Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Kwa hiyo ana makovi ya matundu ya mosumari?.
Ni kweli mwanamme mmoja alotunyamazisha kiasi hicho?
Ila kinyume chake kanyamaza yeye milele na kabakia chakula cha funza huko Chato, sisi bado tunadunda. Endelea kuoza Magufuli
 
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ni kweli kauli hizi hUwa zinatolewa na mtu ambaye hawezi kuwa na marinda. Ukizingatia msumari ulikuwa size ya center bolt
 
Na wewe unaona kweli?

2025 utajua hujui. Ndio maana sasa kila anae simama anajaribu kuchafua lakini Umma wa TZ haujasahau mzee.

Ikipotea wala hautasikia wa kuponda wala kusifia.

Bado iko Imara
Sema umma wa nyumbani kwako ndiyo haujamsahau mungu wenu Magufuli. Usituhusishe sisi na huyo shetani
 
ccm bwana !.kwa hiyo asili ya unafiki ilianza kwenu.kesho mtasema mama naye aliwaenyesha
 
Duh noma sana. Kilikuwa kipindi kibaya kuliko kipindi Cha ukoltutaaminine

Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Tutaaminije ukizingatia wewe ni mwanahabari wa bwana naniliu wa makesi Kila siku. Tupia video au audio clip
 
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ni bogus Sana pamoja na kuwa na PhD ya uchumi, Ni moja ya wasomi wa hovyo Sana kuwahi kuwa nao.
Zaidi ya nusu ya shule za Wazazi zimekufa katika uongozi wake pamoja na kupewa offer na Maguful kwamba azitoe serikalini apewe fedha ya kuboresha baadhi ya shule na kuanza miradi yenye tija yeye aliamua kuzifanya vituo vya kufuga nyuki! (Pathetic).

Nadhani huo msumari aliokuwa kaukalia ndio umemfanya kuwa useless. Aseme miaka aliyokaa WAzazi, kasaidia Nini na PhD yake?!
 
Mleta mada leta ushahidi vinginevyo huu ni uharo kama kawaida yenu watu wa karibu na makaburi ya kinondoni
 
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kila siku nawaambia humu ndani Kwamba hakuna mtu mwenye akili timamu aloweza Muelewa yule Mwendazake,unahitaji uwe kichaa kuelewa alichokuwa anasimamia kwenye uchumi..

Wajinga na mburula walishangilia kama walivyomshangilia Mugabe, mwisho wa siku kilichotokea wanakojua na walioumia ni hao hao mburula.Wenye uwezo walikombia Nchi.
 
Sema umma wa nyumbani kwako ndiyo haujamsahau mungu wenu Magufuli. Usituhusishe sisi na huyo shetani
Kwani umelazimushwa kumtaja? Inainesha namna gani unamkumbuka. Mengine ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom