Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Mkuu, hiyo ni kiki tu, kwani huyo mlela alikua na ishu gani mpk aitishe press.?! Au kumtambulisha demu mpya?!
 
Ningefanyaje? Ngumi singepigwa kwa masaa😁😁
 
Kumbe Ebitoke kamshambulia yule dem wa mlela wa sasa kamuumiza,dem nae kasema lazima amuoneshe yeye mchaga.
 
Dar hampo SERIOUS kabisa, yani waTanzania wapo bize na Mambo ya Uchaguzi serikali za Mitaa na upumbavu wa Waziri JAFUU nyie mnaleta upumbuani, kwanza mmetumwa na UVCCM kupoteza watu na yanayojiri, wapumbavu sana​
kumbe ushajua ni upumbavu sasa kwanini tuwekeze nguvu ya kufatilia upumbavu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…