mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
View attachment 204940
Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.
Dah mie kuna mtoto mmoja alikuwa anaitwa esta kajigiri nilikuwa nampenda ila kumwambia ndo vile mpaka namaliza kimya nakumbuka darasa la 6 nilikuwa nakaa nae dawati moja hiyo ilikuwa jangwani primary school sumbawanga