Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

Ila ilikuwa inaleta mzuka wa sikukuu hasa kwenye suala la msosi maana sikuhizi vyakula vinavyopikwa sikukuu tunavila mara kwa mara

tofauti na kipindi Iko ukisikia harufu ya pilau la Nazi unajiuliza mara mbili mbili Leo ni lini kwani ,😂😂😂
Kabisa now wakina p na jay wame haribu mfumo
 
Sana kiongozi kusema kweli sikukuu imepungua ladha
Kabisa

Siku kukuuu siku hizi watoto wanacheza ps wanaogopa kutekwa njee.

Ila pia miaka hio ya tisini mwishonu na 2000 mwanzoni kuliibuka wachuna ngozi
, duh kuna machali waliuliwa aiseee haswa madogooo
 
Kumbe ulikuwa NMB unatoa mikopo mpaka kwa walimu 😂😂😂
Acha mkuu

Mzee alininuliaga jezi ya chicago bulls za jordan

Mtaani nikaabza kuitwa CHICAGO


🤣🤣

Alinunuliaga viatu flani hivi sneakers za kuwaka waka, mama mmoja jirani kwa kuumia akavitupa juu ya bat

🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom