Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Uzi SI unataka tuchanganyikiwe tumeanza sasa 😂Dogo tulia yaan una ulizia socket 😂😂
Uzi SI unataka tuchanganyikiwe tumeanza sasa 😂Dogo tulia yaan una ulizia socket 😂😂
We ume wai mapema sana kama umekunywa gongoUzi SI unataka tuchanganyikiwe tumeanza sasa 😂
Kwahiyo unaweza ukatafutwa kumbe upo chini ya uvungu unachezea pes 5 yako 😂😂😂Hahahaha
Tulikuwa tuna yanunua mkuu,
Mchawi alikuwa betri tu🤣🤣
Nimeuliza mara ya mwisho, ilikuwa 15,000Acha bas shingapi?
Duh kisa zina wekwa kwenye bar nowNimeuliza mara ya mwisho, ilikuwa 15,000
Unaenda dukani una ulizia sabuni ya komesha 😂
Kaka naona umenitaja🤣🤣🤣🤣Aaaaaah
🤣🤣🤣
Komesha umenikumbusha mbali mwanaa
🤣🤣🤣
Last bornKwamba mkuu , mimi ni mdogo wenu ? Au siooooo😅😅😅😅
Ila nyamwi wewe kuna kitu nimependa🤣Hakuna jipya hapo
😂😂 ole wako uende na sabuni nyingine una anza kupigwa mpaka dukaniAaaaaah
🤣🤣🤣
Komesha umenikumbusha mbali mwanaa
🤣🤣🤣
Ndiyo, pia uadimu wake.Duh kisa zina wekwa kwenye bar now