Nadhani hii derby ndio iliniamulia nishabikie timu ipi,shuleni shule ya msingi saa 4 ilikuwa ushabiki wa simba na yanga ila mpaka kufikia hatua hii sikuwa na chaguo la timu hivyo kwenye hii derby nikasema timu itakayoshinda ndiyo itakuwa timu yangu ya maisha....dah mpaka leo na utu uzima wangu nimekuwa shabiki lia lia wa jangwaniPale ujeruman alikwenda kwa majaribio FC cologne na 1998 bado wachezaji weusi hawakuwa wengi.
Alifanya majaribio lakini walipendekeza arudi atafute ftness.
Sielewi nini kilitokea kwakua kipindi anarudi apa nyumbani kulikua na maandalizi ya Simba na Yanga na akaiwahi iyo mechi iliyo chezwa Mwanza.
Alifanikiwa kufunga goli moja katika ushindi wa Yanga wa 2- 0 dhidi ya Simba.
Goli la pili alifunga Bakari Malima ambaye licha ya kucheza vizuri siku iyo pia alifanikiwa ku mdhibiti vizuri Dua Saidi ambaye alikua akiwafunga Yanga karibia mechi mbili mfululizo.
Katika Mechi ile ya Mwanza Malima alipelekwa acheze beki wa pembeni pembeni kutoka nafasi ya beki wa kati aliyo izoea ili ahakikishe Dua Saidi aleti madhara maana alikua aki isumbua sana Yanga na kufanya mashabiki wakose raha timu izo ziki kutana.
Bahati mbaya Dua Said akumaliza mechi baada ya kugongana na Bakari Malima wakati mechi ikiwa inaendelea.
Dua alikimbizwa Bugando kwa matibabu na alizinduka kutoka kwenye kupoteza fahamu usiku wa manane.
Kwasasa jamaa ni marafiki sana Kati ya Dua na Malima.
Lunyamila kwasasa naona anafanya shughulizake pale Airport kule Cargo marakwa mara uwa namuona kule.
Hata Victor Wanyama akiwa Spurs alicheza fainali ya UEFA dhidi ya Liverpool mwaka 2019, hivyo usiseme Nonda ndiye mchezaji pekee kutoka East Africa kucheza final za UCLBakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.
Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.
Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Ndio chakula kilimfelisha kapewa kisinia akashindwa hata nusu, wajerumani wakaona atatufia mazoeziniPale ujeruman alikwenda kwa majaribio FC cologne na 1998 bado wachezaji weusi hawakuwa wengi.
Alifanya majaribio lakini walipendekeza arudi atafute ftness.
Sielewi nini kilitokea kwakua kipindi anarudi apa nyumbani kulikua na maandalizi ya Simba na Yanga na akaiwahi iyo mechi iliyo chezwa Mwanza.
Alifanikiwa kufunga goli moja katika ushindi wa Yanga wa 2- 0 dhidi ya Simba.
Goli la pili alifunga Bakari Malima ambaye licha ya kucheza vizuri siku iyo pia alifanikiwa ku mdhibiti vizuri Dua Saidi ambaye alikua akiwafunga Yanga karibia mechi mbili mfululizo.
Katika Mechi ile ya Mwanza Malima alipelekwa acheze beki wa pembeni pembeni kutoka nafasi ya beki wa kati aliyo izoea ili ahakikishe Dua Saidi aleti madhara maana alikua aki isumbua sana Yanga na kufanya mashabiki wakose raha timu izo ziki kutana.
Bahati mbaya Dua Said akumaliza mechi baada ya kugongana na Bakari Malima wakati mechi ikiwa inaendelea.
Dua alikimbizwa Bugando kwa matibabu na alizinduka kutoka kwenye kupoteza fahamu usiku wa manane.
Kwasasa jamaa ni marafiki sana Kati ya Dua na Malima.
Lunyamila kwasasa naona anafanya shughulizake pale Airport kule Cargo marakwa mara uwa namuona kule.
Njaa kaka ndio haisemwi siku hiyo, kapewa msosi akashindwa na kurudi zetu temekeFitness kweli? Kuna mambo huwa hayasemwi..
Hata huyu Ngasa nae wanasema fitness kipind alienda majaribio Westham
Kumbuka hawa jamaa walienda Ulaya wakiwa kwenye peak sana katika career yao ya mpira na huku nyumbani sifa za Simba na Yanga zinakufanya ubaki kileleni...
Ulaya ni slow, ni kama unaanza upya..., nidhamu za kutupa na bado huna jina wala namba..
