Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Haya manafiki machawi ya CCM si ya kuyasikiliza.
Ni kweli uongozi wa awamu ya 5 haukuwa uongozi bali utawala wa kibabe,lakini kuja kulisema leo kwa mwana CCM ambaye hakuweza hata kuonyesha kutokukubaliana na matendo ya utawala huo ni unafiki wa kishetani kama ushetani wa huyo anayesemwa.
Kweli tena wengine waalishiriki kikamilifu kuyatenda yale maovu. Leo wanambebesha kila kitu yeye kwa kuwa hayupo.
 
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora.

Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

Chanzo: MwanaHalisi

Swali: Je, wale watetea Legacy bado wangalipo?
Ndio maana watu wengine wanasema kuna unafiki mkubwa ktk Chama cha Mapinduzi. Huyu alikuwa samahangilia na kumsifia sana hayati Magufuli, leo maneno ndio haya
 
Kweli tena wengine waalishiriki kikamilifu kuyatenda yale maovu. Leo wanambebesha kila kitu yeye kwa kuwa hayupo.
MaCCM ni ya hovyo sana ndugu.
Kuna shemeji yangu ni mwenyekiti wa CCM mkoa fulani,alikuwa anasifia kila alichokuwa anafanya JPM,leo eti naye ndiye wa kwanza kumpiga madongo kuwa jamaa hakuwa na ubinadamu kabisa wala uwezo!!!

Manafiki wakubwa sana kiwango cha shetani hawa.
 
MaCCM ni ya hovyo sana ndugu.
Kuna shemeji yangu ni mwenyekiti wa CCM mkoa fulani,alikuwa anasifia kila alichokuwa anafanya JPM,leo eti naye ndiye wa kwanza kumpiga madongo kuwa jamaa hakuwa na ubinadamu kabisa wala uwezo!!!

Manafiki wakubwa sana kiwango cha shetani hawa.
Hahaaa
 
ndio maana ya Bunge la wawakilishi

jamii yote lazima ipate wawakilishi

mbona kwny kulipa kodi wote wanalipa ?
Kwani mwenyekiti ndiye anakata majina ya wagombea? Ndio akamweka Tale tale[emoji1787][emoji1787]
 
Alipoona amekalia misumari angejiuzulu
Jinga wewe!! Nyoka akiingia ndani unakimbia Nyumba yako?? ni kumkabili tu hakuna dawa nyepesi!! ange muua vipi jiwe wkt hayuko ulingoni na huyo shetani??

kulikamata lishetani inataka timing! ivo suala ni kuingia ndani ya ulingo linapo pigania ni lazima! ili ni ulijue barabara!! ulikwepe! ukamate mbinu zake ili siku ikifika uliondoe bila kusita!!unalikata kichwa! km kile cha idd Amin!..

jamaa hakuwa muoga safi sana alivyo fanya!! alikaa na adui yake akamshinda wewe ndo huna akili ulitaka akimbie Mapambano ili iweje?? jiwe lingekuwepo mpaka leo! linaendeleza chato! yaya uchoyo kimataifa!
 
Toka mtoto wake akatwe Ubunge kule Korogwe na JPM kwa issue ya ufisadi huyu mzee hana hamu na JPM. Yaani mzee aliamini mtoto angepita kabisa
Kwa staili hiyo lazima amchukie kwakua maslahi yameguswa.
 
Kama aliweza kulazishwa na akalazimika bila kujiondoa / kupinga tutajuaje kama sasa hivi hajalazimika kusema asemayo kwa kupewa peremende ?
 
MIUNDO MBINU MINGI ILIJENGWA NA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE (MABARABARA) wakati huo akiita barabara ndio artery za nchi, Sijui mnakumbuka hili.
Mmmhhhh.. acha kulazimisha mambo. Kila kitu kinajieleza. Hatumupuuzi Kikwete kwenye hili lakini jitahidi kupunguza chuki.
 
Mbina wewe pia hapa hutoi vision wala siasa za maendeleo badala yake unamsema vibaya Edmund Mndolwa?

Mndolwa alikuwa akitoa dukuduku lake kama ufanyavyo wewe hapa.

Yule baba alikuwa shetani halisi
Mimi ni kiongozi kama yeye?

Mimi namsahihisha yeye. Nilimaliza narudi kwenye eneo langu naanza kutoa vision.
 
Awamu ya Wazalendo wa Chato 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220716-204427.png
    Screenshot_20220716-204427.png
    120.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220716-114415.png
    Screenshot_20220716-114415.png
    105.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220716-114542.png
    Screenshot_20220716-114542.png
    98.4 KB · Views: 5
Mndolwa ni mpuuzi mmoja wa wale waliofaidika na utawala holela au dhaifu wa awamu ya nne. Hata kama JPm alikuwa mbaya ilikuwa Sawa kabisa kuwanyoosha Hawa mbwa wasio rizika.
 
Mmmhhhh.. acha kulazimisha mambo. Kila kitu kinajieleza. Hatumupuuzi Kikwete kwenye hili lakini jitahidi kupunguza chuki.
Mabarabara mengi makubwa yalijengwa na Kikwete kwa project zake nyingi za "MILLENIAL CHALLENGES" acheni kujitoa ufahamu.
 
Mimi ni kiongozi kama yeye?

Mimi namsahihisha yeye. Nilimaliza narudi kwenye eneo langu naanza kutoa vision.
Naamini hata Edmund hakuishia kuyasema mapungufu ya Magufuli tu kwenye kikao kizima. Kwa vyovyote vile alitoa vision.

Ila wakuda wakachukua kipande cha dukuduku lake tu wakaacha vision zake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakubaliana na wewe kabisa huyu anayesema hivi Leo ukibahatika kuyasikia aliyoyanene wakati hayati Dr.Magufuli hai unaweza kulia.
 
Hakika, tunahitaji Katiba mpya.
Sio yeye aliyekuwa na power hizo bali katiba mbovu. Katiba hii hata mwendawazimu akiingia pale anaweza kutenda chochote na hakuna cha kumfanya.
Anayepinga katiba mpya sasa hana akili kabisa.
 
Back
Top Bottom