EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

Video bora ingekuwa poa na hainaga ushemeji ya man fongo ikawepo coz mm nahisi ndo video kali kwa mwaka huu
 
mkuu umeniwahi......EATV wamezingua madai yake wanataka kuzikwepa lawama kumbe ndo wanazikimbilia.
 
Utabiri wangu katika Tunzo EAtv
*Muigizaji ME - Gabo
*Chipukizi - Man fongo
*Kundi bora - Navy Kenzo
 
mkuu umeniwahi......EATV wamezingua madai yake wanataka kuzikwepa lawama kumbe ndo wanazimbilia.wataumbuka vbaya hawa
Halafu wakongwe karibia wote sijawaona,Weusi wamegoma,Mr Blue sijamuona Au labda bado nominees wanaendelea kutajwa
 
Halafu wakongwe karibia wote sijawaona,Weusi wamegoma,Mr Blue sijamuona Au labda bado nominees wanaendelea kutajwa
dizaini kama watu wamezipa mgongo ivi...........hawakupaswa kukosekana kwenye kundi bora la mwaka.af kwanini wamechanganya makundi ya taradance na ya ubongo wa fleva?
 
dizaini kama watu wamezipa mgongo ivi...........hawakupaswa kukosekana kwenye kundi bora la mwaka.af kwanini wamechanganya makundi ya taradance na ya ubongo wa fleva?
Sasa EATV wanampa mchakato mzima Dulla eti ndie msimamizi wa kutafuta Nominees mpaka kuwatangaza,unategemea nini hapo,jamaa anaongozwa na ushabiki tu yule!
 
Halafu wakongwe karibia wote sijawaona,Weusi wamegoma,Mr Blue sijamuona Au labda bado nominees wanaendelea kutajwa
hili ushiriki lazima uchukue fomu...
 
Sasa EATV wanampa mchakato mzima Dulla eti ndie msimamizi wa kutafuta Nominees mpaka kuwatangaza,unategemea nini hapo,jamaa anaongozwa na ushabiki tu yule!
Acha uongo bana dulla sio mtangaza nominees na wala sio mtafuta nominees... kwanza ni wasanii wanaji nominate wenyewe halafu kuna academy ya kupitia majina na kupata watano..
Pengine una lako jambo na Dulla lakini kwenye hili umemuonea...punguza chuki
 
Ndio maana nikasema "Weusi wamegoma"najua kwamba mshiriki lazima aombe kushiriki
pengine umegeuka msemaji wao au una ropoka...halafu si kila nyimbo ina qualify kushiriki kwenye hizi tunzo..
By the way kama Weusi wagoma imekuwaje John makini kashiriki kwenye hichi kipengele?
6.VIDEO BORA YA MWAKA
Nominees
. Namjua-Shetta

.Njongereza-Navio

.Aje-Alikiba

.Don Bother- John Makini

.Ndindindi-Lady Jayeed
 
Huyu CEO wa WASAFI angewaachia madogo wachuku fomu hajawafanyia poa kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…