Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Hivi matokeo ya shule za wazazi za sekondari anazozisimamia yakoje?
 
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Najua kinachomuuma ni ile kampuni yake....ila yote maisha...
Ila wakati mwingine JPM sijui alikuwa anawaza nini?...
Naona alivurugwa sana....
 
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
🤣🤣
 
Watetea legacy ni wananchi wa kawaida huko kwa Ground!! Wala haikuwa viongozi ndio watetea legacy !! Nenda kwa ground utawakuta watetea legacy wamejaa kama kawaida na huwaambii chochote kuhusu yule jamaa !!
 
Vijana wa UVCCM msikilizeni kwa makini mzee wenu, anazungumza kiutu uzima. Sisi vijana inabidi tumsikilize kwa umakini bila kujali vyama.

16 June 2022

Edmund Mndolwa : " Kunapo shida basi Mungu huingilia na kutenda yake"

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI EDMUND MNDOLWA AKIONGEA NA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UMOJA WA WAZAZI
 
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Narudia kusema. Wewe dada. Kaka unaishi Nchi. Gani. Mimi naishi nje na Wiki iliyopita tu nilimaliza likizo yangu. Watu wanamkumbuka JPM sana kwa mema tu. That’s legacy.

Na Hata Wale waliokula za uso wanasema wakicheka kwamba daaa jamaa alikuwa mwanamume. That’s Legacy. Nazungumzia kwa mtu wa kawaida na mazungumzo Pia. Sasa Ni zamu ya Mama yetu mpendwaaa. Tumwachie afanye yake.

Sasa turudi kwa Bwana Mndolwa. Why azungumzie mambo ya marehemu na tena Hakuna uongozi uliobadilka huko juu. So wewe mwanachadema uko radhi kumkumbatia kinana, Mndolwa kisa wako against marehemu. It’s that not love. Au wewe unadhani dalili za Love- hate relationship Ikoje. Punguzeni mahaba na marehemu. Watu Hai wapo na wanahitaji hayo mahaba.

Lakini kwa CCM Hii kama wallikalia misumari jiulize Kwanini na je Sasa wanakalia Sofa kwa Standard gani ya maisha ya Mtanzania?

Mimi ni mmojawapo nilimpennda Waziri na Rais Magufuli hasa Kwa uzalendo Wake na hasa katika kazi. He was a non nonsense person.
 
Back
Top Bottom