Edibily Lunyamila - Moja ya wachezaji bora Nchi iliwahi Pata. Yupo wapi?

Pale ujeruman alikwenda kwa majaribio FC cologne na 1998 bado wachezaji weusi hawakuwa wengi.
Alifanya majaribio lakini walipendekeza arudi atafute ftness.
Sielewi nini kilitokea kwakua kipindi anarudi apa nyumbani kulikua na maandalizi ya Simba na Yanga na akaiwahi iyo mechi iliyo chezwa Mwanza.

Alifanikiwa kufunga goli moja katika ushindi wa Yanga wa 2- 0 dhidi ya Simba.

Goli la pili alifunga Bakari Malima ambaye licha ya kucheza vizuri siku iyo pia alifanikiwa ku mdhibiti vizuri Dua Saidi ambaye alikua akiwafunga Yanga karibia mechi mbili mfululizo.

Katika Mechi ile ya Mwanza Malima alipelekwa acheze beki wa pembeni pembeni kutoka nafasi ya beki wa kati aliyo izoea ili ahakikishe Dua Saidi aleti madhara maana alikua aki isumbua sana Yanga na kufanya mashabiki wakose raha timu izo ziki kutana.

Bahati mbaya Dua Said akumaliza mechi baada ya kugongana na Bakari Malima wakati mechi ikiwa inaendelea.
Dua alikimbizwa Bugando kwa matibabu na alizinduka kutoka kwenye kupoteza fahamu usiku wa manane.

Kwasasa jamaa ni marafiki sana Kati ya Dua na Malima.

Lunyamila kwasasa naona anafanya shughulizake pale Airport kule Cargo marakwa mara uwa namuona kule.
Nadhani hii derby ndio iliniamulia nishabikie timu ipi,shuleni shule ya msingi saa 4 ilikuwa ushabiki wa simba na yanga ila mpaka kufikia hatua hii sikuwa na chaguo la timu hivyo kwenye hii derby nikasema timu itakayoshinda ndiyo itakuwa timu yangu ya maisha....dah mpaka leo na utu uzima wangu nimekuwa shabiki lia lia wa jangwani
 
Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.

Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.

Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Hata Victor Wanyama akiwa Spurs alicheza fainali ya UEFA dhidi ya Liverpool mwaka 2019, hivyo usiseme Nonda ndiye mchezaji pekee kutoka East Africa kucheza final za UCL
 
Bakari Malima alikwamishwa na baadhi ya viongozi wa soka la Bongo kupata Kibali (ITC) cha uhamisho wa kimataifa.
Ilikua rahisi kwao kwakua Vaar professional klabu ya South ilisha wakubali baada ya kuwaona katika mechi za mtoano ambapo vaar waliondolewa na Yanga.

Nonda alifanikiwa kwakua chama cha mpira cha Congo DR kilimsaidia maswala ya vibali.
Kwaiyo Bakari Malima aka kwama na Nonda kwakua vibali vyake vilikwenda kule South akapata nafasi ya kusajiliwa.
 
Pale ujeruman alikwenda kwa majaribio FC cologne na 1998 bado wachezaji weusi hawakuwa wengi.
Alifanya majaribio lakini walipendekeza arudi atafute ftness.
Sielewi nini kilitokea kwakua kipindi anarudi apa nyumbani kulikua na maandalizi ya Simba na Yanga na akaiwahi iyo mechi iliyo chezwa Mwanza.

Alifanikiwa kufunga goli moja katika ushindi wa Yanga wa 2- 0 dhidi ya Simba.

Goli la pili alifunga Bakari Malima ambaye licha ya kucheza vizuri siku iyo pia alifanikiwa ku mdhibiti vizuri Dua Saidi ambaye alikua akiwafunga Yanga karibia mechi mbili mfululizo.

Katika Mechi ile ya Mwanza Malima alipelekwa acheze beki wa pembeni pembeni kutoka nafasi ya beki wa kati aliyo izoea ili ahakikishe Dua Saidi aleti madhara maana alikua aki isumbua sana Yanga na kufanya mashabiki wakose raha timu izo ziki kutana.

Bahati mbaya Dua Said akumaliza mechi baada ya kugongana na Bakari Malima wakati mechi ikiwa inaendelea.
Dua alikimbizwa Bugando kwa matibabu na alizinduka kutoka kwenye kupoteza fahamu usiku wa manane.

Kwasasa jamaa ni marafiki sana Kati ya Dua na Malima.

Lunyamila kwasasa naona anafanya shughulizake pale Airport kule Cargo marakwa mara uwa namuona kule.
Ndio chakula kilimfelisha kapewa kisinia akashindwa hata nusu, wajerumani wakaona atatufia mazoezini
 
Fitness kweli? Kuna mambo huwa hayasemwi..

