nawe yatakutokea
Nakuombea Mola ohoo
Akuepushe madhara
Maisha sio masihara, ipo siku utanambia ah
Chorus
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali

Eh eh eh yere uh eh
Eh eh eh yere uh eh

Asante

 
Mo Music - Nitazoea



Ayaa!
D Classic
Mmh!
Verse 1
Zile kelele za mto, hazitotikisa mwamba
Kama jaribio langu, kutishia mlima sawa na mate kuzima moto
Basi ungenieleza ule muda wangu ningesoma hata gazeti
Naona najidhariri kutangazia umma napendwa kumbe natendwa

Unawaambia mashosti, imeku-cost kuspend muda na mimi
Umeniwekea nuksi, ona sipati mwenye upendo wa dhati ehh
Hook
Sawa nimeumia, ila nitazoea
Jua dunia duara nawe yatakutokea
Nakuombea Mola ohoo
Akuepushe madhara
Maisha sio masihara, ipo siku utanambia ah
Chorus
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali
Verse 2
Sikukushtua haya, niliposema "basi nenda" (basi neenda)
Nilijiuguza haya, niliposema mi "dhahabu"
Niliposema baby "simama" ulizidi songaa (why?)
Nimeamini we sio binadamu ni kinyonga
Nimedanganywa utulivu wa nje
Kwa ndani unatokota
Na umeniponda kwa nyundo ulozungushwa miba nguvu tena sina eiih
Hook
Sawa nimeumia, ila nitazoea
Jua dunia duara nawe yatakutokea
Nakuombea Mola ohoo
Akuepushe madhara
Maisha sio masihara, ipo siku utanambia ah
Chorus
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali
Basi Mwasi sikio la kufa halisikiagi dawa
Ya nini nikupeti peti, kisicho riziki sili nakitupa mbali

Eh eh eh yere uh eh
Eh eh eh yere uh eh

Asante


Unaboo kwani umekosa kazi msee....hii upuzi yote nani atasoma
 
Mo Music - Basi Nenda


Verse 1
Kulalama kufuru lakini
Naona ndio napoza moyo
Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
Ile tamu imegeuka shubiri
Nilipokuthamini nikakupa moyo
Hata kutendwa sikufikiri
Kinywa kizito kukubali ukweli
Moyo unashindwa inaniuma ni hatari
Mapenzi yanatawala dunia sawa
Nimechoka kutawaliwa kama
Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
Ile Asali wanalina wengine
Siwezi kubishana na moyo
Nilikupenda kipepeo
Ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha
Ooh
Chorus
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Verse 2
Wanasema upendo wa kweli ndio haufutiki
Ila kwa baadhi najua
Right ningeelewa kuvuma kwa upepo kusingebadili misimu ya jua
Nilishajua miendeno yako
Tusingewezana aaha
Kumbe nakunywa maji ya moto me bado mtoto
Kwangu changamoto mmh
Waliposema hufai
Nilijipa moyo ni ya walimwengu
(Bilekebizembe bindi biloza)
Karol aliniambia
Labda thamani ya mapenzi ni kikombe
Sikukivunja sina thamani
Sawa nimelewa sana sina haja ya kung'ang'ana
Chorus
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia

 
Mirror - Baby



Chorus
Oh baby leo
Kama nikikuona nitafurahi
Oh baby leo
Mwenzako mi I feel your trust
Oh baby leo
We jua umenibamba sana
Oh baby leo
Woh baby, uh baby
Oh baby leo
Verse 1
Mwenzako mi na wivu wa mapenzi
Usinifanye niwaze
Aa kama ukinipenda mi, nisikiize
Wengine wako na mapenzi ya money, money
Money, maa
Na kama ukinichoka mi lah, sitaondoka
Pre-Chorus
Kama nikikuona, jaa uwe na mimi
Mi nikikupenda, utanithamini
Oh you're my number one
In a million
Oh baby, nakupenda
Basi maa usubiri
Chorus
Oh baby leo
Kama nikikuona nitafurahi
Oh baby leo
Mwenzako mi I feel your trust
Oh baby leo
We jua umenibamba sana
Oh baby leo
Woh baby, uh baby
Oh baby leo
Verse 2
Usisikiize maneno, maneno mtaani
Utawaza
We pekee ndo wangu honey
Wa kuniliwaza
Nisipokuona sina raha (sina raha)
We senorita
Nikikuona nadata (nadata)
Moyo unaridhika
Pre-Chorus
Kama nikikuona, jaa uwe na mimi
Mi nikikupenda, utanithamini
Oh you're my number one
In a million
Oh baby, nakupenda
Basi maa usubiri
Chorus
Oh baby leo
Kama nikikuona nitafurahi
Oh baby leo
Mwenzako mi I feel your trust
Oh baby leo
We jua umenibamba sana
Oh baby leo
Woh baby, uh baby
Oh baby leo
Brodege
Wajua nakupenda mpenzi
Nipe tena more and more
Ukinipa mapenzi ntakulinda more and more
Usisikiize maneno wanaosema
Itakuwa soo, soo
Chorus
Oh baby leo
Kama nikikuona nitafurahi
Oh baby leo
Mwenzako mi I feel your trust
Oh baby leo
We jua umenibamba sana
Oh baby leo
Woh baby, uh baby
Oh baby leo
...
Kama nikikuona nitafurahi
Kama nikikuona
Mwenzako mi I feel your trust
We jua umenibamba sana
Oh baby leo
Kama nikikuona
Woh baby, uh baby
Oh baby leo

