Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Waga nakuelewa sana komredi hakika wewe mpira unaujua vyema.Kuna kipindi Kulikua na kutoelewana kati ya Lunyamila na Kocha wa timu ya Taifa wakati ule Zakalia Kinanda mpaka leo sijajua sababu ilikua nini.
Ilipoitwa timu ya Taifa Lunyamila hakujumuishwa, wanahabari na wadau walipo hoji kocha Zakalia akaasema Lunyamila ninmchezaji wa kawaida na Wachezaji wengine walioitwa timu ya Taifa wataziba nafasi yake.
Kinanda alikua pia akifundisha RTC kagera Bahati nzuri au Mbaya katika kipindi ichoicho cha mgogoro wakakutana kati ya Yanga na RTC Kagera pale Shamba la Bibi.
Ile Mechi ilikua kama vita kati ya kocha wa STARS Zakalia kinanda na Eddibily Jonas Lunyamila.
Siku ile Lunyamila aliwafunga RTC kagera goli 6 katika ushindi wa Yanga wa Goli 8 bila dhidi ya RTC kagera.
Yaani aliondoka na HAT TRICk mbili katika mechi moja.
Unaweza kupata picha alikua ni mchezaji wa aina gani ukichukulia alikua ni Winga wa kushoto na Si namba tisa au kumi.
Pia kwenye club bingwa afrika mashariki na Kati (kagame cup)Kuna kipindi Kulikua na kutoelewana kati ya Lunyamila na Kocha wa timu ya Taifa wakati ule Zakalia Kinanda mpaka leo sijajua sababu ilikua nini.
Ilipoitwa timu ya Taifa Lunyamila hakujumuishwa, wanahabari na wadau walipo hoji kocha Zakalia akaasema Lunyamila ninmchezaji wa kawaida na Wachezaji wengine walioitwa timu ya Taifa wataziba nafasi yake.
Kinanda alikua pia akifundisha RTC kagera Bahati nzuri au Mbaya katika kipindi ichoicho cha mgogoro wakakutana kati ya Yanga na RTC Kagera pale Shamba la Bibi.
Ile Mechi ilikua kama vita kati ya kocha wa STARS Zakalia kinanda na Eddibily Jonas Lunyamila.
Siku ile Lunyamila aliwafunga RTC kagera goli 6 katika ushindi wa Yanga wa Goli 8 bila dhidi ya RTC kagera.
Yaani aliondoka na HAT TRICk mbili katika mechi moja.
Unaweza kupata picha alikua ni mchezaji wa aina gani ukichukulia alikua ni Winga wa kushoto na Si namba tisa au kumi.
Atakuwa anajuta sana kuzaliwa mapema kwa sasa angekuwa na utajiri mzuri tuEdibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...
Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...
Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...
He must be doing fine now at 52
Hapo kwa "Jembe Ulaya" bila tone la shaka umemchanganya na Bakari MalimaEdibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...
Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...
Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...
He must be doing fine now at 52
Maisha hayaendi reverse yanaenda yakiisha..Atakuwa anajuta sana kuzaliwa mapema kwa sasa angekuwa na utajiri mzuri tu
Ahsante sana... NimekumbukaHapo kwa "Jembe Ulaya" bila tone la shaka umemchanganya na Bakari Malima
Pale ujeruman alikwenda kwa majaribio FC cologne na 1998 bado wachezaji weusi hawakuwa wengi.Kule Ujerumani alipewa test ya kula tu akafeli! Alizoea chipsi dume za bongo kafika kapewa menu hata nusu hakumaliza wazungu wakaona kumchezesha mtu na njaa hata km ana kipaji ni dhambi na non professional akarudishwa temeke kwetu!
Fitness kweli? Kuna mambo huwa hayasemwi..Pale ujeruman alikwenda kwa majaribio FC cologne na 1998 bado wachezaji weusi hawakuwa wengi.
Alifanya majaribio lakini walipendekeza arudi atafute ftness.
Sielewi nini kilitokea kwakua kipindi anarudi apa nyumbani kulikua na maandalizi ya Simba na Yanga na akaiwahi iyo mechi iliyo chezwa Mwanza.
Alifanikiwa kufunga goli moja katika ushindi wa Yanga wa 2- 0 dhidi ya Simba.
Goli la pili alifunga Bakari Malima ambaye licha ya kucheza vizuri siku iyo pia alifanikiwa ku mdhibiti vizuri Dua Saidi ambaye alikua akiwafunga Yanga karibia mechi mbili mfululizo.
Katika Mechi ile ya Mwanza Malima alipelekwa acheze beki wa pembeni pembeni kutoka nafasi ya beki wa kati aliyo izoea ili ahakikishe Dua Saidi aleti madhara maana alikua aki isumbua sana Yanga na kufanya mashabiki wakose raha timu izo ziki kutana.
Bahati mbaya Dua Said akumaliza mechi baada ya kugongana na Bakari Malima wakati mechi ikiwa inaendelea.
Dua alikimbizwa Bugando kwa matibabu na alizinduka kutoka kwenye kupoteza fahamu usiku wa manane.
Kwasasa jamaa ni marafiki sana Kati ya Dua na Malima.
Lunyamila kwasasa naona anafanya shughulizake pale Airport kule Cargo marakwa mara uwa namuona kule.
Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.Ahsante sana... Nimekumbuka
Jembe Ulaya alikuwa beki na Lunya alikuwa Forward..
Kuna kipindi alikacha mazoezi Ulaya kuja kucheza simba na yanga...
Mambo yakawa mengi na mpira ukaishia huku huku bongo...
Golden chance wasted.
Jembe ulaya ni Bakari Malima sio Lunyamila.Edibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...
Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...
Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...
He must be doing fine now at 52
Hapo kwa mchezaji pekee wa afrika mashariki nafikiri kun hitilafu kidogo. Kuna jamaa wa kenya alikuwepo kwenye ile inter milan ya mourinho ambayo ilichukua uefa champions league.Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.
Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.
Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.