Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

Wakulungwa wenzangu wa kayumba tunaona nyotanyota tu,uzi wa watoto wa st huu...ila pamoja na kimombo changu cha zis iz,yule mzungu ED hafai,the guy got it all!
 
Mimi the weekend namsikiaga tu sijui wimbo hata mmoja ila ed Sheeran najua nyimbo zake nyingi
 
Kama hamjui Jamie Fox ndio kamtoa Ed Sheraan. Huyu zeruzeru alikubalika na watu weusi kabla hajapata jina. According to Jammie, Ed alikuwa anapewa standing ov na mablack kipindi anapiga ukulele. I'm a pro black, but in this comparison. Ed so far away of Weeknd and Usher Raymond combined. Ukweli usemwe
 
Ile kusema Ed is far away than Weekend was enough.

Usher is a legend.
 
cause we were just kids when we fall in love not knowing when it was i'll not give you up this time babe just kiss me slow your heart is all i won ............
Sheeran Jini aisee
 
Abel mzaliwa wa TO ni mNoma sana, by the way watu wa TORONTO wanakuaga hatari sana kwenye mziki si mnaona hata Aubrey? ANYWAYS Abel hata sio wakumfananisha na huyo mwingereza bwana Edward mzaliwa wa halifax kweli Edward anajitahid ila Abel ni hatari sana
 
EVERYBODY IS ENTITLED TO HIS OR HER OPINION ILA....
Stats za march mwaka huu zinasema, The Weeknd currently has almost 30 million more monthly listeners than second-placed Miley Cyrus (82.4 million). He is also comfortably ahead of Shakira (81.6 million), Ariana Grande (80.6 million), Taylor Swift (80.2 million), Rihanna (78.5 million), and his closest male challenger, Ed Sheeran (77.5 million).... I GUES NAN MNOMA IMEONEKANA... kawagalagaza wazungu wote hao ujue si mchezo.....
 
We utakuwa mgeni hapa duniani,, Rudi upesi kwenu Pluto.. THE WEEKND humjui???
Huyo jamaa hajui mziki, the weekend ndio most viewed artist in this planes as per Guinness world records mwaka huu... Canadian singer The Weeknd is the artist with the highest recorded number of monthly listeners (112.78 million) wakat ed sheran ana million 77 tu... Abel ni hatari sana ukichangia kuwa ni mweusi na ni mtoto wa baba(immigrant) wa kihabesh mzee hatari sana
 
Ed Sheeran ni mwizi. Wa nyimbo. Juzi alikuwa na kesi kuiba wimbo wa Marvin gaye unaoitwa Let's get it ona. Wake unaitwa Thinking out Loud. Nimesikiliza wimbo wake Castle on the hill, unaendana na With or Without you wa U2 kwa kiasi fulani.
 
Huyo jamaa hajui mziki, the weekend ndio most viewed artist in this planes as per Guinness world records mwaka huu... Canadian singer The Weeknd is the artist with the highest recorded number of monthly listeners (112.78 million) wakat ed sheran ana million 77 tu... Abel ni hatari sana ukichangia kuwa ni mweusi na ni mtoto wa baba(immigrant) wa kihabesh mzee hatari sana
Tatizo vijana wanasikiliza singeli hawa
 
Back
Top Bottom