Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

Mjomba hiyo pekosi hatari sana...huna kwenye wardrobe yako unajikumbushia 🀣🀣🀣
Nimezivaa sana ila unajua tena ni miaka 40 iliyopita na sisi hatuna utaratibu wa kuweka kumbukumbu kwenye dari kama wenzetu.

Viatu vya platform (raisoni) niliibiwa shule, roho iliniuma sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ile kuvaa sare kama timu ya mpira...hapo walikuwa hawanipati nilikuwa nakataa kufanana nguo.

Kuna siku tunarudi mizunguko ya sikukuu, mvua ilinyesha kidogo kuna bro alikuwa mbele so alipretend kuruka kidimbwi cha maji (hakikuwepo) kulikuwa giza basi tuliofata woooote tuliruka kama mbuzi πŸ˜…
Nikimkumbusha anacheka mpaka chozi linamtok
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwachiluwi na Poor Brain

Mnakumbuka wale jamaa wa

"USHUHUDA: JINSI MKOJO WA ASUBUHI ULIVYONIPONYA"

🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uzi flani hvi ulitrend kinoma na ulitembea hatariiii
Na kumbuka huu uzi ndo nilianza kujua na jamaa anajiita vishu mtata...

Nikawa naona jamaa kila comment anasifia kwamba ni kweli mkojo Tiba kama utakunywa saa kumi na moja..

Nikamfata PM akanambia niache ujinga yeye sio wa kunywa mikojo ile siku ndo nikaamini humu jf kuna watu jau jau sana
 
Na ile kuvaa sare kama timu ya mpira...hapo walikuwa hawanipati nilikuwa nakataa kufanana nguo.

Kuna siku tunarudi mizunguko ya sikukuu, mvua ilinyesha kidogo kuna bro alikuwa mbele so alipretend kuruka kidimbwi cha maji (hakikuwepo) kulikuwa giza basi tuliofata woooote tuliruka kama mbuzi πŸ˜…
Nikimkumbusha anacheka mpaka chozi linamtoka
Hapo mm sijui nilikuwaje yaani sikukuu ikifika ninaenda hunioni mtaani labda usiku sana na ni kwa matukio maalum.lakini sikukuu ikipita lazma tukutane kwenye matukio.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uzi flani hvi ulitrend kinoma na ulitembea hatariiii
Na kumbuka huu uzi ndo nilianza kujua na jamaa anajiita vishu mtata...

Nikawa naona jamaa kila comment anasifia kwamba ni kweli mkojo Tiba kama utakunywa saa kumi na moja..

Nikamfata PM akanambia niache ujinga yeye sio wa kunywa mikojo ile siku ndo nikaamini humu jf kuna watu jau jau sana
🀣🀣🀣🀣😁🀣

JF NI MOVIE MKUU
 
Wengine tuna wachora tu
 
Wengine tuna wachora tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unajua jamaa aliondoka na kijiji nahisi hata muanzisha mada nae alichanganyikiwa maana vishu kama alitawala kwa ule mjadala...

Na watu wakaanza kuunga hoja sijui walikua wanajaribu daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom