Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Utopolo unasemaje?Kwa hiyo we unalinganisha PEPSI na juice za ukwaju?
Mo amesema 5imba ni mke yake, wewe ni nani hadi ubishe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo unasemaje?Kwa hiyo we unalinganisha PEPSI na juice za ukwaju?
Mo amesema 5imba ni mke yake, wewe ni nani hadi ubishe?
Mda huu wakiendelea na uchambuzi wasafi arena,Edo amesema kwamba Diamond ni brand kubwa kuliko club ya Simba kwa udhamini kutoka kwa makampuni mengi kama
1.Parimatch
2.Nice one
3.Coral color
4.Pepsi
Hivi kweli kwenye brand unaweza kufananisha club na msanii?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ana ka ulimbukeni fulani cha kuiga iga majina ya watu (kama dangote) na hiyo simba . Angekomaa kuikuza hiyo diamond ambayo dunia nzima imeshamtambua , sasa akiamza kuiga majina ama kuwa na majina meeengi hata ID yake haitakuwa na wala haitajulikana kwa maana atawachanganya wafuasi
Diamond ana magari mengi tangia lini? Mbona nimeambiwa na mtu wake wa karibu kuwa anamiliki gari moja tu tena BMW X6?
Swali lisomeke hivi:Kwani mechi za Simba na show za Diamond zipi zinajazaga?
Swali lisomeke hivi:
"Kati ya matasha ya Diamond Platnumz na Mechi za SSC ni upande upi una maslahi mazuri kwa mlengwa?"
Sent using Jamii Forums mobile app