Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Kuenjoy kwa Ngoma za msondo Ngoma 😂😂😂Ndiyo ili mjue sisi wazee wenu tulivyokuwa tuna enjoy maisha 😎
Kuenjoy kwa Ngoma za msondo Ngoma 😂😂😂Ndiyo ili mjue sisi wazee wenu tulivyokuwa tuna enjoy maisha 😎
Sizani ila mm nilikuwa na yangu matatu kwahiyo ni mwendo wa kubadirisha tu.Nasikia huu mzigo mlikuwa mnalipishwa Senti tano tano kucheza kama now kwenye PlayStation...ety wahenga 😁😁😁View attachment 3400758
Mama wa watu alidhani unamaliza umeme wa tanesco 😂😂😂Acha mkuu
Mzee alininuliaga jezi ya chicago bulls za jordan
Mtaani nikaabza kuitwa CHICAGO
🤣🤣
Alinunuliaga viatu flani hivi sneakers za kuwaka waka, mama mmoja jirani kwa kuumia akavitupa juu ya bat
🤣🤣🤣
Wew tu 😂😂 nimetoka kuwaonesha nika shindwa rudishia kama zilivyo kuwa duh 😂😂 af mama yangu alikuwa ana uza nguo sasa mda mwingine jiran walikuwa wanakuja kumkopa sasa hapo kadanganya mwanangu hana nguo ya sikukukuu af mm nimeenda waonyshaUsinikumbushe nishawahi kula kibano Cha kufa mtu 😂😂😂😂😂
Kuber inastimu ya haraka bangi unasubiri😂😂😂Watachanganyikiwa hao,kuna fala atasema ni kahawa hiyo.
Kwahiyo ulikuwa na pes 3 4 na 5 au sio 🤣😂😂Sizani ila mm nilikuwa na yangu matatu kwahiyo ni mwendo wa kubadirisha tu.
Umeharibu mipango ya bimkubwa kusamehemewa labda apokee hela ya mchezo siku hiyo hiyo 😂😂😂Wew tu 😂😂 nimetoka kuwaonesha nika shindwa rudishia kama zilivyo kuwa duh 😂😂 af mama yangu alikuwa ana uza nguo sasa mda mwingine jiran walikuwa wanakuja kumkopa sasa hapo kadanganya mwanangu hana nguo ya sikukukuu af mm nimeenda waonysha
Kwahiyo ulikuwa na pes 3 4 na 5 au sio 🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo ulikuwa na pes 3 4 na 5 au we acha tu...enzi zetu tulienjoy sana...sio haya matoi ya sasa hivi kama maputo *****.
ha kabisaUmeharibu mipango ya bimkubwa kusamehemewa labda apokee hela ya mchezo siku hiyo hiyo 😂😂😂
Umenikumbusha bwanaHakika mkuu
Hata sisi maisha yalikuwa poa kiasi ila wali tulikuwa tunakula hata mara 3 kwa wiki, pilau ndip siku kuku, kuku hadi juma pili
🤣🤣🤣
Ndiyo Mkurugenzi.... Kilikuwa kinawaka vizuri sana ... Mwanga wa kutosha....Nakijua iko kinatengezwa na kopo la daw ya mbuu walikuwa wanauza pale kota njee
Acha mkuu.Umenikumbusha bwana
Mnanunuliwa ngui week before xmass kila wakati unachungulia sanduku tu 🤣, mkishiba ubwabwa ndo kupiga pamba kali viatu vinawaka taa chini usiku wanajua kabisa Mwachiluwi anakuja
😂😂 zilitokaga tishet zina picha za wacheza mieleka wakina undertek una kumbukaaUmenikumbusha bwana
Mnanunuliwa ngui week before xmass kila wakati unachungulia sanduku tu 🤣, mkishiba ubwabwa ndo kupiga pamba kali viatu vinawaka taa chini usiku wanajua kabisa Mwachiluwi anakuja
Halafu katika vitu nilikuwa sivielewi ni viatu kuwaka taa...mama atakuna nimevitelekeza uvunguni wallah...sipendi ushamba mm.Umenikumbusha bwana
Mnanunuliwa nguo week before xmass kila wakati unachungulia sanduku tu 🤣, mkishiba ubwabwa ndo kupiga pamba kali viatu vinawaka taa chini usiku wanajua kabisa Mwachiluwi anakuja
Shtuka usingizini...saiz n saa tano na robo usiku...Nahisi wajuaba wanaweza kukuletea noma kutumia jina lao🤣🤣
Au ni poa tu😁