Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Jembe Ulaya alikua beki ndugu yangu sio Lunyamila rudisha kumbukumbu sawa Legend mwenzangu.Edibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...
Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...
Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...
He must be doing fine now at 52
Jembe ulaya siyo Lunyamila[emoji23][emoji23][emoji23]Edibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...
Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...
Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...
He must be doing fine now at 52
Wabongo tumezidi kulala asee!Bakari malima alikua na urafiki mkubwa na Papii nonda Shaban alie kiwasha Monaco ya ufaransa mpaka kucheza final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2004 Kati ya FC PORTO ya morinho VS MONACO ya ufaransa.
Inasemwa bakari malima na nonda Shaban walienda south afrika kwenye majaribio wakapata timu ya kucheza Sasa wakapata timu ulaya ikabidi waje kufuatilia vibali vya kucheza nje ya NCHI wakanyimwa vibali na FAT so nonda Shaban yeye akaenda Burundi akapata vibali akamwambia bakari malima na yeye afanye shortcut achukue vibali kutoka Burundi.... bakari malima akagoma KUUKANA URAIA WA TANZANIA.
Bakari malima akabaki bongo mwenzake akafanya the hard way kukipiga timu KADHAA mpaka Monaco ndio anabakia kua mchezaji pekee wa afrika mashariki kuweza kufikia level ya kufika na timu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na kumaliza wakiwa nafasi ya pili.
Acha kudanganya watoto humu, Jembe ulaya ni Bakar Malima. Beki huyo.Edibily Jonas Lunyamila Jembeulaya...
Mtu na nusu.. Alipomaliza yanga 2002 akaenda Simba 2003 then akatundika Daliga 2004...
Kipindi hicho mpira wa miguu haulipi zaidi ya sifa za mtaani...
He must be doing fine now at 52
Hawa jamaa michosho sana, wakati wengine wanakilpiga ulaya Mohammed Hussein mmachinga na huyu Edibily Lunyamila wakasajiliwa na mbagala market! Walikuwa wakija jioni pale uwanja wa mkwakwani kwenye stand ya Scandinavian bus wanamsubiri tajiri toka Muheza. Akifika anawanunulia bia mbilimbili anawalipia. Akiondoka wanamuuzia barmaid zile bia anawapa mia nane kila bia wanaondoka.Hapo kwa mchezaji pekee wa afrika mashariki nafikiri kun hitilafu kidogo. Kuna jamaa wa kenya alikuwepo kwenye ile inter milan ya mourinho ambayo ilichukua uefa champions league.
Sema shaban nonda alicheza karata ya kibabe sana hapo
😂😂😂😂😂Kule Ujerumani alipewa test ya kula tu akafeli! Alizoea chipsi dume za bongo kafika kapewa menu hata nusu hakumaliza wazungu wakaona kumchezesha mtu na njaa hata km ana kipaji ni dhambi na non professional akarudishwa temeke kwetu!
Hivi hii game ilikua shamba la bibi au kaitaba?..lunyamila alishangilia kwa kucheza muziki wa kikongoKuna kipindi Kulikua na kutoelewana kati ya Lunyamila na Kocha wa timu ya Taifa wakati ule Zakalia Kinanda mpaka leo sijajua sababu ilikua nini.
Ilipoitwa timu ya Taifa Lunyamila hakujumuishwa, wanahabari na wadau walipo hoji kocha Zakalia akaasema Lunyamila ninmchezaji wa kawaida na Wachezaji wengine walioitwa timu ya Taifa wataziba nafasi yake.
Kinanda alikua pia akifundisha RTC kagera Bahati nzuri au Mbaya katika kipindi ichoicho cha mgogoro wakakutana kati ya Yanga na RTC Kagera pale Shamba la Bibi.
Ile Mechi ilikua kama vita kati ya kocha wa STARS Zakalia kinanda na Eddibily Jonas Lunyamila.
Siku ile Lunyamila aliwafunga RTC kagera goli 6 katika ushindi wa Yanga wa Goli 8 bila dhidi ya RTC kagera.
Yaani aliondoka na HAT TRICk mbili katika mechi moja.
Unaweza kupata picha alikua ni mchezaji wa aina gani ukichukulia alikua ni Winga wa kushoto na Si namba tisa au kumi.
