Mke wa mhindi ana matusi...loh!Ndo mtulize mishono ya kupigia watu magoti,utopolo mnatia aibu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Lazima ujue mahesabu ya kihasibu.Udhamini anaopata Diamond kutoka hayo makampuni ni kiasi gani na simba udhamini wao ni kiasi gani ndo ujue unalinganisha mbingu na ardhi
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na akisusa wanahaha kweliEddo yuko sawa sawa ! Simba ni brand ndogo! Nakumbuka Mohamed alivyotekwa mashabiki wa Simba nusura wafariki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee hawakulala siku hiyoHawa utopolo ni wapumbavu,sisi Mo alipost instagram hakuna hata aliyemlilia au kuhangaika naye aliachwa tu,mwenyewe akaomba msamaha siyo mashabiki na club wamlambe miguu kama utopolo walivyofanya kwa gsm
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Lazima ujue mahesabu ya kihasibu.
Matumizi na mapato kisha uangalie nani anapata hasara na kuongeza madeni na nani anapata faida baada ya hesabu husika.
Angalia return of investment zao kati ya hao wawili.
Swali zuri.Hivi brand ni nini? Ni dudwasha gani linaitwa BRAND?
Muongo ww yaani unataka kutuambia Mwamedi hana impact Simba kipindi kile hamjachukua kombe thrid year kelele za Mo rudi simba zilikuwa za nani?friends simba wenyewe wanashindwa kuendesha timu mpaka Sasa mnajitia mmewafunga member zao eti wamekula hela za okwinyo aliposajiliwa Tunisia, kwa kifupi akiobdoka Mwamedi mtatuletea wakina Nkanu mbiyanga wengineUtopolo gsm alipowandikia barua mbona mlimbembeleza hadi mwezi mzima,sisi Mo alipotishia aliachwa tu mwenyewe akaomba msamaha,simba ni taasisi habembelezwi mtu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
[emoji13] [emoji13] [emoji13] mke wa mwamediTimu ni ya Wananchi, hata wewe na GSM wote wananchi, shida yako wewe ujeuri. 5imba Koko ni mke wa Mwamedi
Kabisa mkuuSwali zuri.
Mjadala huu hauna maana bila kujua maana ya brand. Kwenye ujamaa hakuna brand ya mtu au taasisi.
Wewe unatumia akili zako kweli, unapozungunzia Brand, simba ni kubwa, ina mashabiki wengi popote Tanzania.Tunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwa
Wewe unatumia akili zako kweli, unapozungunzia Brand, simba ni kubwa, ina mashabiki wengi popote Tanzania.
Pili ina uhakika wa kuendelea kudumu miaka mingi na mashabiki wanaozaliwa kila siku.
Diamond, baada ya miaka kumi wenda tukanza kwa watakao kuwa hai, wenda wakawa wanaongea mwanamuziki wa zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app