Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Analinda Ugali wake pale wasafi radio
FB_IMG_1587809596932.jpg
 
Utopolo ni kama wanajitekenya halafu wanajichekesha mo alipotingisha kiberiti alichuniwa akajirudi mwenyewe Ila GSM alipotingisha kiberiti tuliona uongozi wa matawi ukaitisha mkutano haraka wa kumwangukia viongozi wakafukuzwa wengine wakajiuzulu lakini hilo hawasemi wamekaa kufatilia mambo ya simba
Acha uongo we mbumbumbu fc fan
 
simba timu ilianzishwa na wahindi wa kariakoo, wamshukuru nyerere kuwatimua wale wahindi, la sivyo mpaka leo ungekuta inaitwa sunderland.
 
Hawa utopolo ni wapumbavu,sisi Mo alipost instagram hakuna hata aliyemlilia au kuhangaika naye aliachwa tu,mwenyewe akaomba msamaha siyo mashabiki na club wamlambe miguu kama utopolo walivyofanya kwa gsm

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Unayejitekenya ni wewe, tena unaruka kwa nguvu kweli kweli. Mo aliitwa akawekwa chini na kupigwa mikwara ndio akarudi kwenye ndoa. Na tangu hapo 5imba Koko akaanza kushinda kwa mbeleko...mpumbavu mwenyewe kabla sijasahau
 
Kumbe alipigwa mikwara,si kama nye kwa GSM hadi mkawafukuza wajumbe na kumlilia gsm aliyesusa

Back
Top Bottom