Hata huyu Ngasa nae wanasema fitness kipind alienda majaribio Westham

Kumbuka hawa jamaa walienda Ulaya wakiwa kwenye peak sana katika career yao ya mpira na huku nyumbani sifa za Simba na Yanga zinakufanya ubaki kileleni...

Ulaya ni slow, ni kama unaanza upya..., nidhamu za kutupa na bado huna jina wala namba..

Fikiria mtu anatoka Temeke, hajui mambo mengi , kweli akae ulaya aache Simba na Yanga..

Mpira wa Simba na Yanga una raha sana Ukiwa mchezaji mwenye jina...

Kaone ka Aziz had kamepata mke bongo ...

Nadhani ni zaid ya Fitness tunayoambiwa.... Nu ngumu sana ku adapt Ulaya kama umezoea hizi siasa za Simba na Yanga...

Hata Samatta angekuwa Simba na Yanga kwenye Peak yake asingekuwa Ulaya leo..... Kwa kusoma tu mwenendo wa hizi team na wachezaji wake.
Njaa kaka ndio haisemwi siku hiyo, kapewa msosi akashindwa na kurudi zetu temeke
 
Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.

Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.

Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Na wewe ukaamini vya kusemekana?
 
Na wewe ukaamini vya kusemekana?
Acha UTOTO fanya research utagundua??
..Napenda kujua umri wako pia??
..isije kua najibishana na MTOTO NINAE WEZA KUMKOJOA hiyo 1994

Pumbavu.

Kama nakumbuka vizuri kwa mara ya kwanza nimemsikia Edibily Jonas Lunyamila mwaka 1992 Stars ilipocheza na timu ya taifa ya Madagasca. Nakumbuka maelezo ya mtangazaji wa mchezo ukisema kwa msisimko Edibily Lunyamila ni hazina ya Taifa. Hakika matangazo ya redio yalisisimua zaidi kuliko hivi sasa tunatizama kwenye TV. Watangazaji wa redio Tanzania kipindi kile walikuwa balaa, na naamini bila redio Tanzania umaarufu wa Simba na Yanga usingekuwa mkubwa.
Kwa mechi chache nilizo mwona Lunyamila naweza kusema yeye ndiye mchezaji bora wa wakati wote hapa Tanzania. Miaka michache kabla hajastaafu aliwanyanyasa sana timu ya Taifa ya Ghana.
 
Bakari Malima alikwamishwa na baadhi ya viongozi wa soka la Bongo kupata Kibali (ITC) cha uhamisho wa kimataifa.
Ilikua rahisi kwao kwakua Vaar professional klabu ya South ilisha wakubali baada ya kuwaona katika mechi za mtoano ambapo vaar waliondolewa na Yanga.

Nonda alifanikiwa kwakua chama cha mpira cha Congo DR kilimsaidia maswala ya vibali.
Kwaiyo Bakari Malima aka kwama na Nonda kwakua vibali vyake vilikwenda kule South akapata nafasi ya kusajiliwa.
Point of correction.
Nonda shabani alipata ITC Burundi na akampa tags bakari malima... bakari malima akasema yeye hawezi ukana uraia wa TZ
NDIO IKA ISHA IVYOO
 
Acha UTOTO fanya research utagundua??
..Napenda kujua umri wako pia??
..isije kua najibishana na MTOTO NINAE WEZA KUMKOJOA hiyo 1994

Pumbavu.

We ‘94 ulikua na umri gani? Tuanzie hapo, mi mstaafu tayari na naijua hii nchi sawasawa hata huyo Lunya ni mtoto tu kwangu doctori! Mpira wa bongo nafuatilia tangu wa kina Gibson Sembuli sio huyu kijana na sijawahi ona tija yake zaidi ya kutumika kwa manufaa ya ccm! Siwezi kujibu tusi lako we Muulize tu baba yako mengine, nipo jf for entertainment sio kutukanana vitoto haramu!
 
Hao ni watoto waliozaliwa kwenye miaka ya tisini na hawawezi kuufahamu mpira wa nchi hii na hawajui kwamba huu mpira unaochezwa leo ni cha mtoto kabisa kwa ule mpira walioucheza akina Omar Zimbwe, Maulidi Dilunga, Gibson Sembuli, Abdallah Kibaden, Sunday Manara, Saad Ally nk.
 
Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.

Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.

Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Vall professional ya south Africa
 
Edibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...

Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...

Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...

He must be doing fine now at 52
Jembeulaya alikuwa Bakari Malima, sio Edibily.
 
Back
Top Bottom