Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Aseeh
 
Sawa ndg ila sisi ujue tuna janga kubwa na tunajua kuhonga ndy true love maana wanaume wanajua ukimuomba hela anajua ww Golden digger sasa inabidi utoe ili ajue unampenda na hapo ndipo tunapokufa, huu upuuzi sifanyagi
Haha kweli kabisa mwanamke anaejiamini haezi muonga mwanaume ili ampende.
Mwanaume hapendwi, akipendwa anaringa.
 
wanacheza script 2 hawa hawana lolote!...hiyo ilikua ni mojawapo ya scene katika muvi yao..kwhy 2subiri itoke 2ione
 

Ila mapenzi ni makubaliano ya watu wawili, mmoja yakimshinda na akaamua kuchukua hamsini zake sio tatizo. kaka wa Ebitoke hajui makubaliano ya wawili hawa, alitakiwa awe ndugu mtazamaji tu
 
Kwan shida nn?! Nimeiona kwa Millard Ayo muda si mrefu. Dada analalamika sijui Mlela alimpa nn huyu mhaya wa watu..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Atakuwa aliipatia ile katerero [emoji16]
 
bongomuvi bila drama za kijinga haiwezi kukamilika.

sitoshangaa nikisikia lilikuwa ni tukio la kutengeneza ili wapromoti kifilamu chao.
Ingia kwenye mwananchi twitter account...walimhoji meneja akafunguka ile ilikuwa drama...ilipangwa kuweka attention kwa ajili ya ule uzinduzi wa ile tamithilia....hata wenye hotel walitaarifiwa kuhusu ile drama...ile ni kick...
 
Nimeangalia interview ya Nitoke, she is really hurt. Kinachomuumiza ni hela zake alimuamini mno sasa akiwa kwenye mahusiano mengine yatakuwa ya kibabe babe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…