Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

Acha mkuu.

Miaka hio unakuwa haujali kile kitakachofata kesho, kelele za watoto mtaani, kukaeibishwa ubwabwa na na jirani,

🤣🤣Aisee
Kuna siku waliletwa kuku wa nyama 10 kwa ajili ya sikukuu, tukaambiwa muwaweke stoo sababu hawa mbio tukasema wacha tuwachezee kwa kuwabeba beba, tukawasahau sebuleni na kwenda kulala maana mzee alirudi usiku sana. We bwana kuamka asubuhi sebule yote imejaa uchafu wao 🤣🤣 tulikula mboko mkuu na nyumba tulideki 🤣🤣
 
😁😁😁😁😁😁😁
 
Ninge wabutua ata mimi
 
Kuna mShua mmoja alikuaga mwalimu ukitaka awafundishe anawatuma Kuberi kwanza 😅😅 huo ujinga heri serikali iliupiga marufuku
 
Mwachiluwi et nataka unielekeze kupika pilau la nyanya chungu.....😂😂😂😂

Mwachiluwi ana uzi wake huu ngoja niweke link hapa

"" nilivopata tabu kujiunga kwenye group la mapishi nikiwa chuo""
Hivi nawezaje kumpata shimba ya buyenze au hadi nimtag na picha ya tako kubwa la mdada,😁😁😁
 
Kuna siku waliletwa kuku wa nyama 10 kwa ajili ya sikukuu, tukaambiwa muwaweke stoo sababu hawa mbio tukasema wacha tuwachezee kwa kuwabeba beba, tukawasahau sebuleni na kwenda kulala maana mzee alirudi usiku sana. We bwana kuamka asubuhi sebule yote imejaa uchafu wao 🤣🤣 tulikula mboko mkuu na nyumba tulideki 🤣🤣
Na sikukuu iliharibika
 
Hivi nawezaje kumpata shimba ya buyenze au hadi nimtag na picha ya tako kubwa la mdada,😁😁😁
Shimba aji kizembe mpaka mada ziwe hot tena mada ziwe zinaongelea mambo kama hayo...

Sasa hvi nenda jukwaa la warembo duniani utamkuta kule kazi yake ni ku confirm picha kama umetuma picha haina hadhi yaani yutong ana ❌ hv tuu...

Pia ukitaka aje hapa mwambie kuna mtu anawasema vibaya wanawake wenye makalio....
 
🤣🤣🤣
Na ile kuvaa sare kama timu ya mpira...hapo walikuwa hawanipati nilikuwa nakataa kufanana nguo.

Kuna siku tunarudi mizunguko ya sikukuu, mvua ilinyesha kidogo kuna bro alikuwa mbele so alipretend kuruka kidimbwi cha maji (hakikuwepo) kulikuwa giza basi tuliofata woooote tuliruka kama mbuzi 😅
Nikimkumbusha anacheka mpaka chozi linamtoka
 
Shimba aji kizembe mpaka mada ziwe hot tena mada ziwe zinaongelea mambo kama hayo...

Sasa hvi nenda jukwaa la warembo duniani utamkuta kule kazi yake ni ku confirm picha kama umetuma picha haina hadhi yaani yutong ana ❌ hv tuu...

Pia ukitaka aje hapa mwambie kuna mtu anawasema vibaya wanawake wenye makalio....
Ngoja nijaribu 😁😁

Shimba ya Buyenze vitu vyako hivi kaka
😁😁
Screenshot_20250710-074319.png
 
Back
Top Bottom