Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

We ungekuwa ndio demu wa mlela ungefanyaje!?

Problem with loving deeply makes it so hard to let go of someone you be's with!🤣🤣🤣 Utam stalk tu...ujue yuko na nani, anafanya nini yani shida tu! Mwisho kuvamia hafla za watu kuleta ngumi!
Mkuu, hiyo ni kiki tu, kwani huyo mlela alikua na ishu gani mpk aitishe press.?! Au kumtambulisha demu mpya?!
 
We ungekuwa ndio demu wa mlela ungefanyaje!?

Problem with loving deeply makes it so hard to let go of someone you be's with!🤣🤣🤣 Utam stalk tu...ujue yuko na nani, anafanya nini yani shida tu! Mwisho kuvamia hafla za watu kuleta ngumi!
Ningefanyaje? Ngumi singepigwa kwa masaa😁😁
 
Kumbe Ebitoke kamshambulia yule dem wa mlela wa sasa kamuumiza,dem nae kasema lazima amuoneshe yeye mchaga.
 
Dar hampo SERIOUS kabisa, yani waTanzania wapo bize na Mambo ya Uchaguzi serikali za Mitaa na upumbavu wa Waziri JAFUU nyie mnaleta upumbuani, kwanza mmetumwa na UVCCM kupoteza watu na yanayojiri, wapumbavu sana​
kumbe ushajua ni upumbavu sasa kwanini tuwekeze nguvu ya kufatilia upumbavu??
 
Back
Top Bottom