Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Mda huu wakiendelea na uchambuzi kupitia Redio ya Wasafi Fm katika kipindi cha Sports Arena

Edo Kumwembe amesema kwamba Msanii Diamond ni brand kubwa kuliko Club ya Soka ya Simba kwa udhamini kutoka kwa makampuni mengi kama;

1. Parimatch
2. Nice one
3. Coral color
4. Pepsi

Hivi kweli kwenye brand unaweza kufananisha club na msanii?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Msiwe na jazba, kwanza kilabu ni Mwamedi sio yenu na kiukweli, Platnumz ni brand kubwa kuliko 5imba Koko.
Ameianzisha lini Simba SC huyo Mwamedi?
Diamond ni fan wa Simba brand yake ni kubwa kwa sababu ya parimatch? Simba ina sportpesa.

Brand yake ni kubwa kwa sababu ya Pepsi? Simba ina Mo chungwa
What else?
 
Ameianzisha lini Simba SC huyo Mwamedi?
Diamond ni fan wa Simba brand yake ni kubwa kwa sababu ya parimatch? Simba ina sportpesa.

Brand yake ni kubwa kwa sababu ya Pepsi? Simba ina Mo chungwa
What else?
Kwa hiyo we unalinganisha PEPSI na juice za ukwaju?

Mo amesema 5imba ni mke yake, wewe ni nani hadi ubishe?
 
Ana ka ulimbukeni fulani cha kuiga iga majina ya watu (kama dangote) na hiyo simba . Angekomaa kuikuza hiyo diamond ambayo dunia nzima imeshamtambua , sasa akiamza kuiga majina ama kuwa na majina meeengi hata ID yake haitakuwa na wala haitajulikana kwa maana atawachanganya wafuasi
 
Udhamini anaopata Diamond kutoka hayo makampuni ni kiasi gani na simba udhamini wao ni kiasi gani ndo ujue unalinganisha mbingu na ardhi
Kwa hiyo we unalinganisha PEPSI na juice za ukwaju?

Mo amesema 5imba ni mke yake, wewe ni nani hadi ubishe?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Edo kachanganyikiwa na corona sio mzima kabisa. Lakini sawa diamond sindio muajili wake acha amsifie bosi wake 😂 angeajiliwa na simba asingeongea huu upuuzi.
 
Udhamini anaopata Diamond kutoka hayo makampuni ni kiasi gani na simba udhamini wao ni kiasi gani ndo ujue unalinganisha mbingu na ardhi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Tunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwa
 
Wewe unaandika kiushabiki huna hoja
Tunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwa

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Back
Top Bottom