Kweli tena wengine waalishiriki kikamilifu kuyatenda yale maovu. Leo wanambebesha kila kitu yeye kwa kuwa hayupo.Haya manafiki machawi ya CCM si ya kuyasikiliza.
Ni kweli uongozi wa awamu ya 5 haukuwa uongozi bali utawala wa kibabe,lakini kuja kulisema leo kwa mwana CCM ambaye hakuweza hata kuonyesha kutokukubaliana na matendo ya utawala huo ni unafiki wa kishetani kama ushetani wa huyo anayesemwa.
Hapa alikua amelikoka haswaaa!
Ndio maana watu wengine wanasema kuna unafiki mkubwa ktk Chama cha Mapinduzi. Huyu alikuwa samahangilia na kumsifia sana hayati Magufuli, leo maneno ndio hayaAkizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.
Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.
Chanzo: MwanaHalisi
Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?
MaCCM ni ya hovyo sana ndugu.Kweli tena wengine waalishiriki kikamilifu kuyatenda yale maovu. Leo wanambebesha kila kitu yeye kwa kuwa hayupo.
HahaaaMaCCM ni ya hovyo sana ndugu.
Kuna shemeji yangu ni mwenyekiti wa CCM mkoa fulani,alikuwa anasifia kila alichokuwa anafanya JPM,leo eti naye ndiye wa kwanza kumpiga madongo kuwa jamaa hakuwa na ubinadamu kabisa wala uwezo!!!
Manafiki wakubwa sana kiwango cha shetani hawa.
Ndo maana hukusoma!! wapi uliona vision ya kuangalia nyuma??hawana vision
Kwani mwenyekiti ndiye anakata majina ya wagombea? Ndio akamweka Tale tale[emoji1787][emoji1787]
Jinga wewe!! Nyoka akiingia ndani unakimbia Nyumba yako?? ni kumkabili tu hakuna dawa nyepesi!! ange muua vipi jiwe wkt hayuko ulingoni na huyo shetani??Alipoona amekalia misumari angejiuzulu
Kwa staili hiyo lazima amchukie kwakua maslahi yameguswa.Toka mtoto wake akatwe Ubunge kule Korogwe na JPM kwa issue ya ufisadi huyu mzee hana hamu na JPM. Yaani mzee aliamini mtoto angepita kabisa
Sijaelewa.Ndo maana hukusoma!! wapi uliona vision ya kuangalia nyuma??
Mmmhhhh.. acha kulazimisha mambo. Kila kitu kinajieleza. Hatumupuuzi Kikwete kwenye hili lakini jitahidi kupunguza chuki.MIUNDO MBINU MINGI ILIJENGWA NA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE (MABARABARA) wakati huo akiita barabara ndio artery za nchi, Sijui mnakumbuka hili.
Mimi ni kiongozi kama yeye?Mbina wewe pia hapa hutoi vision wala siasa za maendeleo badala yake unamsema vibaya Edmund Mndolwa?
Mndolwa alikuwa akitoa dukuduku lake kama ufanyavyo wewe hapa.
Yule baba alikuwa shetani halisi
Mabarabara mengi makubwa yalijengwa na Kikwete kwa project zake nyingi za "MILLENIAL CHALLENGES" acheni kujitoa ufahamu.Mmmhhhh.. acha kulazimisha mambo. Kila kitu kinajieleza. Hatumupuuzi Kikwete kwenye hili lakini jitahidi kupunguza chuki.
Naamini hata Edmund hakuishia kuyasema mapungufu ya Magufuli tu kwenye kikao kizima. Kwa vyovyote vile alitoa vision.Mimi ni kiongozi kama yeye?
Mimi namsahihisha yeye. Nilimaliza narudi kwenye eneo langu naanza kutoa vision.
Nakubaliana na wewe kabisa huyu anayesema hivi Leo ukibahatika kuyasikia aliyoyanene wakati hayati Dr.Magufuli hai unaweza kulia.
Sio yeye aliyekuwa na power hizo bali katiba mbovu. Katiba hii hata mwendawazimu akiingia pale anaweza kutenda chochote na hakuna cha kumfanya.
Anayepinga katiba mpya sasa hana akili kabisa.