Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Acha uongo we mbumbumbu fc fanUtopolo ni kama wanajitekenya halafu wanajichekesha mo alipotingisha kiberiti alichuniwa akajirudi mwenyewe Ila GSM alipotingisha kiberiti tuliona uongozi wa matawi ukaitisha mkutano haraka wa kumwangukia viongozi wakafukuzwa wengine wakajiuzulu lakini hilo hawasemi wamekaa kufatilia mambo ya simba
Shikamoo mzee!Kwahivyo GSM kulipa mishahara pale Utopoloni na kusajili wachezaji na kumlipa kocha kisha akasitisha halafu baadaye mkaenda kulia lia naye tusemeje?
Acha kuandika ujinga basi..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayejitekenya ni wewe, tena unaruka kwa nguvu kweli kweli. Mo aliitwa akawekwa chini na kupigwa mikwara ndio akarudi kwenye ndoa. Na tangu hapo 5imba Koko akaanza kushinda kwa mbeleko...mpumbavu mwenyewe kabla sijasahauHawa utopolo ni wapumbavu,sisi Mo alipost instagram hakuna hata aliyemlilia au kuhangaika naye aliachwa tu,mwenyewe akaomba msamaha siyo mashabiki na club wamlambe miguu kama utopolo walivyofanya kwa gsm
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Unayejitekenya ni wewe, tena unaruka kwa nguvu kweli kweli. Mo aliitwa akawekwa chini na kupigwa mikwara ndio akarudi kwenye ndoa. Na tangu hapo 5imba Koko akaanza kushinda kwa mbeleko...mpumbavu mwenyewe kabla sijasahau
Pierre Liquid ni brand kubwa kwako na ndio maana unavaa matisheti yenye picha yake...bisha!Na pierre liquid ni brand kubwa kuliko utopolo fc...kweli si kweli???
Ndio. Unasemaje?Kumbe alipigwa mikwara,si kama nye kwa GSM hadi mkawafukuza wajumbe na kumlilia gsm aliyesusa
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Punguza mihemkooo na ushabiki maandazi..Unapozungumzia brand unazungumzia mambo mengi,mshahara tu wa Kagere au chama mtangazaji wa wasafi kufikia ni kama mara 4 au 5,halafu simba ni taasisi
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
kuna ubaya gani wa mtu kuvaa tishirt yenye picha ya pierre?we mbona unavaa ti shirt zenye picha yanguPierre Liquid ni brand kubwa kwako na ndio maana unavaa matisheti yenye picha yake...bisha!
kutoka kuwa timu ya wananchi mpaka kuwa timu ya GSM😂😂😂😂😂Ndio. Unasemaje?
Timu ni ya Wananchi, hata wewe na GSM wote wananchi, shida yako wewe ujeuri. 5imba Koko ni mke wa Mwamedikutoka kuwa timu ya wananchi mpaka kuwa timu ya GSM😂😂😂😂😂
hahaaah utopolo fc ni mke wa GSMTimu ni ya Wananchi, hata wewe na GSM wote wananchi, shida yako wewe ujeuri. 5imba Koko ni mke wa Mwamedi