Ebu tuichambue hii ramani ya nyumba, kwanza sijapenda dining kuambatana na choo, kipi kingine umekiona?

Hii ni dharau kubwa sana kwa mafundi.
Kwahiyo sisi level zetu ni energy drink na sigara na sahani ya ubwabwa sio?
I'm sorry bro, haikuwa lengo kumkwaza mtu, don't take it serious. Utani utani kama huu hata huko site tunataniana sana, sina kabisa hiyo tabia ya kumdharau mtu (mafundi wanapenda niwepo site kuliko nisipoenda hata kama uwepo wangu hauhitajiki kwa muda huo kutokana na namna ninavyoishi nao)
 
Kabisa
Kwenye miradi mikubwa kila mmoja anabeba majukumu yake ili hata ikitokea tatizo, mhusika ndio anawajibishwa
 
I have the following observations:
- mzunguko wa sewage system ni mkubwa na cost yake itakuwa kubwa kkiujenzi. Choo kimoja kiko upande wa kushoto, cha pili kulia na cha tatu kwa upande wa nyuma ---- mmmmh be careful!

- size ya jiko na store ni karibia viko sawa, hiyo ni store au chumba?

- hiyo 'exit' baina ya chumba na store ni ya kazi gani? Mtu akitoka bedroom anakwenda kufanya nini store? Hivo vitu utakavoviweka store vitakuwa salama kweli?

- secondary spaces zimewekwa kiholela na nyingine zitaleta kiza.
 
Kingine pia,
Umefanya kosa Kama la mtoa mada,
Masterbedroom umeiweka eneo Moja imepakana na public toilet, halijakaa vizuri. PUBLIC TOILET INGEKAA UPANDE MWINGINE MBALI KABISA NA CHUMBANI KWAKO
Asante sana. Ngoja nilifanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…