View attachment 204940
Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.
Mmmhhh
Mi sijawahi mpenda mtu shule mpaka namaliza bt kitaan kuna kaka nilikuwa nampenda na yy ananipenda kuniambia anaigopa utoto jamani! walipokuja kuhama basi sikumuona tena!
Adolf cjui yupo wapi. ..
Duh wengine tulianza mapenzi form 4 tena baada ya kuwa marafiki na mtoto wa kike kwa zaidi ya miaka 4 nakuja kwao tunasoma mpka usiku mama yake akaniamini mpaka akaja kuniomba niwe nalala kwake ili nimfundishe mtoto wake basi dingi kakubali nakumbuka kipindi tunafanya peper ya mwisho form 4 mwanza sec hapo nikiwa nimechoka sikuweza kuondoka room kwake nikajikuta nimelala kitandani na yeye dah mtoto usiku naona anachezea bomba kwanini lisimwagie japo ndo hata kupizi nikuwa sijawai ku experience kabisa aisee, baada ya miezi miwili mtoto ana mimba balaaa likaanzia hapo , dah mwishowe nikajikuta na baby nikiwa ndo nimemaliza form 4
Wale mliosoma nyakato, gedeli, buzuluga. Mhandu , maina . ndani ya jiji LA mwanza mtakuwa mnanikumbuka. Hasa ile kesi Iliyonikumba nikalala mwatex
Hakika kila enzi na matukio yake, mi inanikumbusha dem wangu alikuwa anaitwa SIKITU MACHIBYA kuna jamaa yangu akaja kunizunguka nikawastukia wanaelekea vichakan niliwaponda mawe mpaka wakaahirisha kula papuchi
Dah mie kuna mtoto mmoja alikuwa anaitwa esta kajigiri nilikuwa nampenda ila kumwambia ndo vile mpaka namaliza kimya nakumbuka darasa la 6 nilikuwa nakaa nae dawati moja hiyo ilikuwa jangwani primary school sumbawanga
Duh, kuna vitu vingi vinagusa hisia zangu, kuwahi namba, kushindana kuwa wa kwanza class, mkipewa majibu ya mtihani mnajumlisha kabla ya matokeo na mnakuwa mnajua nani wa kwanza, kuchungulia mademu wakati wanakojoa au kuweka kioo chini ili uone demu kavaa chupi gani, kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Paul aliwahi kumtia demu fulani, jamaa nilikuwa namuona binadamu wa ajabu sana kwa ujasiri aliokuwa nao. Kukimbia mchaka mchaka na mnachelewa kurudi hasa tulipokuwa darasa la saba ili shule nzima wasikie vidume tunavyokoroma. Long memories!!!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Aisee mi nakumbuka huyo kaka alikuwaga time-keeper alikuwaga ananifukuzia mi kipindi hicho nlikuwa la tano ye la saba. Nilikuwa nampenda ila nlikuwa naogopa kumkubalia.Bas hiyo kengere ilikuwa karibu na darasa letu kila akienda kugonga kengele ya mapumziko lazima nimchungulie daaah... Alipomaliza alienda kusoma boarding akawa kila akirudi likizo haachi kunifukuzia.....badae nlimkubalia tukawa tunaandikiana barua ila kumsogelea hivi nlikuwa naogopa kama nini. Siku hizi nasikia ni dereva wa halmashauri fulani ktk wilaya fulani hivi.....