granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
MZEE LIKUD ACHA UBISHI, JEMBE ULAYA NI BAKAR MALIMAWewe ndio urudishe kumbukumbu sawa, Lunyamila ndio jembe ulaya
MZEE LIKUD ACHA UBISHI, JEMBE ULAYA NI BAKAR MALIMAWewe ndio urudishe kumbukumbu sawa, Lunyamila ndio jembe ulaya
Jembe Ulaya ni LunyamilaMZEE LIKUD ACHA UBISHI, JEMBE ULAYA NI BAKAR MALIMA
Atakuwa anajuta sana kuzaliwa mapema kwa sasa angekuwa na utajiri mzuri tu
Yupo Mbezi Luis amejenga na anaishi hapo.Watu mnailuzwa lunyamila yuko wapi mnaleta mda zingine
Unaambiwa wakati Nonda Shaban yupo Ligi Kuu ya Ufaransa alihojiwa na Mtangazaji Mtanzania, Nonda alimuuliza Mtangazaji huyo kuwa Lunyamila yuko wapi kipindi hicho? Mtangazaji akamjibu amestaafu kucheza mpira. Nonda alishangaa sana, akamwambia Mtangazaji kuwa alipokuwa anacheza Yanga alitamani sana afikie kiwango alichokuwa nacho Lunyamila.mbona sunday manara kacheza zamani ila alifika mbali?
mbona nonda shaaban kacheza zamani ila alifika mbali?
ukweli ni kwamba Lunyamila alikuwa mchezaji wa show off, kwa jila lingine chenga twawala ila hakuwa mtu wa direct football kama Samatta ama Nonda shaaban.
ndio maana hakuifikisha yanga wala simba hata robo fainali tu ya caf champions league
"mpira una level ni kama ilivyo utajiri, Kuna tajiri wa mkoa, taifa na dunia" 🤝Mtu akicheza ulaya kwenye ligi nzuri muheshimu sana, huyo ni athlete wa Ukweli. Wazungu licha ya kipaji, physical fitness, football intelligence ni jambo kubwa sana kwao. Wale jamaa wa west afrika wanaokipiga ulaya ni watu wa kazi kweli. Angalia kipindi Sadio mane Yuko Liverpool, mtu mfupi tu lakini ametitia Yuko na speed, akili, physical fitness ya Hali ya juu mno na humtoi njiani kirahisi huku yule Idi nado ukimpuliza na mdomo kaanguka..mpira una level ni kama ilivyo utajiri, Kuna tajiri wa mkoa, taifa na dunia .
Bakari Malima ndio jembe Ulaya Lunya hakuwa na Nick name yeyote..Wewe ndio urudishe kumbukumbu sawa, Lunyamila ndio jembe ulaya
Mwisho wa career yake alisajiliwa SimbaHapo kwa "Jembe Ulaya" bila tone la shaka umemchanganya na Bakari Malima
Mariga hakufika final na Intermilan ?Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.
Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.
Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Ramadhan imetamatika, Bakar Malima, jembe ulaya.Wewe ndio urudishe kumbukumbu sawa, Lunyamila ndio jembe ulaya
Likud ulikua wapi Lunya akicheza mpira ukiona mtu anamkumbuka James Tungaraza,Godwin Aswile (Mrimba) au Twaha Hamidu na Nyigu mchezaji wa Simba chochote atakachoongea kuhusu kabumbu wewe piga makofi tu pana mtu alikua anaitwa Jumanne Bubu kutoka Tabora kitasa ya Yanga.Jembe Ulaya ni Lunyamila
Na maana ya Jembe Ulaya alipewa kama Trekta yaani anazoa kila kilicho mbele yake huyu ndugu yangu Likud anataka atubishie ambao tumeuishi mpira wa zamani..Ramadhan imetamatika, Bakar Malima, jembe ulaya.
Huyo Lunyamila alikuwa Jembe ulaya akiwa timu gani?
Kipindi kile vilabu vingi barani Afrika vilikuwa kiboko sio kama hivi vilabu vya sasa na ndio maana hata unaona hivi vilabu vya Tanzania eti vinatamba leo na hawa wachezaji wa kuokoteza.mbona sunday manara kacheza zamani ila alifika mbali?
mbona nonda shaaban kacheza zamani ila alifika mbali?
ukweli ni kwamba Lunyamila alikuwa mchezaji wa show off, kwa jila lingine chenga twawala ila hakuwa mtu wa direct football kama Samatta ama Nonda shaaban.
ndio maana hakuifikisha yanga wala simba hata robo fainali tu ya caf champions league
Wewe ni Muha?Wewe ndio urudishe kumbukumbu sawa, Lunyamila ndio jembe ulaya
Ndugu yake kimti huyoWewe ni Muha?
Alihojiwa na BBC swahili wakati Monaco imetoka kucheza Fainali ya Champions League ndo akasema hivyo, inasikitisha sana wachezaji wetu aaliokua na uwezo kupotea kwenye ramaniUnaambiwa wakati Nonda Shaban yupo Ligi Kuu ya Ufaransa alihojiwa na Mtangazaji Mtanzania, Nonda alimuuliza Mtangazaji huyo kuwa Lunyamila yuko wapi kipindi hicho? Mtangazaji akamjibu amestaafu kucheza mpira. Nonda alishangaa sana, akamwambia Mtangazaji kuwa alipokuwa anacheza Yanga alitamani sana afikie kiwango alichokuwa nacho Lunyamila.
Mariga alifika na alichukua kombe ila hakuvaa medali kutokana na kucheza mechi chache msimu huoMariga hakufika final na Intermilan ?