ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Iran imekuwa inafanya hivyo miaka Mingi sana kabla yakeAtakumbukwa kwa mengi ikiwemo kuikopesha Serikali ya Tanzania mikopo isiyo na riba
Naona Vietnam magaidi.Liweke hili sawa ni mamilioni ya magaidi
Ushoga upo kila pahali na umekuwepo enzi na enzi,so unapolenga shabaha kwa kumsema Mungu wa Israel ndiye kaleta ushoga ni sawa na unakubaliana na Mange kimambi na madai yake ya rais wako kuwa mdau wa usagaji.π πTaifa la Mungu kitovu cha ushoga , huyo Mungu wenu ana matatizo sana ndio kaleta ushoga.
Shoga ni tatizo la kidunia , ila ishu ni kusapot hilo suala kwa kulinda huo jinga, kama Mungu aliwapa adhabu saodoma inakuwaje Mungu huyo ashindwe kuwapa hao wanaofanya liveUshoga upo kila pahali na umekuwepo enzi na enzi,so unapolenga shabaha kwa kumsema Mungu wa Israel ndiye kaleta ushoga ni sawa na unakubaliana na Mange kimambi na madai yake ya rais wako kuwa mdau wa usagaji.
Jitahidi kuwa mfukunyuku, hakuna jipya hapa duniani.
If you can't beat them join them.Ww unasikiliza and watch western news ambazo zimebeba uhasama na nchi zenye rasilimali asili,as long as umewakataa western watakupatia majina yote mabaya ili kufanya watakayo but Iβm sure jamaa misimamo yake ya kidini and kulinda misingi ya nchi ndio iliomfikisha hapa.
US wameblock mpk kuingiza chochote toka nchi yyt hizi helicopter zinazodoka zina 20+old wao wanafanya maintenance tu lkn zimechoka mno
Shoga ni tatizo la kidunia , ila ishu ni kusapot hilo suala kwa kulinda huo jinga, kama Mungu aliwapa adhabu saodoma inakuwaje Mungu huyo ashindwe kuwapa hao wanaofanya live
π πTaifa la Mungu kitovu cha ushoga , huyo Mungu wenu ana matatizo sana ndio kaleta ushoga.
Mbona ni irrelevant kabisa ? Taifa hilo la Israel ni la mashoga.Lahore police register FIR against Mufti Azizur Rehman for sexually assaulting student
A harrowing video clip showing the cleric allegedly sexually assaulting the complainant was widely shared on social media.www.google.com
Na rais wako ni msagajiMbona ni irrelevant kabisa ? Taifa hilo la Israel ni la mashoga.
ile sio Uganda , kuna utaratibu umewekwa maana wanajua Rais wa nchi ni mtu anaweza kufa muda wowote, kwahiyo Iran iko salama makamu anachukua nchi baada ya siku 50 uchaguzi kisha mambo mengine kama kawaidaIran ingekuwa salama Ebrahim Raisi asingetoweka kirahisi hivyo.
Kwa katiba ya IRAN huyu siyo Mkuu wa nchi na hana maamuzi ya Mwisho. Huyu ni kama waziri Mkuu huku kwetu. Iran ina kiongozi Mkuu wa Nchi wa maisha (Ayatola).Atakumbukwa zaidi na Magaidi ya Kataib Hezbola ya Iraq atakumbukwa na Magaidi ya Hezbola atakumbukwa na Magaidi ya Hamas atakumbukwa na Magaidi yanayotutesa ya Houthi.
Atakumbukwa na Magaidi ya Boko Haram na Alshababu atakumbukwa na Magaidi ya Al Qaida.
Atakumbukwa na kufanyiwa Dua na Magaidi ya Uamsho huko Zanzibar.
Ila sio sheria ya nchi π π
ile sio Uganda , kuna utaratibu umewekwa maana wanajua Rais wa nchi ni mtu anaweza kufa muda wowote, kwahiyo Iran iko salama makamu anachukua nchi baada ya siku 50 uchaguzi kisha mambo mengine kama kawaida
Atakumbukwa kwa mengi ikiwemo kuikopesha Serikali ya Tanzania mikopo isiyo na riba
Shida siyo Yeye! Shida ni mfumo wa Utawala unaoongozwa na Sharia za Kiislamu!
Hata akitoka huyo anaweza kuingia mwingine ambaye ni mbaya zaidi kuliko huyo!
Iran itakuwa huru mpaka Mfumo huo utakapovunjwa!
Aisee! Tulikopa kipindi ya Iπ³Kwani hujui Iran ndio nchi ambayo imebeba deni letu la nje kwa asilimia kubwa mpaka sasa ?
Au inajitoa ufahamu ?
Kila nchi na mambo yake, ila Iran iko salama watu wanaendelea na shughuli zao ,kesho mwendazake anazikwa na Rais wa muda tayari yupo madarakaniIngekuwa salama Ebrahim hangekuwa myongaji wa raia