Ebrahim Raisi, mchinjaji wa Tehran(The Butcher of Tehran) atakayekumbukwa kwa madhila mengi na makubwa

Ebrahim Raisi, mchinjaji wa Tehran(The Butcher of Tehran) atakayekumbukwa kwa madhila mengi na makubwa

Atakumbukwa kama Bacha Bazi mpenda kuharibu Watoto wa watu.

1e8357_a45d31fddbbf43809a5bc0325e31be46~mv2.jpg
 
😀 😛Taifa la Mungu kitovu cha ushoga , huyo Mungu wenu ana matatizo sana ndio kaleta ushoga.
Ushoga upo kila pahali na umekuwepo enzi na enzi,so unapolenga shabaha kwa kumsema Mungu wa Israel ndiye kaleta ushoga ni sawa na unakubaliana na Mange kimambi na madai yake ya rais wako kuwa mdau wa usagaji.

Jitahidi kuwa mfukunyuku, hakuna jipya hapa duniani.
 
Shoga ni tatizo la kidunia , ila ishu ni kusapot hilo suala kwa kulinda huo jinga, kama Mungu aliwapa adhabu saodoma inakuwaje Mungu huyo ashindwe kuwapa hao wanaofanya live
 
Ww unasikiliza and watch western news ambazo zimebeba uhasama na nchi zenye rasilimali asili,as long as umewakataa western watakupatia majina yote mabaya ili kufanya watakayo but I’m sure jamaa misimamo yake ya kidini and kulinda misingi ya nchi ndio iliomfikisha hapa.
US wameblock mpk kuingiza chochote toka nchi yyt hizi helicopter zinazodoka zina 20+old wao wanafanya maintenance tu lkn zimechoka mno
If you can't beat them join them.
 
Kwa hiyo unakubaliana na Mange kuhusu madai yake ya rais wa nchi yako kuwa ni mdau wa usagaji?
Shoga ni tatizo la kidunia , ila ishu ni kusapot hilo suala kwa kulinda huo jinga, kama Mungu aliwapa adhabu saodoma inakuwaje Mungu huyo ashindwe kuwapa hao wanaofanya live
 
Iran ingekuwa salama Ebrahim Raisi asingetoweka kirahisi hivyo.
ile sio Uganda , kuna utaratibu umewekwa maana wanajua Rais wa nchi ni mtu anaweza kufa muda wowote, kwahiyo Iran iko salama makamu anachukua nchi baada ya siku 50 uchaguzi kisha mambo mengine kama kawaida
 
Atakumbukwa zaidi na Magaidi ya Kataib Hezbola ya Iraq atakumbukwa na Magaidi ya Hezbola atakumbukwa na Magaidi ya Hamas atakumbukwa na Magaidi yanayotutesa ya Houthi.

Atakumbukwa na Magaidi ya Boko Haram na Alshababu atakumbukwa na Magaidi ya Al Qaida.

Atakumbukwa na kufanyiwa Dua na Magaidi ya Uamsho huko Zanzibar.
Kwa katiba ya IRAN huyu siyo Mkuu wa nchi na hana maamuzi ya Mwisho. Huyu ni kama waziri Mkuu huku kwetu. Iran ina kiongozi Mkuu wa Nchi wa maisha (Ayatola).
 
Ingekuwa salama Ebrahim hangekuwa myongaji wa raia
ile sio Uganda , kuna utaratibu umewekwa maana wanajua Rais wa nchi ni mtu anaweza kufa muda wowote, kwahiyo Iran iko salama makamu anachukua nchi baada ya siku 50 uchaguzi kisha mambo mengine kama kawaida
 
Shida siyo Yeye! Shida ni mfumo wa Utawala unaoongozwa na Sharia za Kiislamu!
Hata akitoka huyo anaweza kuingia mwingine ambaye ni mbaya zaidi kuliko huyo!
Iran itakuwa huru mpaka Mfumo huo utakapovunjwa!

Mfumo mara nyingine unatengeneza watu makatili, wanaofikiri wengine hawana haki ya kuishi. Kumbe wote waja...tunakuja na kwenda
 
Back
Top Bottom