bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,600
- 3,510
Hakika mkuu...kopo za bati tuliunda sana magari...vidole vimejaa majeraha tu ila hatukukoma 🤣🤣Sidhani kama za sasa unaweza kuzianika 😂
Ila mpaka leo tungekuwa na uvumbuzi mwingi sana
Viongozi na tamaa zao