Mayele ni mfungaji mzuri zaidi ya kagereUmeandika ukiwa na chuki kali sana
Mimi simuungi mkono kabisa.Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa mshambuliaji wa Simba Meddi Kagere!
Edgar Kibwana aliendelea kufafanua zaidi, " Mayele ambaye ameanza mechi nne na kucheza dakika nyingi mpaka sasa ana magoli mawili sawa na Kagere ambaye yeye huanzia benchi na kucheza dakika chache nae ana magoli mawili"
" Mayele amezungukwa na wachezaji bora wengi lakini bado anasuasua katika ufungaji wa magoli tofauti na Kagere ambaye timu yake kwasasa haichezi vizuri" Edgar Kibwana aliongeza zaidi.
Kwahyo Edgar Kibwana akahitimisha kwa kusema, ni wakati sasa wa Fiston Mayele kujifunza zaidi kwa mkongwe Kagere kwenye ufumaniaji wa magoli ili awe bora zaidi!!
NB:
Namuunga mkono Edgar kwani Fiston anacheza soft soft sana anahitaji kupambana zaidi
Edgar alisisimkwa na bao la Kagere.Wenzetu waliondelea huwa wanaangalia Data analytics kuona output ya mchezaji, StatBombs, xG philosophy, Spieverlagerung
Huku kwetu tunaongea maneno ilimradi mtu amejisikia kuongea.
NakubaliUko sahihi magoli yote ya Kagere ni uwezo binafsi ,kama goli la jana mazingira kama yale ngumu sana kufanya maamuzi yale,angalia magoli waliyokosa kibu na bocco
Eti uzoefu. Ama ndo mnajianda mkikosa ubingwa muanze kusema kikosi hakikuwa na uzoefu.Mimi simuungi mkono kabisa.
Mbona hakuangalia uzoefu wa kila mmoja kwenye ligi yetu?
Kagere ana zaidi ya miaka2 ana magoli2
Mayele ana so zaidi ya 3 ana magoli2
Yupi bora.
Edgar aache unafiki na uzandiki
Akili za kuambiwa changanya na chako,WACHAMBUZI UCHWARA
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa mshambuliaji wa Simba Meddi Kagere!
Edgar Kibwana aliendelea kufafanua zaidi, " Mayele ambaye ameanza mechi nne na kucheza dakika nyingi mpaka sasa ana magoli mawili sawa na Kagere ambaye yeye huanzia benchi na kucheza dakika chache nae ana magoli mawili"
" Mayele amezungukwa na wachezaji bora wengi lakini bado anasuasua katika ufungaji wa magoli tofauti na Kagere ambaye timu yake kwasasa haichezi vizuri" Edgar Kibwana aliongeza zaidi.
Kwahyo Edgar Kibwana akahitimisha kwa kusema, ni wakati sasa wa Fiston Mayele kujifunza zaidi kwa mkongwe Kagere kwenye ufumaniaji wa magoli ili awe bora zaidi!!
NB:
Namuunga mkono Edgar kwani Fiston anacheza soft soft sana anahitaji kupambana zaidi
Wachambuzi gani wakubwa na mapro ukiacha hawa walioko Clouds,Wasafi na Efm??..kwanza hicho kijamaa si ni meneja wa lile zee bocco sasa ataongea nini cha maana ?
pia metacha mchezaji wake tulifukuza amekosa hela
upumbavu mkubwa kuwahi kutokea ..
hao clouds wanaajiri hizo takataka sababu hawana uwezo wa kuchukua wachambuzi wakubwa na pro..
mayele kwanza kumuweka na hilo zee kagere ni dhambi
Whatever Edgar ni wakala wa wachezaji wengi bocco nae vipi?Wachambuzi gani wakubwa na mapro ukiacha hawa walioko Clouds,Wasafi na Efm??..
Halafu Edger sio meneja/wakala wa Metacha
Point of correction.Whatever Edgar ni wakala wa wachezaji wengi bocco nae vipi?
Hakuna kitu humo acha kumtetea huwa clouds unaipenda sana
Taja wachambuzi mapro ambao ni wagharama sana ambao hawapo kwenye hizo media tatu nilizozitaja acha janjajanja..Whatever Edgar ni wakala wa wachezaji wengi bocco nae vipi?
Hakuna kitu humo acha kumtetea huwa clouds unaipenda sana
sehemu sahihi kwa muda sahihi ni sifa ya ziada ya mshambuliajiHakuna cha kujifunza hapo Magoli ya Kagere mara nyingi ya kuvizia tu wala hayana msisimko wowote.
Bado mapovu yapoo??
Yanga ni MAZUZU - SHAFFIH DAUDAKila mtu ashinde mechi zake,Edgar amepata tu platform ya pale mawinguni ila ni empty kabisa na kaka yake Dauda
juu nao ni utoto na uwezo mdogo wa kufikiri.Makolo mnachekesha sana[emoji23]
Lkn si mnajua Simba 3-Fei toto 3
Ni sahihi maana ni mbumbumbu mwenzenu-Rage AdenYanga ni MAZUZU - SHAFFIH DAUDA