Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Aseeh
Mwaka Jana kuna dada alijinyonga baada ya kuachwa vibaya na mwanaume ambaye alimfundisha mchezo mbaya wa nyuma na akawa ashamharibu (Nadhani alianza kuvuja Huko nyuma), pamoja na kushauriwa kote haikusaidia mwishowe akajinyonga. Mwanamke mwenye akili zake hawezi kuachwa na mwanaume akawa na hasira kiasi hiko Kama Hajaachwa na mimba, Hajaachwa na ukimwi, au hajatapeliwa kiasi kikubwa cha hela na pengine kuharibiwA Kama ilivyo kuwa kwa huyo. Ebitoke hao ndo wanaume akikuvua Kwisha habari yako.....ukimpata mmoja ukaweza kumkomoa na kulipa kisasi Fanya hivyo upite hiviiii[emoji1542]
 
Sawa ndg ila sisi ujue tuna janga kubwa na tunajua kuhonga ndy true love maana wanaume wanajua ukimuomba hela anajua ww Golden digger sasa inabidi utoe ili ajue unampenda na hapo ndipo tunapokufa, huu upuuzi sifanyagi
Haha kweli kabisa mwanamke anaejiamini haezi muonga mwanaume ili ampende.
Mwanaume hapendwi, akipendwa anaringa.
 
wanacheza script 2 hawa hawana lolote!...hiyo ilikua ni mojawapo ya scene katika muvi yao..kwhy 2subiri itoke 2ione
 
















Mapenzi bwana, mwingizaji maarufu Ebitoke amevamia mkutano aliofanya mpenzi wake wa zamani bwana Mlela akimtuhumu kumlaghai

Katika purukushani hizo Ebitoke ambaye alifuatana na kaka yake,Kaka wa Ebitoke anamtuhumu bwana Mlela kumwaribia maisha dada yake.

Hata hivyo waliondolewa ukumbini na mabaunsa.

Mbaya zaidi ametoa matusi mazito adharani,nitashangaa sana BASATA na TCRA wakikaa kimya katika hili.

Pia nadhani mnaona umuhimu wa kuwa na mlinzi.,coz bila wao hali ingekuwa tete.

Ila mapenzi ni makubaliano ya watu wawili, mmoja yakimshinda na akaamua kuchukua hamsini zake sio tatizo. kaka wa Ebitoke hajui makubaliano ya wawili hawa, alitakiwa awe ndugu mtazamaji tu
 
Kwan shida nn?! Nimeiona kwa Millard Ayo muda si mrefu. Dada analalamika sijui Mlela alimpa nn huyu mhaya wa watu..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Atakuwa aliipatia ile katerero [emoji16]
 
bongomuvi bila drama za kijinga haiwezi kukamilika.

sitoshangaa nikisikia lilikuwa ni tukio la kutengeneza ili wapromoti kifilamu chao.
Ingia kwenye mwananchi twitter account...walimhoji meneja akafunguka ile ilikuwa drama...ilipangwa kuweka attention kwa ajili ya ule uzinduzi wa ile tamithilia....hata wenye hotel walitaarifiwa kuhusu ile drama...ile ni kick...
 
Nimeangalia interview ya Nitoke, she is really hurt. Kinachomuumiza ni hela zake alimuamini mno sasa akiwa kwenye mahusiano mengine yatakuwa ya kibabe babe
 
Back
Top Bottom