Msiwe na jazba, kwanza kilabu ni Mwamedi sio yenu na kiukweli, Platnumz ni brand kubwa kuliko 5imba Koko.
Ameianzisha lini Simba SC huyo Mwamedi?Msiwe na jazba, kwanza kilabu ni Mwamedi sio yenu na kiukweli, Platnumz ni brand kubwa kuliko 5imba Koko.
Hata angechukua au kuimiliki Mo kwa 100% bado hiyo Ni club ya washabiki wa Simba, sitabadilika.Msiwe na jazba, kwanza kilabu ni Mwamedi sio yenu na kiukweli, Platnumz ni brand kubwa kuliko 5imba Koko.
Kwa hiyo we unalinganisha PEPSI na juice za ukwaju?Ameianzisha lini Simba SC huyo Mwamedi?
Diamond ni fan wa Simba brand yake ni kubwa kwa sababu ya parimatch? Simba ina sportpesa.
Brand yake ni kubwa kwa sababu ya Pepsi? Simba ina Mo chungwa
What else?
Hata Arsenal na Madrid zina mashabiki, hapa nazungumzia umiliki. Mwamedi ndio mwenye timuHata angechukua au kuimiliki Mo kwa 100% bado hiyo Ni club ya washabiki wa Simba, sitabadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo we unalinganisha PEPSI na juice za ukwaju?
Mo amesema 5imba ni mke yake, wewe ni nani hadi ubishe?
Tunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwaUdhamini anaopata Diamond kutoka hayo makampuni ni kiasi gani na simba udhamini wao ni kiasi gani ndo ujue unalinganisha mbingu na ardhi
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