 
Jux Sisikii


Verse 1
Wee
Ulinionesha njia nzuri nisipotee (no no no)
Natena wee, nilipo anguka ulininyanyua nitembee mmmh
Hook
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
(x2)
Chorus
Mi sisikii (mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni (sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, ooah oahoo
Verse 2
Nasema wee
Ulisubutu usile wewe uniletee
Natena wee, kuna makosaa ulipaswa usinisamee
Hook
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
(x2)
Chorus
Mi sisikii (mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni (sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, ooah oahoo
Bridge
Unajitahidi tahidi kunipa upendo
Nitakupenda zaidi my loveee
Unajitahidi tahidi kunipa upendo
Nitakupenda zaidi my loveee
CHorus
Mi sisikii (mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni (sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, ooah oahoo
(x2)

 
Jux Sisikii


Verse 1
Wee
Ulinionesha njia nzuri nisipotee (no no no)
Natena wee, nilipo anguka ulininyanyua nitembee mmmh
Hook
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
(x2)
Chorus
Mi sisikii (mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni (sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, ooah oahoo
Verse 2
Nasema wee
Ulisubutu usile wewe uniletee
Natena wee, kuna makosaa ulipaswa usinisamee
Hook
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
(x2)
Chorus
Mi sisikii (mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni (sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, ooah oahoo
Bridge
Unajitahidi tahidi kunipa upendo
Nitakupenda zaidi my loveee
Unajitahidi tahidi kunipa upendo
Nitakupenda zaidi my loveee
CHorus
Mi sisikii (mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni (sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, ooah oahoo
(x2)


Kojoa ulale
 
Peter Msechu & Banana Zoro -Mama


Verse 1 – Banana Zorro
Niulinganishe na nani, ukarimu wa moyo wako?
Nikulinganishe na nani, sijaona mfano wako
Vita ya vituko vyangu, mambo yote mabaya yangu
Bado uko karibu yangu wewe
Kuna wakati sirudi nyumbani na starehe za mjini
Awakumbatia watoto, waonyeshe picha zangu mimi
Wewe wa kipekee, mpenzi wangu
Wewe ndio mama yangu, oh oh
Sina hata pa kugeukia, pa kukimbilia
Unanivumilia sana, oh mama
Mmh, oh mama, mama Sangira
Oh mama wanangu mama, ey
Sijui hata wanangu shuleni wanavaa vitu gani
Sijui hata wanangu kule wanakulaga nini!
Chorus – Peter Msechu & Banana
Oh mama, oh mama, oh mama
(Mama Sangira mama)
Oh mama, oh mama, oh mama
(Mama Sangira mama)
Verse 1 – Peter Msechu
Binadamu binadamu, baba Ayamu na mwingine
Si unakumbuka alisema nimerogwa sehemu nyingine?
Sijapinda mamaa, sijageuka
Sijui kipi kinaniharibu, wowowoo
Moyo wako sijaona wa kufananisha nae
Nilikupata kwa bahati tu mamaa
Wazazi walipinga mimi kuwa nawe
Wazazi walipinga mimi kuoana nawe
Ona nilikataa sikusikiiza, sikusikiiza mie
Ndo maana niko nawe, nipende mamaa
Nipende mama Lolo na ubaya wangu mamaa
Chorus – Peter Msechu
Oh mama, oh mama, oh mama
(Na ubaya wangu mama)
Oh mama, oh mama, oh mama
Oh mama, oh mama, oh mama
Oh mama, oh mama, oh mama

 
Hizo ni story za kuokoteza
Tanzania inawasanii wengi sana
Tupe hizo video zinazo tengenezwa nje ya Bongo!!
Ukiona video moja iliyo tengenezewa nje ya Bongo ujue kuna video 10 huyo msanii katengeneza bongo
unatetea usichokijua yaan msanii akishafikia level ya kufahamika tu kenya hafanyi tena video bongo wengine wana hama na nchi.