Fikiria mtu anatoka Temeke, hajui mambo mengi , kweli akae ulaya aache Simba na Yanga..
Mpira wa Simba na Yanga una raha sana Ukiwa mchezaji mwenye jina...
Kaone ka Aziz had kamepata mke bongo ...
Nadhani ni zaid ya Fitness tunayoambiwa.... Nu ngumu sana ku adapt Ulaya kama umezoea hizi siasa za Simba na Yanga...
Hata Samatta angekuwa Simba na Yanga kwenye Peak yake asingekuwa Ulaya leo..... Kwa kusoma tu mwenendo wa hizi team na wachezaji wake.
Na wewe ukaamini vya kusemekana?Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.
Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.
Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Acha UTOTO fanya research utagundua??Na wewe ukaamini vya kusemekana?
Lunyamila yupo DAR shughulizake anafanyia Airport ya DAR upande wa Cargo.Watu mnailuzwa lunyamila yuko wapi mnaleta mda zingine
Niyeye mwenyew tu mfano kwakipind hiko hata kama mpira haulipi vizur ila sio pesa yakushindwa kua namijengo mjin darslama mana hata viwanja vilikua cheeeeAtakuwa anajuta sana kuzaliwa mapema kwa sasa angekuwa na utajiri mzuri tu
Point of correction.Bakari Malima alikwamishwa na baadhi ya viongozi wa soka la Bongo kupata Kibali (ITC) cha uhamisho wa kimataifa.
Ilikua rahisi kwao kwakua Vaar professional klabu ya South ilisha wakubali baada ya kuwaona katika mechi za mtoano ambapo vaar waliondolewa na Yanga.
Nonda alifanikiwa kwakua chama cha mpira cha Congo DR kilimsaidia maswala ya vibali.
Kwaiyo Bakari Malima aka kwama na Nonda kwakua vibali vyake vilikwenda kule South akapata nafasi ya kusajiliwa.
Sawa.Hata Victor Wanyama akiwa Spurs alicheza fainali ya UEFA dhidi ya Liverpool mwaka 2019, hivyo usiseme Nonda ndiye mchezaji pekee kutoka East Africa kucheza final za UCL
We ‘94 ulikua na umri gani? Tuanzie hapo, mi mstaafu tayari na naijua hii nchi sawasawa hata huyo Lunya ni mtoto tu kwangu doctori! Mpira wa bongo nafuatilia tangu wa kina Gibson Sembuli sio huyu kijana na sijawahi ona tija yake zaidi ya kutumika kwa manufaa ya ccm! Siwezi kujibu tusi lako we Muulize tu baba yako mengine, nipo jf for entertainment sio kutukanana vitoto haramu!Acha UTOTO fanya research utagundua??
..Napenda kujua umri wako pia??
..isije kua najibishana na MTOTO NINAE WEZA KUMKOJOA hiyo 1994
Pumbavu.
Shabani Christophe Nonda Na miaka 15 ya hasara Yanga
Na Saleh Ally Tayari mshambuliaji Nonda Christophe Nonda ameamua kustaafu soka, sasa anaendelea na maisha mengine, mfano suala la uhamasishaji wa amani katika sehemu mbalimbali duniani. Yanga ambayo ndiyo chachu ya Nonda kuanza kupata mafanikio, imekuwa ikiumia na majeraha makubwa ambayo dawa...www.jamiiforums.com
Hao ni watoto waliozaliwa kwenye miaka ya tisini na hawawezi kuufahamu mpira wa nchi hii na hawajui kwamba huu mpira unaochezwa leo ni cha mtoto kabisa kwa ule mpira walioucheza akina Omar Zimbwe, Maulidi Dilunga, Gibson Sembuli, Abdallah Kibaden, Sunday Manara, Saad Ally nk.We ‘94 ulikua na umri gani? Tuanzie hapo, mi mstaafu tayari na naijua hii nchi sawasawa hata huyo Lunya ni mtoto tu kwangu doctori! Mpira wa bongo nafuatilia tangu wa kina Gibson Sembuli sio huyu kijana na sijawahi ona tija yake zaidi ya kutumika kwa manufaa ya ccm! Siwezi kujibu tusi lako we Muulize tu baba yako mengine, nipo jf for entertainment sio kutukanana vitoto haramu!
Vall professional ya south AfricaBakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.
Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.
Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Jembeulaya alikuwa Bakari Malima, sio Edibily.Edibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...
Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...
Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...
He must be doing fine now at 52
Alipata nafasi ya kufanya majaribio nje akafeli.Atakuwa anajuta sana kuzaliwa mapema kwa sasa angekuwa na utajiri mzuri tu