min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sure naona bwasheeAaaaaaah
🤣🤣🤣
Mwamba anapenda wezere snaaa
🤣🤣🤣
Sure naona bwasheeAaaaaaah
🤣🤣🤣
Mwamba anapenda wezere snaaa
🤣🤣🤣
Mwamba ni mtu wa muhimu sana kwenye Uzi wa warembo worldwide apewe Maua yake 😂😂😂min -me Harmful Mwachiluwi
Kuna mwamba mkongwe humu anaitwa shimba ya buyenze , anatokezeaga mara moja moja haswa akiona picha za makaalio makubwa anacomment na kulike alafu huyoo humuoni tena
🤣🤣🤣
The guy is a mystery, maaan
Hio ndio ilikuwa ya Omari ngwara ngwara wa
🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha kupigwa mpaka dukani,halafu mkifika unaulizwa mbele ya muuza duka nilikutuma nini🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 ole wako uende na sabuni nyingine una anza kupigwa mpaka dukani
😂😂😂Jukumu wanalipambaniaHahahah
Sanaaa. Yupo na yule swahili ai na midekoo
Aisse itakuwa hata wakilala wanaona malue lue ya makalio🍑🍑🍑
🤣🤣
Ilikua noma mkuu yani kama maza anaenda kulala au mshua nayo inaenda ko nyie mnao baki mtajua nyie dah long time sana ulinzi wake ilikua mkubwa sana icho kipindi ambacho mkitamani kula wali hamna hela inapikwa mchele chenga...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu unakuta zinafutwa zinaazikwa chini ya uangalizi mkali
Aisee mkuu umenikumbusha mbali snaaa
Kama wa miaka ya sabini hauchanganyi mtu Bali unavuruga vuruga 😂😂😂Mi wa miaka ya 70s 😁😁
Sijaikuta hii tanbond enzi zangu,wala ok ni korie na blueband
🤣🤣🤣🤣Halafu wakina @el Cohen na wahenga wenzako mkitaka kutuchanganya kwanini mnaleta vitu
Leteni hata lifestyle yenu ya zamani kwa Mfano kutoka mtoko wa sikukuu za eid na suti za kipaimara mtaani unatamba wewe😂
Na muuza duka ana ongezea chumvi nili muuliza uja tumwa komesha aka kataa kata kata una msikia mama lione kama lichawi nikukute nyumbani tena na fimbo jichumie mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha kupigwa mpaka dukani,halafu mkifika unaulizwa mbele ya muuza duka nilikutuma nini🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo mkuu enzi hizo ukiwa na 200 ya noti we ndio ni bakhresa wa mtaa 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mkuu nakumbuka miaka hio chalii, tuliishia na bamdogo wangu yeye akawa makamo yangu ila mkubwa kiasi.
Yeye ndio alienifundisha ujanja mkuu.
Nakumbuka alikuwaga na album za mr 2 ,muziki na maisha, album za rap ya bongo,
Miaka kusogea kidogo Siku moja mama aliwahi nikuta nasikiliz kanda ya duly sykes ile yenye wimbo wa nyambizi, aiseee akawa anaifisha kwamba ni matusi, mimi ni kawa naaiiiba.
Kipindi kutoka out, ni mtaa mzima mnaenda disco, na mfukoni umepewa 200 ya noti hapo unajiona tajiri snaaa mkuu
🤣🤣
siku moja kabla ya sikukuu lazima usiku papikwe ugaliKwahiyo mkuu enzi hizo ukiwa na 200 ya noti we ndio ni bakhresa wa mtaa 😂😂😂
Shida ilikuwa nini 😂🤣🤣siku moja kabla ya sikukuu lazima usiku papikwe ugali
Kesho pana pikwa pilau pia mchele ulikuwa gharama sana ulikuwa una limwa mikoa michacheShida ilikuwa nini 😂🤣🤣
Ila ilikuwa inaleta mzuka wa sikukuu hasa kwenye suala la msosi maana sikuhizi vyakula vinavyopikwa sikukuu tunavila mara kwa maraKesho pana pikwa pilau pia mchele ulikuwa gharama sana ulikuwa una limwa mikoa michache