nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Duh noma sana. Kilikuwa kipindi kibaya kuliko kipindi Cha ukoloniAkizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.
Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.
Chanzo: MwanaHalisi
Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app