EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

Video bora ingekuwa poa na hainaga ushemeji ya man fongo ikawepo coz mm nahisi ndo video kali kwa mwaka huu
 
EATV wamefanya Makosa makubwa sanaaaaaa!!!!

Ujue huwezi toa Form ya kuomba kuwa katika category fulani ya tuzo! Hayo ni makosa makubwa ambayo EATV Wameyafanyaa!!

Wasanii sio wao waombe kuwa katika kinyang'anyiro hapanaa wao waangalie nani anafaa na nani hafai ndio watoe majina lakini sio kuwa msanii fulani aombee!!!

Kiupaande wangu na kimtazamo watakao kuwa katika hizi tuzo basi wao wana uchu sana na tuzo!! Angalia majina yaa wasanii chipukizi hujamuona Harmonize,Rayvanny wala nani walio ingie wote ni kweli wana uchu na tuzo ndo maana waliomba!!!

Sijawahi ona duniani popote pale msanii anaomba kuwa katika category fulani Only in Tanzania!!! Madhara ya hii kitu ni watu wasio stahili watapewa na wanao stahili watabaki bilaa tuzo!

Pia tuzo zitapoteza mvuto! Labda kipindi cha show walizimishe wasanii wakubwa wawepo ila tofauti na hapo tuzo zishapoteza mvuto!!

Kingine tuzo zinatolewa tarehe 10 mwezi ujao hadi leo tarehe 9 vipengele bado havijatoka msanii atapigiwa kura sa ngapi na lini?

Eatv wamekurupuka wajipangee kuna kipengele cha tuzo ya heshima waweke wazi kuwa nacho msanii anaombaa au wao wanaamua kuwa tuzo ya heshima tumpe fulani kulingana na alicho fanya au inakuwaje???

Tanzania kuendelea ni Bado sanaaa hasa hii sekta ya mziki naomba tumuachie tuu Mond na wasanii wengine watoa tuzo wamefail sanaaaaaa

Huwezi omba tuzo kama unaomba kujiunga na ST.Fulani kidato cha kwanza! Msanii ajaze Form aombe tuzo aje aombe kura hivi hawa wamechanganyikiwa?

POOR EATV AWARDS!!! POOOR POOOR POOOR ITS NON-SENSE
mkuu umeniwahi......EATV wamezingua madai yake wanataka kuzikwepa lawama kumbe ndo wanazikimbilia.
 
Utabiri wangu katika Tunzo EAtv
*Muigizaji ME - Gabo
*Chipukizi - Man fongo
*Kundi bora - Navy Kenzo
 
mkuu umeniwahi......EATV wamezingua madai yake wanataka kuzikwepa lawama kumbe ndo wanazimbilia.wataumbuka vbaya hawa
Halafu wakongwe karibia wote sijawaona,Weusi wamegoma,Mr Blue sijamuona Au labda bado nominees wanaendelea kutajwa
 
Halafu wakongwe karibia wote sijawaona,Weusi wamegoma,Mr Blue sijamuona Au labda bado nominees wanaendelea kutajwa
dizaini kama watu wamezipa mgongo ivi...........hawakupaswa kukosekana kwenye kundi bora la mwaka.af kwanini wamechanganya makundi ya taradance na ya ubongo wa fleva?
 
dizaini kama watu wamezipa mgongo ivi...........hawakupaswa kukosekana kwenye kundi bora la mwaka.af kwanini wamechanganya makundi ya taradance na ya ubongo wa fleva?
Sasa EATV wanampa mchakato mzima Dulla eti ndie msimamizi wa kutafuta Nominees mpaka kuwatangaza,unategemea nini hapo,jamaa anaongozwa na ushabiki tu yule!
 
Halafu wakongwe karibia wote sijawaona,Weusi wamegoma,Mr Blue sijamuona Au labda bado nominees wanaendelea kutajwa
hili ushiriki lazima uchukue fomu...
 
Sasa EATV wanampa mchakato mzima Dulla eti ndie msimamizi wa kutafuta Nominees mpaka kuwatangaza,unategemea nini hapo,jamaa anaongozwa na ushabiki tu yule!
Acha uongo bana dulla sio mtangaza nominees na wala sio mtafuta nominees... kwanza ni wasanii wanaji nominate wenyewe halafu kuna academy ya kupitia majina na kupata watano..
Pengine una lako jambo na Dulla lakini kwenye hili umemuonea...punguza chuki
 
Ndio maana nikasema "Weusi wamegoma"najua kwamba mshiriki lazima aombe kushiriki
pengine umegeuka msemaji wao au una ropoka...halafu si kila nyimbo ina qualify kushiriki kwenye hizi tunzo..
By the way kama Weusi wagoma imekuwaje John makini kashiriki kwenye hichi kipengele?
6.VIDEO BORA YA MWAKA
Nominees
. Namjua-Shetta

.Njongereza-Navio

.Aje-Alikiba

.Don Bother- John Makini

.Ndindindi-Lady Jayeed
 
Huyu CEO wa WASAFI angewaachia madogo wachuku fomu hajawafanyia poa kbs
 
Back
Top Bottom