Bado zipoHzo torch Za chuma zmepotea juz tu
Bwashee umechelewa sana kuja mjini🤣🤣🤣Sawa mkuu😁😁😁
GademiiitBado zipo
Hiyo ukiwa mtoto huruhusiwi kuigusa 😂😂, the choosen ones ndo wanaruhusiwa kuisafisha.Aisee miakao hio,
Unataumwa mafuta dukani tuwashie taaa, aisseeee, mama asipo kuta jioni taa haziina mafuta ni kipondoo siku hio ,🤣🤣
Watoto wa kishua ndo walikuwa wanamiliki haya matamboHahahaha
Tulikuwa tuna yanunua mkuu,
Mchawi alikuwa betri tu🤣🤣
Sio huyu ukumin -me Harmful Mwachiluwi
Kuna mwamba mkongwe humu anaitwa shimba ya buyenze , anatokezeaga mara moja moja haswa akiona picha za makaalio makubwa anacomment na kulike alafu huyoo humuoni tena
🤣🤣🤣
The guy is a mystery, maaan
Kaka simba ni mdogo wangu ujue😅min -me Harmful Mwachiluwi
Kuna mwamba mkongwe humu anaitwa shimba ya buyenze , anatokezeaga mara moja moja haswa akiona picha za makaalio makubwa anacomment na kulike alafu huyoo humuoni tena
🤣🤣🤣
The guy is a mystery, maaan
😅😅Sio huyu uku
View attachment 3400804
Kwanza hiyo chemli ilikua inafutwa na maza au na sister au na bro mwenye akili zake timamu.Aisee miakao hio,
Unataumwa mafuta dukani tuwashie taaa, aisseeee, mama asipo kuta jioni taa haziina mafuta ni kipondoo siku hio ,🤣🤣