Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Kwan shida nn?! Nimeiona kwa Millard Ayo muda si mrefu. Dada analalamika sijui Mlela alimpa nn huyu mhaya wa watu..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ingawa sio muhaya ni mkerewe Ila inaonekana alitorewa marinda
 
Fikiria hela yenyewe kamevunja kibubu kuigiza kwa kupaka masizi kote kule leo marioo mmoja anachukua kilaini anasepa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani mabaunsa walijua ni muigizaji mwenzie
 
🤣🤣🤣 Aisee kwahio utapasua mtu vipande vipande!
Umefurahi unajua nitapigana na best wangu Khantwe mimi nazikunja na wewe ujinga wa kupigana na mwanamke mwenzangu sitokaa nifanye nadili na wewe uliyetongoza ukijua uko na mimi.
 
Umefurahi unajua nitapigana na best wangu Khantwe mimi nazikunja na wewe ujinga wa kupigana na mwanamke mwenzangu sitokaa nifanye nadili na wewe uliyetongoza ukijua uko na mimi.
🤣🤣🤣🤣🤣 bas mama mi sitongozi tena, nahidi nitastaafu ubaharia kwa ajili ya kuepusha hizo ndondi!
 
Kuna tetesi zisizo rasmi zinasemekana kwamba jamaa alijifanya kaka nayeye sio ndugu wa Ebitoke, na taarifa za kunyapia zinasema kwamba mshkaji pia anamtafuna Ebitoke.....
Hahahaa aisee Bongo Movie ndo sababu sijawahi kununua kazi yao
 
Mkerewe!!!! Basi Mlela arudishe mpunga fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…