Ila tz ina wasanii wazuri sana tatizo lipo kwa production yaan bongo naona producer wamebaki wawili tu man water na t touch wengine bora liende yaan nyimbo zote beat moja
 
RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ - KOKORO



Intro
Wasafiii
Hayaa
Heyoo Laizer
Wasafi Records
Verse 1
Me and u till i die
Babe Chimamy White Mmasai
Mzuri hadi ndani
I know you like Mumbai
Upo kama nyumbani
I can buy Hyundai
Haifiki Mwakani
Tena hujui poda wala
Hupaki mascara
Shape nyuma kigoda
Sauti kama ya stara
Una lips nyembamba
Toto la mujer de mi vida
Kiuno cha kuvaa khanga
Macho kama umenyonya weeda
Bridge
Oooh babe
Aaaaaah
Girl i want to see
Aaaaaah
Ah babeee
Aaaaah ooh
Girl i want to see
Aaaaaah
oh babeee
Chorus
Asa kokoro
ooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Anifinyie kwa ndani
Asa kokoro
ooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Napendagaa
Verse 2
Aaaaaaah Diana, Sister Diana
Mhhh Halima, sis Halima
Una pigo za ki lady Gaga
Nyuma laini kama burger
Zigo la kuvunja chaga
Kifaranga kimetaga
Kwanza mwanzi matata unavyosakata
Kiuno talanta mavi karata
Mjini Makata Avon Kamata
Bichwa nang'ata soka samatta
Eee eeeh
Bridge
Mashallah mie kwake tafrani
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
Aaaaaah yayaaa
Girl i want to see
Aaaaaah
Ah babeee
Aaaaah ooh
Girl i want to see
Aaaaaah
oh babeee
Chorus
Asa kokoro
ooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Anifinyie kwa ndani
Asa kokoro
ooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Napendagaa
Verse 3
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh
Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
yayaaaiya
Yebaaaaa
Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa
Palaalilaaa anadodoa yeeih
Mashetani yamepandaa anadodoa
Binti kamwaga manyanga anadodoa
Mgonjwa anatibu mganga anadodoa
Anandondoka anadodoa
Mwenye nyumba kapanga anadodoa
Wingu limekuwa vanga anadodoa
Maiti amevuliwa sanda anadodoa
ooooh oooh

Hawatoweza









 
RICH MAVOKO - IBAKI STORY



Verse 1
Matapishi ni kinyaa huwezirudisha tena kwenye kinywa
Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima
Ikawa ngumu kukusahau, nikasema moyo ukome
Kwa kali sulu na madharau, penzi ulivunja na ngome

Pre-Chorus
Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi
We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo
Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo
Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto
Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto

Chorus
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe

Verse 2
Kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia
Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia
Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine
Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu pengine
Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha ukaweka wazi
Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi

Pre-Chorus
Na unajua hata nikilia, siwezi kutokwa na machozi
We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo
Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo
Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto
Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto

Chorus
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe

Bridge
Yalinitesa mazoea aya
Lakini mi nishazoea mwaya
Ila tambua mapenzi mabaya
Kidonda chake hakinaga dawa
Ee mazoea aah
Lakini mi nishazoea mwaya
Ila tambua mapenzi mabaya
Kidonda chake hakinaga dawa

Chorus
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, uuh uuh
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, uuh uuh

 
QUEEN DARLEEN FT RAYVANNY - KIJUSO


Intro
Eyoo Laizer
Wasafi Records

Verse 1 -
Unaringa kitu gani we mwenyewe ujisute
Afadhali hata Nyani sio we Mwanamke
Hupendezi asilani so unyoe au usuke
Nilifuata kitu gani umefanya nijute
Hah
Mimi nakonda pungua eeeh na usikurupuke
Kwanza naongea na nani naomba nikumbushe
Mimi na wewe hatuendani jipandishe jishushe
Usinipande kichwani namba yangu ifute

Chorus
Hizo dharau mwanamke ulopata
Naona unasahau .. zako nilikata
Nimepanda chati mkataba nimekata
Tena Nyang'au ndo ukome kunifuata

Unaringa una nini kijuso
Vijimeno kama Jini Gaucho
Kwani nawe una nini Kituko
Uso na kazi mjini Upo upo
Punguza kelele ooh kelele acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele

Verse 2
Eti nawe unavimba perfume tu mtihani
Kwanza shati ulovaa umeazima kwa nani?
Wanifuataa Kapuku utanipa nini?
Nilikuachaa leo kimekuwasha nini?

Funga bakuli mbele yangu wewe mshamba
Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga
Wakati unanuka moshi huna hata ishu
Kwenye pochi wanja na tishu

Unapenda ganda la ndizi kuteleza
Wakati kupambana mpaka mchuzi wa Pweza
Dume zima tantalantala instagram inahu
Wakati kwenu kula kulala huchangii hata kitunguu

Chorus
Hizo dharau mwanamke ulopata
Naona unasahau .. zako nilikata
Nimepanda chati mkataba nimekata
Tena Nyang'au ndo ukome kunifuata

Unaringa una nini kijuso
Vijimeno kama Jini Gaucho
Kwani nawe una nini Kituko
Uso na kazi mjini Upo upo
Punguza kelele ooh kelele acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele
Unaringa una nini kijuso
Sijui meno kama Jini Gaucho
Kwani nawe una nini Kituko
Uso na kazi mjini Upo upo
Punguza kelele ooh kelele acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele




 
Back
Top Bottom