Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

Kagere ni mfungaji mzuri na hatari sanaa.
Lile Goli na hakika angekuwa Mayele angeweka Goti na mpira ungeishia pale

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Yawezekana Sarpong alikuwa ana offer vitu vingi kuliko Mayele ila alikuwa kwenye timu mbovu zaidi kuliko hii.

Mayele ana movement nyingi kwenye box na ni mzuri nje ya box tofauti na Sarpong
Acha uongo bhana mayele is far best than sarpong kwa kila kitu yaani
 
Mwambie Edger kibwana amwambie Jonh Bocco aliyecheza dakika nyingi dhidi ya Kagere na Hana hata goli moja.Kumfananisha mayelle na Kagere si sawa Kagere ni mzoefu wa ligi hii
 
Kwa nini amlinganishe huyo na asilinganishwe na mchezaji mwingine tz tumezoea kusema Jambo lolote lile lilivyo yanga basi na Simba likoje

Nimemsikia pia mara nyingi Sana Edo ataongea Jambo la yanga kwa mapungufu yake atabalance kwa kuibua ttz la upande wa pili
 
Ndio nakubali hata mm Fiston Mayele na Yanga yake wanapenda misifa mingi wakati ligi ndo kwanza inaanza, ngoja tuone nani atakua mkali wa kufumania nyavu kati yake na MK 14
Hakuna mtu asiyependa sifa dunia hii hata mtoto wa mwaka mmoja na nusu akisifiwa atafanya vzr zaidi

Binfasi tusubilie contribution ya mayele kwenye mafanikio ya timu yake kwani M14 tumeshaona miaka mitatu aliyochezs Tz
 
Kagere yuko vizuri sana ,uzuri wa mayele unaonekana kwa kutengenezewa nafasi nzuri na mmaliziaji mzuri,Ila kagere anafunga magoli hata kwenye maeneo magumu mno
 
Simba ina magoli 3 katika dakika 500 ilizocheza.
 
Nimeufwatilia huu uzi ila comment yako imenifurahishaa sanaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu uhalisia una upata ndani ya mashabiki wenyewe wa Simba, baada ya kocha kulalamikiwa kumpanga Mugalu badala ya Kagere na kuwakosesha ushindi, mechi iliyofuata alianzishwa Kagere na kilichofuata na kuoga matusi tu vibandani na kukumbukwa Mugalu. Halafu leo hii mchambuzi anakwambia Mayele ana cha kujifunza kwa Kagere.

Mayele aliyefunga magoli yake wachezaji wakiwa kamili vs Kagere aliyepata magoli alicheza na wachezaji walio pungufu. Kama kigezo ni dakika, je kinachomfanya Kagere asianze ni kitu gani kama ni mashambuliaji anayetoa funzo kwa wachezaji wengineo?
 
Siyo tegemezi,tegemeo,aucho majeruhi
 
Hakuna mt atakarkujibu hili swali.
 
Kwa nini asijifunze kwa vitalis mayanga?! Au Edger anataka tu ajifunze kwa kolo mwenzie!
 
Ni sahihi Simba kweli mpaka sasa first 11 haija julikanaa
 
ila kuna watu hawamjui bolu mpaka mnatia aibu
 
Makolo mnachekesha sana[emoji23]
Lkn si mnajua Simba 3-Fei toto 3
Siku mashabiki wa UTO mkijua kuwa Feisal ni Ndemla aliyechangamka ndio mtajua hiki alichokisema Edgar Kibwana
 
Hakuna mtu asiyependa sifa dunia hii hata mtoto wa mwaka mmoja na nusu akisifiwa atafanya vzr zaidi

Binfasi tusubilie contribution ya mayele kwenye mafanikio ya timu yake kwani M14 tumeshaona miaka mitatu aliyochezs Tz
Powa sikukatalii kwa sababu wakati ndo hunena lakn kwa MK 14 tumeshaona na tunaendelea kuona,lakini kwa Mayele nahisi watu wamepigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…