Huyo mdau analeta madharau kwa mafundi.🤣🤣🤣🤣
I'm sorry bro, haikuwa lengo kumkwaza mtu, don't take it serious. Utani utani kama huu hata huko site tunataniana sana, sina kabisa hiyo tabia ya kumdharau mtu (mafundi wanapenda niwepo site kuliko nisipoenda hata kama uwepo wangu hauhitajiki kwa muda huo kutokana na namna ninavyoishi nao)Hii ni dharau kubwa sana kwa mafundi.
Kwahiyo sisi level zetu ni energy drink na sigara na sahani ya ubwabwa sio?
KabisaNdo maana Kampuni makubwa(hasa ya nje),kabla ya ramani kulipiwa au kujengwa, inaletwa mezani
Structural Engineer wanaijadili contractors wanaijadili,
Quantity surveyors wanaijadili,
Wataalam WA mifumo ya umeme wanaijadili,
Wataalam WA mifumo ya maji wanaijadili,
Wataalam WA sayansi ya ardhi wanaijadili,
Mipango miji nao wanaijadili,
Ikionekana Iko sawa, inapitishwa ndo mchoraji analipwa 75% ya malipo husika.
Na mchoraji ramani anapaswa kua active muda wote WA ujenzi, akifanya kazi Kwa kushauriana na wataalam wote WA ujenzi.
Saiti ikikamilika, analipwa 25% yake iliyobaki
I have the following observations:
Asante sana. Ngoja nilifanyie kaziKingine pia,
Umefanya kosa Kama la mtoa mada,
Masterbedroom umeiweka eneo Moja imepakana na public toilet, halijakaa vizuri. PUBLIC TOILET INGEKAA UPANDE MWINGINE MBALI KABISA NA CHUMBANI KWAKO
Kutakuwa na mashindano ya kwenda hajaNyumba imejaa vyoo, inaonekana wanajisaidia sana hao wenyeji