Ndio nini hiyo
View attachment 204940
Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.
sioni uhusiano wowote hapo na sikumbuki kitu chochote
Mmh...std 7 na mambo ya ngono wapi na wapi? Mie hata form IV nilikuwa nayasikia tu.
mmmmh! nyie ndo mlikuwaga akina mama kwenye kibabababa na kimamamama alaf mnacheza kamchezo kaleeeeee:A S-rap:
Nilikupenda sana MWAJABU MBATA,tulipokuwa shule ya msingi buzebazeba miaka ya 2004-.2006. popote ulipo pokea salam zangu!
kweli?
yeah it was MWANDU PR.SCHOOL somewhere in central tanzania,guess what....Aisee mi nakumbuka huyo kaka alikuwaga time-keeper alikuwaga ananifukuzia mi kipindi hicho nlikuwa la tano ye la saba. Nilikuwa nampenda ila nlikuwa naogopa kumkubalia.Bas hiyo kengere ilikuwa karibu na darasa letu kila akienda kugonga kengele ya mapumziko lazima nimchungulie daaah... Alipomaliza alienda kusoma boarding akawa kila akirudi likizo haachi kunifukuzia.....badae nlimkubalia tukawa tunaandikiana barua ila kumsogelea hivi nlikuwa naogopa kama nini. Siku hizi nasikia ni dereva wa halmashauri fulani ktk wilaya fulani hivi.....
yeah it was MWANDU PR.SCHOOL somewhere in central tanzania,guess what....
mmmmhh haya bansMmmmhhh hapana