Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Duh noma sana. Kilikuwa kipindi kibaya kuliko kipindi Cha ukoloni
 
Ni ujinga wa watanzania karibu wote, mtu mmoja anafanya anavyotaka yaani tuna umia nchi nzima sababu ya mtu mmoja! hovyo sn
 
wengi mkuu wanaishi jana na kujipendekeza wanaamini wakiuzima mshumaa wa mwingine wakwao utawaka vizuri. tumetumia pesa nyingi sana kuwasomesha wajinga lakini ujinga haukuondoka!
Tena ndiyo wanazidi kuwa wajinga
 
Hata Hitler alikuwanao waliomuona ndiye mungu wao.
 
Na wewe unaona kweli?

2025 utajua hujui. Ndio maana sasa kila anae simama anajaribu kuchafua lakini Umma wa TZ haujasahau mzee.

Ikipotea wala hautasikia wa kuponda wala kusifia.

Bado iko Imara
Atakuja kugombea tena?
 
Watetea legacy, pale chato bado Kuna nafasi, nendeni mkazikwe naye, shamba bado kubwa sana
 
Nenda Chato ukazikwe naye, ukitaka ubebwe kwenye kiroli Cha jeshi na bendera ya taifa, tutakufunika na kukutembeza mitaa yote kwa gharama zako
 
Nenda kazikwe naye, legacy ya hovyo kabisa ndio inakuhangaisha? Jamaa ameshaoza,
 
Ndugu Erythrocyte!!!

Kwa UFAHAMU wangu, Hadi sasa CHADEMA hawautambui wa uchaguzi wa 2020 uliomuweka madarakani Magu.

Pia Juzi Lissu makamu mkt ameweka msimamo wa kutopeleka wabunge Bungeni hata kama COVID watatimuliwa,

Kwa Maana nyingine Hadi sasa CDM kama chama haiutambui Uongozi wa Awamu ya 6 pia.

Swali langu kwako ni;

Wewe kama mwakilishi wa CDM jamvini umepata wapi AUTHORITY ya kuripoti na kutetea hoja za Chama Cha Mapinduzi kinyume na viongozi wako wa Juu?

Kama Kweli we Si NYUMBU nakutaka ujiuzulu haraka.
 
Muasisi wa kutukana wastaafu alikua Magufuli,Mara aseme wanawashwa washwa.Sasa acha legacy yake ya kutukana wastaafu iendelezwe.
 
Nina wasiwasi umesharambishwa ASALI,

Badala ya kuripoti HARAKATI za CDM Hadi sasa chama kimeongeza matawi mangapi vijijini kujenga chama,

Leo unatuletea hoja na kauli ya mwana CCM tujadili?

Shame on you.
 
Mazombie ya chattle yatakuja kutetea legacy wakiongozwa na Etwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…