Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Yuko kwenye mfuko wa Wasafi hawezi kuongea yakumchukiza boss wake.
Edo atakuwa anazungumzia SIMBA CEMENT
 

Edo Kumwembe Sifa zimeshaanza Kumuharibu na Siku hizi amekuwa Mpashkuna fulani na ana mambo ya Kike Kike sana tu!
 
Out of topic
 
Inawezekana anamsifia mwajili wake au anawapa changamoto simba kuhusiana na mikataba midogo wanayoingia simba wakati diamond anapata mikataba mikubwa
 
Wakati Sir Alex Ferguson anamrushia kiatu David Beckham aliyekuwa kwenye ubora wake pale Manchester United na kumjeruhi jichoni katika vyumba vya kubadilishia nguo alimuambia. "Hata siku moja mchezaji hawezi kuwa mkubwa kuliko klabu."
What I mean.. Diamond kusema ni brand kubwa kuliko Simba ni kuwakosea heshima mashabiki wa Wanamsimbazi.
Diamond ni brand yenye limit na muda. Simba ni brand ya isiyokuwa na limit na muda. Means goes Generation to Generation. Period!
 
Unapozungumzia brand unazungumzia mambo mengi,mshahara tu wa Kagere au chama mtangazaji wa wasafi kufikia ni kama mara 4 au 5,halafu simba ni taasisi
Swali lisomeke hivi:
"Kati ya matasha ya Diamond Platnumz na Mechi za SSC ni upande upi una maslahi mazuri kwa mlengwa?"

Sent using Jamii Forums mobile app

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Yaani huyo kijana anayetumia jina ambalo sio lake ndio mkubwa kuliko Club bora kabisa Afrika Mashariki??
 
Dah ligi iendelee tu mana kukosa vya kusema kwenye habari mwisho wake ndio unakuwa hivi sasa kulinganisha visivyolinganishwa
 
Hivi brand ni nini? Ni dudwasha gani linaitwa BRAND?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…