Dua hakugongana na malima bali malima alimtwanga kipepsiPale ujeruman alikwenda kwa majaribio FC cologne na 1998 bado wachezaji weusi hawakuwa wengi.
Alifanya majaribio lakini walipendekeza arudi atafute ftness.
Sielewi nini kilitokea kwakua kipindi anarudi apa nyumbani kulikua na maandalizi ya Simba na Yanga na akaiwahi iyo mechi iliyo chezwa Mwanza.
Alifanikiwa kufunga goli moja katika ushindi wa Yanga wa 2- 0 dhidi ya Simba.
Goli la pili alifunga Bakari Malima ambaye licha ya kucheza vizuri siku iyo pia alifanikiwa ku mdhibiti vizuri Dua Saidi ambaye alikua akiwafunga Yanga karibia mechi mbili mfululizo.
Katika Mechi ile ya Mwanza Malima alipelekwa acheze beki wa pembeni pembeni kutoka nafasi ya beki wa kati aliyo izoea ili ahakikishe Dua Saidi aleti madhara maana alikua aki isumbua sana Yanga na kufanya mashabiki wakose raha timu izo ziki kutana.
Bahati mbaya Dua Said akumaliza mechi baada ya kugongana na Bakari Malima wakati mechi ikiwa inaendelea.
Dua alikimbizwa Bugando kwa matibabu na alizinduka kutoka kwenye kupoteza fahamu usiku wa manane.
Kwasasa jamaa ni marafiki sana Kati ya Dua na Malima.
Lunyamila kwasasa naona anafanya shughulizake pale Airport kule Cargo marakwa mara uwa namuona kule.
Source : Kijiwe Cha Draft Kurasini.Kule Ujerumani alipewa test ya kula tu akafeli! Alizoea chipsi dume za bongo kafika kapewa menu hata nusu hakumaliza wazungu wakaona kumchezesha mtu na njaa hata km ana kipaji ni dhambi na non professional akarudishwa temeke kwetu!
Wewe na we kavu kweli.... huoni kama mtu kashajibu hapo muda mrefu kwamba yupo Airport.... Au unataka thread nzima kila post mtu ajibu yupo airport, yupo airport, yupo airport, yupo airport, yupo airport... hapo ndo ungefurahi au sio...Watu mnailuzwa lunyamila yuko wapi mnaleta mda zingine
Nisharekebisha mkuuAcha kudanganya watoto humu, Jembe ulaya ni Bakar Malima. Beki huyo.
Ila alienda ujerumani ikasemekana alikuwa na mbio mpaka akawa anaacha mpira nyuma.Akashindwa majaribio.Maisha hayaendi reverse yanaenda yakiisha..
Hana cha kujuta, maana kikubwa uhai... Anaweza wekeza kwa generation yake na ikafanikiwa zaidi kwenye soka na kwenye maisha...
Alikuwa na bahati sana pia kucheza timu kubwa hizi kwa kipindi cha giza, wapo waliokuwa na vipaji waliishia njiani...
Lunyamila alikuwa Winga, Bakari Malima ndio aliitwa Jembe Ulaya.Jembe Ulaya alikua beki ndugu yangu sio Lunyamila rudisha kumbukumbu sawa Legend mwenzangu.
Duh.!Hawa jamaa michosho sana, wakati wengine wanakilpiga ulaya Mohammed Hussein mmachinga na huyu Edibily Lunyamila wakasajiliwa na mbagala market! Walikuwa wakija jioni pale uwanja wa mkwakwani kwenye stand ya Scandinavian bus wanamsubiri tajiri toka Muheza. Akifika anawanunulia bia mbilimbili anawalipia. Akiondoka wanamuuzia barmaid zile bia anawapa mia nane kila bia wanaondoka.
Nilikuwa nawahurumia sana ila wao walikuwa hawanijui!
Waliisha vibaya sana.
Wewe ndio urudishe kumbukumbu sawa, Lunyamila ndio jembe ulayaJembe Ulaya alikua beki ndugu yangu sio Lunyamila rudisha kumbukumbu sawa Legend mwenzangu.
hata mm nimeshangaa mkuu maana mpaka kufika coment yako kuna mwamba 1 tu kasema yupo airport cargo ila baada ya kuongelea mambo mengine meeengiWatu mnailuzwa lunyamila yuko wapi mnaleta mda zingine