Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

View attachment 204940

Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.

Dah mie kuna mtoto mmoja alikuwa anaitwa esta kajigiri nilikuwa nampenda ila kumwambia ndo vile mpaka namaliza kimya nakumbuka darasa la 6 nilikuwa nakaa nae dawati moja hiyo ilikuwa jangwani primary school sumbawanga
 
Wale mliosoma nyakato, gedeli, buzuluga. Mhandu , maina . ndani ya jiji LA mwanza mtakuwa mnanikumbuka. Hasa ile kesi Iliyonikumba nikalala mwatex
 
Duh wengine tulianza mapenzi form 4 tena baada ya kuwa marafiki na mtoto wa kike kwa zaidi ya miaka 4 nakuja kwao tunasoma mpka usiku mama yake akaniamini mpaka akaja kuniomba niwe nalala kwake ili nimfundishe mtoto wake basi dingi kakubali nakumbuka kipindi tunafanya peper ya mwisho form 4 mwanza sec hapo nikiwa nimechoka sikuweza kuondoka room kwake nikajikuta nimelala kitandani na yeye dah mtoto usiku naona anachezea bomba kwanini lisimwagie japo ndo hata kupizi nikuwa sijawai ku experience kabisa aisee, baada ya miezi miwili mtoto ana mimba balaaa likaanzia hapo , dah mwishowe nikajikuta na baby nikiwa ndo nimemaliza form 4

Darasa LA kinshuli au mafuru. Biology umefundishwa na togoray?.
Au miaka ile ya marwa . sasa reproduction form three ilikuwaje
 
Duh, kuna vitu vingi vinagusa hisia zangu, kuwahi namba, kushindana kuwa wa kwanza class, mkipewa majibu ya mtihani mnajumlisha kabla ya matokeo na mnakuwa mnajua nani wa kwanza, kuchungulia mademu wakati wanakojoa au kuweka kioo chini ili uone demu kavaa chupi gani, kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Paul aliwahi kumtia demu fulani, jamaa nilikuwa namuona binadamu wa ajabu sana kwa ujasiri aliokuwa nao. Kukimbia mchaka mchaka na mnachelewa kurudi hasa tulipokuwa darasa la saba ili shule nzima wasikie vidume tunavyokoroma. Long memories!!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Wale mliosoma nyakato, gedeli, buzuluga. Mhandu , maina . ndani ya jiji LA mwanza mtakuwa mnanikumbuka. Hasa ile kesi Iliyonikumba nikalala mwatex

dah! ukitaja gedeli unanikumbusha bhoke! nlimpenda na nlihisi na yeye alinipenda ila kumwambia sikuweza
 
Nacheka
 
Attachments

  • 1420140012885.jpg
    1420140012885.jpg
    8.6 KB · Views: 765
Hakika kila enzi na matukio yake, mi inanikumbusha dem wangu alikuwa anaitwa SIKITU MACHIBYA kuna jamaa yangu akaja kunizunguka nikawastukia wanaelekea vichakan niliwaponda mawe mpaka wakaahirisha kula papuchi
 
ulitisha mkuu
 
hyo nakmbka bwilingu primar . chalinze .
darasa la 7. kulkua na mtoto anaitwa anifa. nlimpenda ila tatzo kfnguka.. baada ya kmalza shle wajanja wakampa mimba mtaani
..iliniuma sana
 
Dah mie kuna mtoto mmoja alikuwa anaitwa esta kajigiri nilikuwa nampenda ila kumwambia ndo vile mpaka namaliza kimya nakumbuka darasa la 6 nilikuwa nakaa nae dawati moja hiyo ilikuwa jangwani primary school sumbawanga

uyo dada ni mdogo wa mwalm wangu wa english!!!! ndo basi tena ashakutoka
pole saaana!!!!
 
Duh, kuna vitu vingi vinagusa hisia zangu, kuwahi namba, kushindana kuwa wa kwanza class, mkipewa majibu ya mtihani mnajumlisha kabla ya matokeo na mnakuwa mnajua nani wa kwanza, kuchungulia mademu wakati wanakojoa au kuweka kioo chini ili uone demu kavaa chupi gani, kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Paul aliwahi kumtia demu fulani, jamaa nilikuwa namuona binadamu wa ajabu sana kwa ujasiri aliokuwa nao. Kukimbia mchaka mchaka na mnachelewa kurudi hasa tulipokuwa darasa la saba ili shule nzima wasikie vidume tunavyokoroma. Long memories!!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

mamb uliyo taja ndo yanapeleka memory mbaaali!!!!
 
Nimekumbuka kudaka panzi na kuwinda kware pale moshi airport
Kwa kutongoza aisehhh domo zege mpaka sasa miaka 25
 
Eeeeh bana eeh, nakumbuka nilikuwa timekeeper ss nikiwa darasa la 6 tuna mechi na drs la 7 muda wa lunch time si nikarudisha madakika nyuma ili tuendelee kucheza haikuzidi hata dk 20 ikagongwa na ticha wa zamu,nikaitwa ofisini nadhani unajua nn kilifuata miaka ya 85 hy!!
 
Unanikumbusha adhabu tulopewa darasa zima kila siku asubuhi na jioni kwa wiki moja kama dozi. Kosa eti kuna mwanafunzi aliandika herufi "K" kwenye ukuta wa darasa, na hakujulikana ni nani. Walimu wakafosi kuwa ile "K" ilitaka kuzaliwa TUSI. Kuna Baadhi Ya Wanafunzi ndiyo ulikuwa mwisho wao wa safari ya elimu. Waliacha Shule Kabisa.
 
Mimi nimekumbuka hilo chuma tu,nilikuwa time keeper afu liliibiwa na wauza vyuma ikawa shida katka kazi yangu hiyo...
 
Aisee mi nakumbuka huyo kaka alikuwaga time-keeper alikuwaga ananifukuzia mi kipindi hicho nlikuwa la tano ye la saba. Nilikuwa nampenda ila nlikuwa naogopa kumkubalia.Bas hiyo kengere ilikuwa karibu na darasa letu kila akienda kugonga kengele ya mapumziko lazima nimchungulie daaah... Alipomaliza alienda kusoma boarding akawa kila akirudi likizo haachi kunifukuzia.....badae nlimkubalia tukawa tunaandikiana barua ila kumsogelea hivi nlikuwa naogopa kama nini. Siku hizi nasikia ni dereva wa halmashauri fulani ktk wilaya fulani hivi.....

Alikugegeda au????
 
Back
Top Bottom