Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako

Kuna mtu atasema ni majani ya chai


Kuna mtu atasema hii thermos



Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas


Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia


Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimi🀣🀣


Kuna vijana watasema pesa ya mjerumani hii🀣🀣


Kabla hajafika mjengoni, tulimjua hivi
 
Aisee miakao hio,

Unataumwa mafuta dukani tuwashie taaa, aisseeee, mama asipo kuta jioni taa haziina mafuta ni kipondoo siku hio ,🀣🀣
Vunja ilo yai uonee πŸ˜‚
Afu kuna jiko la utambi una lipata? πŸ˜‚πŸ™Œ tv ya kichogo radio zip nyumbani mpaka leo na zina imbaa
 
Vunja ilo yai uonee πŸ˜‚
Afu kuna jiko la utambi una lipata? πŸ˜‚πŸ™Œ tv ya kichogo radio zip nyumbani mpaka leo na zina imbaa
Napata jiko la utambi mkuu
🀣🀣

Kosa livutike , aisee unaanza tena kulitengeneza likae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…