Kweli tena wengine waalishiriki kikamilifu kuyatenda yale maovu. Leo wanambebesha kila kitu yeye kwa kuwa hayupo.Haya manafiki machawi ya CCM si ya kuyasikiliza.
Ni kweli uongozi wa awamu ya 5 haukuwa uongozi bali utawala wa kibabe,lakini kuja kulisema leo kwa mwana CCM ambaye hakuweza hata kuonyesha kutokukubaliana na matendo ya utawala huo ni unafiki wa kishetani kama ushetani wa huyo anayesemwa.